Home » » Polisi Yapambana na majambazi Mkuranga.....Difenda zaidi ya 16 Zipo Eneo la tukio Asubuhi hii

Polisi Yapambana na majambazi Mkuranga.....Difenda zaidi ya 16 Zipo Eneo la tukio Asubuhi hii

Written By Vuvuzela on Friday, August 26, 2016 | 11:00:00 AM

Mapigano makali yanaendelea kati ya polisi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi eneo la Vikindu, wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani asubuhi hii.
 
Magari ya polisi (defenda) zaidi ya 16 yamefika eneo la tukio huku polisi wakiwa wameshika silaha zao kwa umakini mkubwa.
 
Kadhalika, magari yanayokwenda maeneo ya Vianzi Mkurang, Malela, Pemba Mnazi, Mfuru yamefungwa kutokana na mapambano hayo.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts