Get the latest updates from us for free

Home » » Shamsa Ford na Chidi Mapenzi kufunga ndoa Ijumaa hii

Shamsa Ford na Chidi Mapenzi kufunga ndoa Ijumaa hii

Written By Vuvuzela on Tuesday, August 30, 2016 | 8:14:00 AM

Msanii wa filamu Shamsa Ford anatarajia kufunga ndoa Ijumaa hii na mfanyabiashara wa nguo aitwae ‘Chidi Mapenzi’.
Muigizaji huyo amesema kuwa ndoa hiyo itafanyika nyumbani kwa wazazi wake Sinza Africana jijini Dar es Salaam.
 

“Kweli bhana Ijumaa hii Mungu akipenda nafunga ndoa,” alisema Shamsa Ford.

Miezi mitatu iliyopita mfanyabiashara huyo alikiri kuwa kwenye mahusiano na malkia huyo wa filamu na kuweka wazi mpango ya ndoa.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts