Home » » Gigy Money Aorodhesha Mastaa aliotembea nao Kimapenzi

Gigy Money Aorodhesha Mastaa aliotembea nao Kimapenzi

Written By Vuvuzela on Wednesday, August 10, 2016 | 12:44:00 PM

Katika miaka 19 aliyoishi Duniani hakumbuki idadi ya wanaume ambao ameshalala nao
Akiwa amezaliwa katika Familia ya Watoto wanne ambao kila mtu ana Baba yake, kwa upande wake HAKUWAHI KUMJUA BABA YAKE


Mama yake alimzaa pembeni ya mlango wa choo, na ni mtu aliekuwa akiwa anaamini hapendwi na Mama yake mzazi kutokana na sababu tofauti kabla hajagundua ukweli.

Aliwahi kujitoa kimwili katika umri mdogo ili apate hela ya kuweza kumnusuru MAMA yake mzazi kulipa Deni la mkopo wa Benki


Ametaja MASTAR WA KITANZANIA ambao ameshawahi kushirikiana nao kingono kama

LIST HII YAPA:

1. ALIKIBA
2. ABDU KIBA
3. CASTRO DICKSON
4. HAMED PHD
5. RICH MAVOKO
6. HARMONIZE

 Haya yote kayaeleza wakati akiojiwa katika kipindi cha Take One cha Zamaradi mtetema...


Angalia Video:

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts