Home » » Mavazi ya Shilole Yavutia Mashabiki

Mavazi ya Shilole Yavutia Mashabiki

Written By Bigie on Sunday, July 10, 2016 | 12:30:00 PM


Kuna kitu cha kuvutia pale unapomuona mtu uliyemzoea akiwa kwenye muonekano wa tofauti – tena kwenye mavazi kama alizoea kuvaa vivazi vya fashion ukimuona akiwa ndani ya dela au baibui.Shilole ameonyesha utofauti huo wa kuvaa mavazi yaliyoonekana kumtoa na kumfanya aonekane kama ameolewa uarabuni! 

Hizi ni baadhi ya comment za mashabiki kwenye picha hizo:

smartmethod43: Umetokelezea, bt nakukubali mbaya yani!
aishajankajanka: Mashaallah umependeza Shilole
abubakaramour: Mashaallah wapendeza sana allah akujalie uwe ni mwenye kujistiri hivyo hivyo@shilolekiuno_badgirlshishi
khalidgatuso31: umependeza mashaallah ujechukuwa skukuu yako
lukindosarafina: shishi beby hatuta choka kuku ombea dua bby
millebusinness: Yani umependeze Sana shiii unge kuwa Una vaa ivyo sikuzote ningekuchumbia mazima

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts