Get the latest updates from us for free

Home » » Linah Amnyakuwa Idriss Sultan Kutoka Kwa Wema Sepetu

Linah Amnyakuwa Idriss Sultan Kutoka Kwa Wema Sepetu

Written By Vuvuzela on Saturday, September 10, 2016 | 4:30:00 PM

Kipindi cha Nyuma Linah sanga aliingia Bifu zito baada ya Kuibiwa Bwana na Wema Sepetu ambapo alilalamika sana kwenye vyombo vya habari hasa Radioni... Hivi karibuni Linah na Mpenzi wa Wema Sepetu Idriss Sultan wanaonekana kuwa na ukaribu usio wa kawaida kiasi kwamba inasemekana eti ni wapenzi wanapika na kupakuwa kitendo ambacho kinaonyesha ni kama kulipa kisasi kwa Wema....!! Haya Tuache Movie liendeleeee tutawajuza zaidi kinachoendelea.......

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts