Home » » Video: Wimbo ‘Salome’ wa Diamond wamkuna Wema Sepetu, Diamond atia neno Instagram

Video: Wimbo ‘Salome’ wa Diamond wamkuna Wema Sepetu, Diamond atia neno Instagram

Written By Vuvuzela on Friday, September 23, 2016 | 8:07:00 AM

Malkia wa filamu Wema Sepetu amekunwa na wimbo mpya wa Diamond Platnumz ‘Salome’ na kuamua kujirekodi video huku akiimba wimbo huo.

Diamond alipost video instagram inayomwonyesha mwigizaji huyo akiimba wimbo ‘Salome’ huku akiandika ujumbe wa kuonyesha kufurahishwa na kitendo hicho.

“Hivi huku patakuwa ni kupatwa kwa nini?. Tisha sana ‘Salome’ wake Idris Sultan full Video link in my BIO and @rayvanny Bio,” aliandika Diamond kupitia instagram.

Hatua hiyo huwenda ikafungua njia zaidi kwa wawili hao kuaidia katika mambo yao.


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts