Home » » Perfect Combo ya Joh Makini yapata Shavu kwenye Top 10 ya redio Nigeria

Perfect Combo ya Joh Makini yapata Shavu kwenye Top 10 ya redio Nigeria

Written By Vuvuzela on Tuesday, September 13, 2016 | 11:44:00 AM

Ni ukweli usiopingika kwa sasa muziki wa Bongo unazidi kutoboa kwenye nchi nyingi barani Afrika.Joh Makini ni mmoja kati ya wasanii kutoka Tanzania wanaofanya vizuri kwenye redio na TV za nje huku akiwa na rekodi ya wimbo wake wa ‘Nusu Nusu’ kuwahi kushika namba moja mwezi Julai mwaka jana kwenye chati za runinga ya MTV Base.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts