Home » » Mheshimiwa Kikwete Akubali Ujumbe wa Rais wa Msumbiji kuhusu kufanya Mazungumzo ya Amani, Nchini Msumbiji

Mheshimiwa Kikwete Akubali Ujumbe wa Rais wa Msumbiji kuhusu kufanya Mazungumzo ya Amani, Nchini Msumbiji

Written By Vuvuzela on Monday, July 18, 2016 | 7:24:00 AM

 
Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi.

Ujumbe huo uliwasilishwa jana jijini Dar es Salaam na Mjumbe Maalum wa Rais Nyusi Meja Jenerali Mstaafu Mariano de Araujo Matsinhe ambaye aliongozana na Mshauri wa Diplomasia wa Rais Nyusi Kanali Manuel Mazuze, Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mheshimiwa Monica Patricip Clemente Mussa na Afisa wa Ubalozi wa Msumbiji nchini Rachide Usualle.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts