Home » » Picha: Jeshi la polisi mkoa wa Singida likifanya majaribio ya silaha

Picha: Jeshi la polisi mkoa wa Singida likifanya majaribio ya silaha

Written By Vuvuzela on Tuesday, August 23, 2016 | 7:45:00 AM

Baadhi ya askari polisi mkoani Singida, wametembeza silaha zao kwenye mitaa mbalimbali Singida mjini, kwa ajili ya kuwaonyesha wananchi silaha zilizonunuliwa kwa kodi zao. 

Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SSP Mayalla Towo, alisema zoezi hilo ni la kawaida na halina uhusiano na jambo lolote.(Picha na Nathaniel Limu).

 Baadhi ya askari polisi mkoa wa Singida wakiwa kwenye paredi muda mfupi kabla hawajaanza kuonyesha silaha zao kwa wakazi wa mji wa Singida.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts