Home » » Vera Sidika amwaga Misifa kwa Diamond Platinum

Vera Sidika amwaga Misifa kwa Diamond Platinum

Written By Vuvuzela on Saturday, August 13, 2016 | 7:52:00 AM

Mrembo wa Kenya, Vera Sidika amejibu swali la ni nyimbo za msanii yupi anazozisikiliza zaidi kati ya Diamond na Alikiba.
“Mimi namsikiliza Diamond,” anasema Vera. “Style yake tofauti kisha nzuri, kisha naona kuwa amejikakamua anatoa hits after hits hatulii, yeye hutia bidii kila siku. Halafu pia si muziki peke yake, ameweza kusaidia vijana kuwapatia nafasi ya ku-explore talent zao, kama sasa hivi yuko na artists ambao wako chini yake which is a good thing,” ameongeza.
Vera amedai pia kuwa anampenda Diamond kwasababu ni baba mzuri na anayetimiza majukumu yake.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts