Home » » Waziri Mkuu Majaliwa Amjulia Hali Spika Wa Bunge, Job Ndugai

Waziri Mkuu Majaliwa Amjulia Hali Spika Wa Bunge, Job Ndugai

Written By Vuvuzela on Saturday, July 30, 2016 | 12:05:00 PM


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge , Job Ndugai wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika jijini Dar es salaam kumsalimia Julai 29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea nchini hivi karibuni akitoka India kwa matibabu. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama.Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts