Get the latest updates from us for free

Home » » Mawaziri wa mambo ya nje wa Tanzania na Rwanda leo wametiliana saini

Mawaziri wa mambo ya nje wa Tanzania na Rwanda leo wametiliana saini

Written By Bigie on Friday, July 1, 2016 | 5:09:00 PM


Mawaziri wa mambo ya nje wa Tanzania na Rwanda leo wametiliana saini katika Muhutasari wa kikao cha tume ya kudumu ya pamoja kilichofanyika Rwanda.Mawaziri hao wametiliana saini mbele ya Rais John Magufuli wa Tanzania na Rais wa Rwanda Paul Kagame 

 BOFYA HAPA: 


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts