Get the latest updates from us for free

Home » » Video:Shilole na Nuh Mziwanda Wamwagiana Mabusu mazito ndani ya Basi la Fiesta

Video:Shilole na Nuh Mziwanda Wamwagiana Mabusu mazito ndani ya Basi la Fiesta

Written By Vuvuzela on Monday, September 12, 2016 | 7:50:00 AM

Shilole na Nuh Mziwanda walikutana kwenye basi walipokuwa wanaenda Fiesta, wasanii hawa wamekuwa na bifu na walichuniana walipokutanishwa kwenye kipindi cha tv clouds na wamekuwa wakipigana majungu mitandaoni.

Lakini walipokutana kwenye basi Shilole alimuambia Nuh Mziwanda yaishe na kumwambia yupo kwa ajili yake na kumwagia mabusu mazito, pengine watarudiana. 

 Angalia Video hapa chini:

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts