Home » » Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa Afungua Maonyesho Ya Nanenane Mororogoro

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa Afungua Maonyesho Ya Nanenane Mororogoro

Written By Vuvuzela on Monday, August 1, 2016 | 7:07:00 PM

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizundua Banda la Maonyesho la wilaya ya Temeke kwenye maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro Agosti 1, 2016. Kulia kwake ni mkewe Mary na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam , Paul Makonda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizundua Banda la Maonyesho la wilaya ya Temeke kwenye maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro Agosti 1, 2016. Kushoto ni mkewe Mary.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakitazama mboga zilizokaushwa na mtambo wa kukaushia mboga hizo katika katika maonyesho ya wakulima Nanene nane mjini Morogoro Agosti 1, 2016
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva wakati alipotembelea Banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Monyesho ya Wakulima Nane mjini Morogoro Agosti 1, 2016, Kushoto ni mkewe Mary.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitazama viatu vilivyotengenezwa katika gereza la Karanga mkoani Kilimanjaro wakati alipotembelea banda la Magereza katika maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoroo Agosti 1, 2016, kulia ni Mratibu wa Magereza wa maonyesho hayo na Mkuu wa Gereza la Mtego wa Simba, Oman Msekwa.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts