Home » » Video:Masanja Mkandamizaji Afunga Ndoa, Dar

Video:Masanja Mkandamizaji Afunga Ndoa, Dar

Written By Vuvuzela on Monday, August 15, 2016 | 9:23:00 AM

MCHEKESHAJI wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, leo ameuaga ukapera kwa kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu aitwaye Monica.
Ndoa hiyo imefungwa katika Kanisa la Mito ya Baraka lililopo Jangwani jijini Dar es Salaam.


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts