Home » » Sallam atoa hint ya ujio wa album mpya ya Diamond

Sallam atoa hint ya ujio wa album mpya ya Diamond

Written By Vuvuzela on Sunday, July 31, 2016 | 1:56:00 PM


Kuna uwezekano mkubwa kuwa Diamond anajiandaa kuachia album yake mpya. Meneja wa staa huyo ambaye kwa sasa yupo Afrika Kusini ametupa hint kuwa santuri mpya ya msanii wake ipo njiani kuja. Sallam Sharaff amepost picha hiyo chini na kuandika kwa maneno yanayotafsiriwa kwa Kiswahili ‘hii ni tarehe sahihi ya kuachia album.’

 Kwa sasa muimbaji huyo anafanya vizuri na wimbo wake Kidogo aliowashirikisha P-Square. Video ya wimbo huo hadi sasa ina zaidi ya views milioni 2.2 kwenye Youtube.Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts