Home » » Video: Wema Sepetu aitimua team Wema.... Adai kuwa wanamuharibia maisha yake

Video: Wema Sepetu aitimua team Wema.... Adai kuwa wanamuharibia maisha yake

Written By Vuvuzela on Tuesday, September 20, 2016 | 10:36:00 AM

Malkia wa filamu Wema Sepetu ameitimua team Wema katika mitandao ya kijamii kwa madai wao ndio chanzo cha matatizo mengi katika maisha yake.

Mwigizaji huyo amedai amekuwa hana amani kwa ajili ya team Wema.

“Sasa mimi naomba kusema kitu kimoja, naomba kuanzia sasa hivi sitaki kuijua team Wema, kwa sababu sielewagi team Wema ilitokea wapi, mimi sijui na sio chanzo cha team Wema na sijui mmetokea wapi mmekuja kuniharibia maisha yangu,” alisema Wema. 


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts