Get the latest updates from us for free

Home » » Waziri Mkuu Majaliwa na Spika Job Ndugai Wakutana kujadili maridhiano ya Vyama Vya Siasa

Waziri Mkuu Majaliwa na Spika Job Ndugai Wakutana kujadili maridhiano ya Vyama Vya Siasa

Written By Vuvuzela on Monday, September 5, 2016 | 7:43:00 PM

Ikiwa imesalia siku moja kabla ya mkutano wa nne wa bunge la kumi na moja kuanza hapo kesho September 6 2016 leo Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Spika wa bunge Job Ndugai pamoja na viongozi wengine katika ofisi za bunge zilizopo Dodoma kwa lengo la kufanya kikao cha maridhiano ya vyama vyote.

Hapa kuna picha wakati wa majadiliano hayo yalipokuwa yakifanyika..

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts