Home » » Lulu Michael sasa Atamani kupata Mtoto

Lulu Michael sasa Atamani kupata Mtoto

Written By Vuvuzela on Tuesday, September 20, 2016 | 9:05:00 AM

Msanii mahiri wa filamu Bongo, Elizabeth ‘Lulu ‘ Michael amedai kuwa anahitaji mtoto kwa sasa.

Muigizaji huyo ameandika ujumbe kwenye mtandao wake wa Instagram akimuomba Mungu huku akidai kuwa yupo tayari kwa sasa na anahitaji mtoto.


“Okay…I’m ready noooow😫😫😫😫and I want a Baby Boy😭😭😫In Jesus Name🙏,” ameandika Lulu kwenye mtandao huo.


Kwa sasa muigizaji huyo yupo kwenye mahusiano na bosi wa EFM, Majay.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts