Home » » VIDEO:Aliyepigwa Picha za Utupu na Kusambazwa Mitandaoni Huyu Hapa, Ahojiwa na Kunena Haya

VIDEO:Aliyepigwa Picha za Utupu na Kusambazwa Mitandaoni Huyu Hapa, Ahojiwa na Kunena Haya

Written By Vuvuzela on Thursday, July 28, 2016 | 8:12:00 AM


Mhanga wa picha za utupu zilizosambaa mtandaoni amehojiwa na na kudai kuwa ni kweli pcha hizo alizopiga ni za kwake na alizipiga akiwa anajitambua na mwenzi wake huyo aliyekuwa amepiga nae picha walishaachana baada ya kuwa na mahusianano waliyoyaanza mwaka 2014 na kudumu kwenye mapenzi kwa miezi 6 lakini hawakujuana kiundani kwa muda waliokuwepo pamoja

Anadai baada ya kuona picha hizo alimtafuta mpenzi wake huyo wa zamani na kumuuliza kulikoni na kudai kuwa amepoteza simu.


Alitoa taarifa polisi na polisi walikuwa na taarifa tayari baada ya hapo alimtafuta mpenzi wake huyo aitwa Vincet na kukuta hapatikani na amem block kwenye mitandao ya kijamii ya WhatsApp na Instagram

Amesema kisa cha mwanaume huyo kuvujisha picha hizo ni kuwa waliachana baada ya kumfuma na mwanamke mwingine ambaye alikuwa ni ndugu yake na kisha kumuacha na kuanzisha mahusiano na mwanaume mwingine.

Mwanaume huyo akadai atamuharibia kwa kuwa yeye alimuharibia mipango yake na msichana aliyemfuma naye kwa hiyo na yeye lazima atalipiza kisasi.

 Angalia Video Hapa: 

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts