Home » » Waziri Mkuu Majaliwa Uso Kwa Uso Na Askofu Gwajima

Waziri Mkuu Majaliwa Uso Kwa Uso Na Askofu Gwajima

Written By Vuvuzela on Monday, August 8, 2016 | 7:43:00 AM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Uzima na Ufufuo katika hafla ya harusi ya Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Amon Mpanju na mkewe Analises iliyofanyiaka kwenye ukumbi wa jeshi wa Lugalo jijini Dar es salaam Agosti 6, 2016.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba, Amon Mpanju akilishwa keki na mkewe , Analises katika tafrija ya harusi yao iliyofanyika kwenye ukumbi wa Jeshi Lugalo jijini Dar es salaam Agosti 6, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary walihudhuria katika tafrija hiyo.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts