Get the latest updates from us for free

Home » » Selection Za Vyuo Vikuu Kwa Walioomba Kupitia NACTE

Selection Za Vyuo Vikuu Kwa Walioomba Kupitia NACTE

Written By Vuvuzela on Sunday, September 11, 2016 | 1:59:00 PM

Walioomba Diploma na vyeti  kupitia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)  wanaweza kutazama kama wamepata vyuo au la kwa kuingia kwenye mfumo wa CAS wa Nacte.

==> Bofya hapa  kuangalia   <<Selection Status >> 

NB:  Tumia username yako na password

==> Kwa wale Form six walioomba kupitia TCU, Selection zilikuwa zinaonekana kupitia   http://cas.tcu.go.tz/cas_core/check_results, lakini kwa sasa link imekuwa deactivated na wame iredirect  kwenye homepage ya CAS ya TCU ( http://cas.tcu.go.tz/)
Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts