Get the latest updates from us for free

Home » » Hatimaye Shamsa Ford Afunga Ndoa na Chidi Mapenzi

Hatimaye Shamsa Ford Afunga Ndoa na Chidi Mapenzi

Written By Vuvuzela on Saturday, September 3, 2016 | 8:42:00 AM

STAA wa Bongo filamu nchini, Shamsa Ford amefunga ndoa na Rashidi Said ‘Chidi Mapenzi’ ambaye ni mfanyabiashara wa maduka ya nguo.

Sherehe za ndoa hiyo zilifanyika nyumbani kwa wazazi wa Shamsa eneo la Sinza, Afrikasana jijini Dar es Salaam.
 Awali, Shamsa alidumu katika penzi na Dickson Matoke ‘Dick’ na kufanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume aitwaye Terry na kisha  kufunga ndoa ya kimila nyumbani kwa mwanaume huyo, Tarime mkoani Mara ila baadaye waliachana na kuangukia kwa staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’  ambaye penzi lao halikudumu.Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts