Get the latest updates from us for free

Home » » Picha:Idris Sultan katika Filamu Mpya ya 'Karibu Kiumeni' adhihirisha muonekano wa maisha yake ndani

Picha:Idris Sultan katika Filamu Mpya ya 'Karibu Kiumeni' adhihirisha muonekano wa maisha yake ndani

Written By Vuvuzela on Friday, September 9, 2016 | 8:09:00 AM

Wakati mashabiki wakiendelea kuisubiria kwa hamu filamu ya ‘Karibu Kiumeni’ ambayo imewakutanisha mastaa mbalimbali wa filamu, Idris Sultan ameonyesha muonekano wa maisha yake ndani ya filamu hiyo.

Filamu hiyo inaongozwa na Director mahiri wa filamu, Daniel Manege huku ikiwakutanisha mastaa kama Ernest Napoleon, Irene Paul pamoja na wengine.

Hizi ni picha za Idris Sultan pamoja na mastaa wengine.Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts