Home » » Wema Atamani Kuzaa na Idris

Wema Atamani Kuzaa na Idris

Written By Vuvuzela on Thursday, July 21, 2016 | 9:28:00 AM


LICHA ya madai kuwa wapenzi wawili, Idris Sultan na Wema Sepetu wamemwagana, muigizaji huyo nyota na Miss Tanzania 2006, amesema anataka kuzaa na mshindi huyo wa Big Brother Hotshots 2014 kutokana na jinsi anavyojali na mwenye huruma nyingi.
Akiteta nasi hivi karibuni, Wema alisema atajisikia fahari sana endapo mtoto wake wa kwanza angezaa na Idris kwa kuwa amemuonesha dhahiri kuwa ni baba bora.

“Kiukweli namuomba sana Mungu kila kukicha, baba wa mtoto wangu awe ni Idris kwa kuwa ni mwanaume pekee ambaye naona ni mwenye mapenzi ya dhati kwangu,” alisema Wema.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts