Home » » Picha:Zari akionesha Mimba yake...Diamond Platnumz Aomba Ushauri wa Jina la Mtoto Wake wa Kiume

Picha:Zari akionesha Mimba yake...Diamond Platnumz Aomba Ushauri wa Jina la Mtoto Wake wa Kiume

Written By Vuvuzela on Saturday, August 13, 2016 | 6:22:00 PM

Bongo fleva super staa Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa anatarajia kupata mtoto wa kiume na kwamba angependa mashabiki wake watoe mitazamo yao juu ya jina gani ampe mtoto wake.

Baadhi ya picha za Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ alizotupia mtandaoni zilionyesha vizuri mimba yake. Mastaa hao wanatarajia kupata mtoto wa pili na mpenzi wake mkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz.

Mpaka sasa tunafahamu kuwa mwezi Decemba ndio Zari atajifungua mtoto huyu wa pili.Kupitia instagram yake Diamond aliandika hivi…

“Looking so sexy, my Beautiful and cute Wife @zarithebosslady???? ????!!!… Please tell what would you like me to name my Upcoming Son?…(Tafadhali niambie Mtoto wangu wa kiume unadhani akija nimwite jina gani…?)”

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts