Home » » VIDEO: Masanja akitoa adhabu kwa wanaochelewa kuoa, kaanza na MC pilipili

VIDEO: Masanja akitoa adhabu kwa wanaochelewa kuoa, kaanza na MC pilipili

Written By Bigie on Wednesday, August 17, 2016 | 10:47:00 AM

Mchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedi, Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji ambae August 14 2016 alifunga ndoa na mchumba wake aitwae Monica ameifanya hiki kichekesho kifupi akiwa na MC pilipili akitoa adhabu kwa wanaochelewa kuoa.

==> Tazama video hapo chini

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts