Home » » Basi la Super Shem Lapata Ajali na Kuua watu 11 Jijini Mwanza Leo

Basi la Super Shem Lapata Ajali na Kuua watu 11 Jijini Mwanza Leo

Written By Bigie on Wednesday, September 21, 2016 | 10:27:00 AM


Basi la Super Shem linalofanya safari za Mwanza kwenda  Mbeya limepata ajari ya kugongana na hiace katika kijiji cha Hungumalwa Mwanza na kusababisha vifo vya watu  wanaodaiwa kufika 11 asubuhi hii.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo, wanaeleza kuwa Basi hilo liliigonga gari hiyo ndogo ambayo iliingia kwenye barabara kubwa bila ya kuwa na tahadhali, Juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza zinaendelea kufanyika ili kuthibitisha tukio hilo.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts