Home » » Picha za Masanja na Mke wake Zazua Maneno Kwa Mashabiki wake..Wadai Mke wa Mchungaji Apaswi Kuvaa Hivyo

Picha za Masanja na Mke wake Zazua Maneno Kwa Mashabiki wake..Wadai Mke wa Mchungaji Apaswi Kuvaa Hivyo

Written By Vuvuzela on Thursday, August 18, 2016 | 9:17:00 AM

 Baada ya Harusi ya Mchekeshaji Masanja na Mkewe iliyofungwa Jumapili iliyopita wawili hao wameonekana kwenye picha mbali mbali wakijivinjari Honey Moon huku mavazi yao yakileta mabishano kama kweli ni Baba Mchungaji na Mama Mchungaji....
Baadhi ya Comments kwenye picha hizo hizi Hapa:
"Wachungaji wa mwendo kasi.."

"Kwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai????"

"Don't judge by looks....THE LORD GOD ALMIGHTY knows the hearts of everyone"

"Mavazi yanaonyesha uhalisia wa mtu. Kuna mavazi ambayo KAMWE mtu wa Mungu hawezi kuyavaa au kumruhusu mtu anayemmiliki kuvaa. Ila sijayaongelea mavazi aliyovaa Masanja"

"The Bible teaches us how to distinguish false from true prophets. Follow the Bible!!!"

"Dah!Mke wa masanja ana ugonjwa wangu kwa kweli"


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts