Home » » Nay wa Mitego Awaomba Radhi Watanzania

Nay wa Mitego Awaomba Radhi Watanzania

Written By Vuvuzela on Monday, August 1, 2016 | 8:55:00 AM


“Wakati naandika wimbo “Pale Kati” nilikua nimeangalia nyimbo zilizowahi kutoka nyuma na zilizoko sokoni sasa, sikuona kama mistari yake ina matatizo.

Lakini baada ya kukaa pamoja na kusikiliza mstari kwa mstari tumegundua kwamba kuna baadhi ya mistari ilikua ina maneno makali. Hivyo basi naomba radhi kwa mtu yeyote aliyeumizwa na mistari hiyo." - Nay wa Mitego

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts