Get the latest updates from us for free

Home » » Picha ya Ben Pol na Snura Wakipigana Mabusu Yazua Utata kwa Mashabiki

Picha ya Ben Pol na Snura Wakipigana Mabusu Yazua Utata kwa Mashabiki

Written By Vuvuzela on Monday, September 12, 2016 | 3:23:00 PM

New couple in Town ndio naweza kusema kulingana na picha hiyo hapo juu ambayo inazunguka mtaani huku wengi wakijiuliza maswali kama ni kweli ama la...? Ikumbukwe Snura alishawahi kuandika na kukiri kuwa kuna Mwanamuziki mmoja wa Bongo Flava anamzimia kishenzi lakini hakumtaja jina...Sasa jibu limepatikana baada ya wawili hao kuonyesha picha wakidendeka bila chenga....
Soma Baadhi ya Comment za Mashabiki

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts