Get the latest updates from us for free

Home » » Mbwana Samatta atajwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika

Mbwana Samatta atajwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika

Written By Bigie on Sunday, October 16, 2016 | 12:10:00 PM

Mshambuliaji wa Taifa Stars na klabu ya K.R.C. Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta, ametajwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa shirikisho la soka barani Afrika, CAF.

Majina hayo 30 yametangazwa jana Jumamosi  kupitia tovuti ya shirikisho hilo la soka barani.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts