Home » , » RIWAYA: She is My Wife- Sehemu ya 31 & 32

RIWAYA: She is My Wife- Sehemu ya 31 & 32

Written By Bigie on Friday, October 28, 2016 | 4:25:00 PMMwandishi: EDDAZARIA G.MSULWA

ILIPOISHIA
“Wewe hulali?”
Rahab aliuliza kwa sauti ya unyonge, huku akimtazama Raisi Praygod kwa macho yaliyo jaa usingizi, hadi akajikuta akirembua.
“Nataka nikaoge”
Rais Praygod akapiga hatua moja, ila Rahab akamshika mkono na kumvuta kwa nguvu na kuangukia kitandani. Rahab kwa haraka akausogeza karibu mdomo wake kwa Raisi Praygod na wakaanza kunyonyana, huku wakionekana kuwa katika hisia kali. Raisi Praygod akalivua gauni lake na kulitupa pembeni. Akalishika la Rahab na akamvua, wote wakabakiwa kama walivyo zaliwa.

ENDELEA
    Hapakuwa na mtu aliye weza kumuonea mwenzake aibu zaidi ya wote kushiriki tendo la ndoa ipasavyo. Rahab akazidi kujituma kitandani kumpa muheshimiwa Raisi mambo matamu ambayo hata Raisi Praygod, hakuwahi kuyapata kutoka kwa mwanamke wa aina yoyote tangu azaliwe. Hata marehemu mke wake, hakuweza kufikia hata aslimia kumi kwa mambo ambayo Rahab anamfanyia juu ya kitanda. Wote wakajikuta wamesahau kwamba wanapita katika kipindi kigumu cha matatizo.
“Rahab”
Raisi Praygod alimuita Rahab, aliye mkalia juu ya kiuno chake akizidi kukatika kadri ya uwezo wake.
“Mmmmmm”
 
Rahab aliita huku akiwa amebana pumzi zake, huku jasho kwa mbali likimwagika na nywele zake ndefu zikiwa zimekaa shaghala baghala.
“Nataka nikuoe”
“Kweli?”
“Ndio nahitaji uwe mke wangu, wa ndoa”
Rahab kuambia wahivyo hakujibu kwa sauti, ila akajibu kwa vitendo, vilivyo mfanya Raisi kusahau matatizo yote na kuzidi kuchanganyuikiwa kwa penzi hilo la binti mdogo mwenye mwili mwembamba, fulani, ila si shuuhuli ya kupambana pekee yake na maadui, ila hata shughuli ya kitandani anaiweza kwa asilimia mia moja. Hadi wanafikia kileleni wote kwa pamoja wakajikuta wakicheka huku wakiamini kwamba walicho peana kilistahili kwa wao kuweza kukipata kwa wakati huo.
 
“Nakupenda sana Rahab”
Raisi Praygod alizungumza huku akihema mithili ya mwana riadha wa mwisho kwenye mbio ndefu, aliyekua na kibarua kirefu cha kuwakimbiza wezake wanao kwenda kwa mbio ndefu sana.
“Nakupenda pia Praygod”
Kwa mara ya kwanza Rahab kufungua kinywa chake na kuliita jina la Raisi, kwani siku zote alizoea kumuita muheshimiwa Raisi. Taratibu Rahab akajilaza kifuani mwa Raisi Praygod, huku taratibu akiupa kazi  mkono wake wa kushoto kuchezea nywele nyini lizizopo kifuani mwa raisi Praygod.
 
“Twende tukaoge”
Raisi Praygod alizungumza, na taratibu wote wakashuka kitandania, wakaingia bafuni na kila mmoja akawa na kazi ya kumuogesha mwenzake kwa kila kona ya mwili. Ukawa ndio mwanzo mpya wa mahusiano kati ya Raisi Praygod na Rahab, kila mmoja aliweza kuufungua moyo kwa mwenzake na kuamini upendo wao umeendana kwa asilimia kubwa sana.
                                                                                                        ***
Kila jinsi  walivyo zidi kuogelea ndivyo jisi walivyo zidi kwenda mbele, huku mara kwa mara wakiwa wanajitokeza kwenye usawa wa bahari kutazama ni wapi wanapo elekea. Ikawachukua muda mrefu sana kuweza kufika pembezoni mwa fukwe za bahari, katika eneo ambalo limetulia sana. Wote wakaivua mitungi ya gesi ambayo walikuwa wameivaa migongoni mwao. Kila mmoja alijihisi njaa kubwa kwenye tumbo lake, kwani waliweza kudumu ndani ya maji takribani masaa nane, wakiwa wanatoroka kutoka sehemu mmoja kwenda nyinine
 
“Ahaaa kudadadeki, kweli ng’ombe wa masikini hazai”
Halima alizungumza kwa sauti kubwa huku akijilaza kwenye mchanga mweupe ulio kua pembezoni mwa bahari hii kubwa. Hakuna aliye mjibu zaidi ya wezake kuendelea kutazama kila eneo la fukwe hizi zinazo pendeza kuvutia sana.
“Jamani inakuaje?”
Anna aliuliza kwa sauti ya unyonge, dhairi akionekana kuchoka sana.
 
“Nahisi hapa kwenye fukwe kunaweza kua na nyumba tutembeeni tembeeni, tunaweza kupata msaada”
Samson aliwashauri wezake
“Lakini jamani, hembu kuweni makini. Hapa tulipo fika sote hatupajui. Isije ikawa fukwe ya jeshi ikala kwetu ohooo”
Halima alizungumza huku akijigeuza geuza kwenye mchanga
“Sasa Halima wewe unataka tuendelee kukaa hapa si ndio?”
“Hapana sijasema hivyo Fetty, ila ninacho sema mimi, tuwe makini tusiwe vihere here. Kama pesa tumezikosa, lile lidude nalo limechukuliwa. Yote kwa tamaa zetu”
“Halima huu muda sio wa kulaumiana bwana”
Agnes alizungumza kwa hasira kali.
 
“Hata kama, jamani lakini hua siku zote nikizungumzaga ukweli, munaniona mimi fala. Sasa huyo Samson tuliye msaidia naye katuileta huku, nilipo kua ninamkatalia tusiwe pamoja naye mimi nilijua tuu haya yatatokea. Haya baba Samson tuambie tunaelekea wapi?”
“Maneno ya Halima, yakamkera kila mtu ambaye, alionekana kuchoka sana kwa shuhuli nzima waliyo ifanya ya kujioko kutoka kwenye jeshi la nchi ya Russia 
 
Wakaanza kutembea kwa umakin, huku wakitazama kila eneoa la fukwe hii. Kigiza kilisha anza kuchukua nafasi yake huku kila mmoja akaizidi kunyong’onyewa kwa kuchoka sana. Hawakukata tamaa zaidi ya kwenda mbele kubahatisha kama wanaweza kupata sehemu ya kujistiri. Hadi inagonga mishale ya saa mbili usiku hapakuwa na mtu aliye baatika kuona nyumba ama uwepo wa watu katika eneo hilo
“Jamani tupumzikeni bwana na kama kuendelea tutaendelea kutembea tukiwa na nguvu”
 
Halima alizungumza huku akiwa amesimama, wezake wote wakamgeukia na kumkodolea mimacho. Kila mtu akakubaliana na wazo la Halima, wakatafuta moya ya jiwe kubwa lililo toboka na kuweka kijichumba kidogo, wote wakaingia na kukaa humo. Mwanga wa mbalamwezi uliweza kuwaonyesha ndani ya jiwe hilo kubwa, hapakuwa na kitu chochote kinacho weza kuwadhuru. 

Baridi kali kwao ndio ikawa ni changamoto kubwa sana iliyo weza kuwatesa miili yao, isitoshe nguo walizo zivaa zilizo tengenezwa kwa material ya mpira hazikuweza kabisa kuizuia baridi hiyo kuendelea kuwapiga kwenye miili yao.
 
“Mmmm hili puku ni balaaa”
Agnes alizungumza huku akijikunyata, taratibu Samson akatoka ndani ya jiwe na kusimama nje, akatizama kila kona ya fukwe hakuona mtu yoyote, akazunguka nyuma ya jiwe na kujisaidia haja ndogo ambayo ilikuwa imememkamata kwa kipindi kirefu sana. Akiwa katikati ya kujisaidia haja ndogo kwa mbali akaweza kuona mwanga wa taa ukitokea kwenye moja ya nyumba iliyo mbali kidogo toka hapo walipo, kwa haraka akamaliza haja yake na kuzunguka walipo wezake
 
“Jamani kuna kitu nimekiona tokeni haraka”
Fetty na wezake wakatoka kwa haraka, Samson akawaonyesha mwanga wa taa hiyo . Kwa haraka bila hata ya kujiuliza wakanza kukimbia kuelekea kwenye nyumba hiyo. Kila walivyo zidi kwenda ndivyo walivyo zidi kuiona mandhari ya nyumba hiyo, ambayo ni kubwa kiasi na yagorofa.  Wakafanikiwa kufika kwenye uwanja wa jumba hilo linalo onekana ni jumba la kifahari, ila nje hapakua na taa ya aina yoyote, zaidi ya taa inayo waka kwenye chumba hicho kimoja.
 
“Jamani, tuweni makini naona tunaenda tu”
Halima alizungumza, kwa kujiamini. Wote wakasimama kutazama mazingira ya jumba hili lililo zungukwa na miti mingi ya minazi. Kwa mbali wakasikia mngurumo wa gari ukiwa unakaribia kufika kwenye jumba hili, kwa haraka wakatafuta sehemu ya kujificha ambayo iliwawezesha kuona mlango mkubwa wa kuingilia ndani ya jumba hilo.
 
Gari moja ya kifahari aina ya Jaguar, ikasimama nje ya jumba hili. Wakashuka watu wawili walio valia suti huku mikononi mwao wakishika bunduki aina ya Short gun. Mmoja akazunguka upande wa pili wa gari ambapo akaufungua mlango wa gari hiyo. Wote wakamshuhudia bwana Rusev akishuka kwenye gari hilo la kifahari huku akionekana kutazama kila upande wa jumba hilo.
 
‘Asante Mungu’
Samson alizungumza kimoyo moyo, kwani amemuona rafiki yake huyo. Waliye toka kupotezana masaa machache ya nyuma. Samson kwa haraka akanyanyuka na kuanza kukimbilia sehemu alipo Rusev, jambo lililo mfanya Agnes naye atake kunyanyuka kutoka katika sehemu waliyo jificha ila Fetty akamzuia.
 
Bwana Rusev na watu wake wakaonekana kusthushwa na uwepo wa Samson katika eneo hilo, ambalo kwao ni eneo la maficho la kiongozi huyu. Kabla Samson hajafika alipo bwana Rusev, akachomoa bastola yake moja na kumtandika Samson, ya kwenye mguu, na kumuangusha Samson chini akiwa haamini kama Rusev anaweza kumfanyihi hivyo.
                                                                                          ***
 Kitu cha kwanza kukifanya Raisi Praygod baada ya kuamka asubuhi akaichukua simu iliyopo mezani na kimpigia rafiki yake Frednando, akampa jina la Motel walipo fikizia, na akamuomba aje na nguo za wao kuvaa.
“Umeakaje mpenzi”
 
Rahab alizungumza kwa sauti ya uchovu huku akimtazama usoni Rais Praygod aliye achia tabasamu pana usoni mwake.
“Mimi nimeamka salama”
Rahab taratibu akajivuta karibu na sehemu alipo kaa Raisi Praygod, pembezoni mwa kitanda na kumpiga busu moja la mdomoni. Kisha akajilaza kwenye mapaja ya Raisi Praygod.
“Wewe ni mzuri sana Rahab”
 
“Kwa nini unasema hivyo?”
“Umenifanya sasa, nijisikie kua ni mwanaume mwenye bahati, kumpata mwanamke ambaye siku zote kwenye maisha yangu nilikua nikumuwazia”
“Kweli?”
“Ndio, yaani umenipa kitu ambacho sijawahi kupewa tangu nitoke tumboni mwa marehemu mama yangu”
Rahab akatabasamu, taratibu akajinyanyua mapajani mwa raisi Praygod, na kuanza kumnyonya midomo yake, taratibu wakajikuta wakiingia kwenye dimbwi jengine zito la mahaba, ambapo kama kawaidia yake Rahab, alijua ni nini cha kufanya kuzidi kumpagawisha rasi Praygod, ambaye tayari anaonekana amenogewa na utamu wa penzi la Rahab, binti aliye mpita miaka kumi.
 
Azaria akagonga mlango akimuashiria Raisi Praygod kwamba, ni muda wa wao kuweza kupata kifungua kinywa. Ila hapakuwa na jibu lolote kutoka kwa raisi, ikamlazimu Azaria kuweka sikio lake moja mlangoni kusikiliza ni kitu gani, kinacho endelea. Akajikuta akitabasamu, baada ya kusikia vilio mchanganyiko kati ya Rahab na Raisi Praygod.
“Mmmm huyo ndio raisi”
 
Azaria alizungumza kwa sauti ya chini na kuondoka katika mlango na kurudi chumbani kwake kuvuta vuta pumzi akisubiria mtanange wa kukata na shoka uliopo ndani ya chumba cha Raisi Praygod uweze kumalizika.
Ikawachukua takribani dakika arobaini, kumaliza mtanange woa. Raisi kambeba Rabab na kuingia naye bafuni ambapo waliweza kuoga kwa pamoja kisha wakajifunga mataulo yao. Kabla hawajaendelea kufanya kitu kingine, mlango ukagongwa tena.
 
“Who?”(Nani?)
Raisi Praygod aliuliza kwa sauti ya kujiamini.
“Ni mimi muheshimiwa, Azaria”
“Ahaaa”
Raisi Praygod akapiga hatua hadi mlangoni ambapo, akaufungua kwa funguo iliyokuwa imening’inia kwenye kitasa cha mlango huo. Akamkuta Azaria akiawa amesimama huku mkononi mwake akiwa ameshika chupa mbili za juisi pamoja na kifuko cha rangi ya kaki.
“Muheshimiwa kifungua kinywa”
Azaria alizungumza huku akiwa amesimama nje ya mlango
“Karibu ndani”
Azaria akaingia ndani na kumkuta Rahab akiwa amesha jifunga taulo, na kukaa kitandani, simu ya mezani ikaita na kumfanya Raisi Praygod kuipokea
“Nimesha fika kaka”
Sauti ya Frednando ilisikika kwenye simu
“Ahaaa, kuna  kijana wangu hapo anakuja kukuchukua, akulete chumbani”
“Sawa kaka”
 
Frednando alizungumza kwa sauti ya furaha, kwani ni muda mrefu umepita sasa tangu aonane na rafiki yake huyu. Raisi akamuomba Azaria kwenda kumpokea rafiki yake huyo kipenzi. Azaria akatoka nje, na kukuta gari za kifahari sita zikiwa zimesimama nje ya moteli hiyo, kutokana alielekezwa Frednando anafanania vipi, moja kwa moja akamfwata na kumuomba waweze kuongozana hadi sehemu alipo Raisi Praygod. 

Frednando akaongozana na walinzi wake wawili walio beba suti mbili kwenye mifuko yake maalumu, suti hizo zenye gharama kubwa. Wakafika kwenye chumba alipo raisi Praygod. Ikawa ni shangwe kubwa kwa Frednando na Raisi Praygod, vituko vya kusalimiana kwao unaweza kusema kwamba sio waheshimiwa wanao kubalika sana mbele ya macho ya wanajamii wengi.
 
“Ebwanaa kaka ni more than, miaka kumi na tano hatujaonana eheee?”
“Yaa kaka, kweli Mungu ni mwema”
“Kweli ndugu yangu, nakumbuka kipindi kile ulikua unaniambia utakua raisi na kweli, leo wewe ni raisi”
“Kweli ndugu yangu ndoto zimekua kweli”
Fredinando akawageukia walinzi wake na kuwaambia kwa lugha ya kispain kwamba Praygod ndio mtu alimfundisha lugha ya kiswahili ambayo hadi leo imekuwa ni lugha anayo ipenda sana, japo yeye ni mmexco.
“Kutana na shemeji yako, anaitwa Rahab”
“Ohoooo Rahab, nashukuru kukufahamu”
“Nawe pia”
“Rahab huyu ni Frednando, ni ndugu yangu sana tumesoma chuo kimoja, tumalala chumba kimoja”
“Pia kula tulikua tunakula pamoja”
 
Frednando alidakia na kuwafanya wote kucheka. Wakawakabidhi suti walizo kuja nazo, kisha wao wakatoka nje na kuwasubiria Rahab na Raisi Praygod waweze kuvaa nguo hizo. Kila mmoja akvaa suti aliyo letewa, kama vile Frednando aliotea, suti hizo ziliwatosha vizuri sana Rabab na Rais Praygod. Wakakabidhiwa viatu vilivyo kua vimesaulika ndani ya gari moja waliyo kuja nayo. Wakatatoka ndnai ya chumba na kukuta Azaria akiwa amewasubiria nje.
“Azaria tunashukuru sana, Mungu akubariki katika kila jambo ambalo unakwenda kulifanya”
 
“Kwani huyo ni nani?”
Frednando aliuliza, huyu anaitwa Azaria alitusaidia barabarani, akatununulia chakula na kutulipia hadi hapa tulipo lala”
“Ohooo, ngoja basi”
Frednando akamngong’oneza mlizi wake, ambaye akatoa kitabu kidogo cha benk, pamoja na kalamu. Frednando akamuandikia Azaria cheki ya shilingi dola kali mbili na kumkabidhi. Azaria hakuamini machi yake kwani, tangu azaliwe hakuwahi kufikiria kwamba ipo siku atapata mkwanja mrefu kiasi hicho. Wakaagana na Azaria, kisha safari ya kuelekea kwenye jumba la Frednando ikaamza
 
  ***
Fetty na wezake wakajikuta wakimshangaa, Samson anaye garagara chini kwa maumivu makali ya risiasi aliyo pigwa na bwana Rusev.
“Jamani itakuaje?”
Agens alizungumza kwa sauti ya chini, huku wakiendelea kumtazama bwana Rusev akifoka kwa sauti ya juu huku akimtazama Samson aliye lala chini.
 
Mawazo yote ya bwana Rusev alihisi kwamba Samson yeye ndio chanzo kikubwa cha yeye kuvamiwa na wanajeshi wa nchi yake. Kwani uchunguzi walio weza kuufanya wakiwa ndani ya manohari ambayo walilitewa kwa ajili ya kuuziwa, kulikuwa na kifaa cha GPR’s, ambacho kiliweza kuionyesha manohairi hiyo ni wapi ilipo, kifaa kilicho washwa na Halima pasipo yeye kujijua, kina kazi gani katika manohari hiyo, iliyokuwa hainaswi na satalaiti zozote za nchi waliyo kuwepo.
Bwana Rusev akaanza kumshushia kipigo kikubwa, Samson ambaye muda wote aliendela kulia kwa maumivu makali.
 
“Tuondokeni jamani”
Halima alizungumza huku akianza kutambaa kurudi rudi nyuma, kutoka katika bustani kubwa yenye maua waliyo lala.
“Tutakwenda wapi unadhani?”
Anna aliungumza
“Hembu acha ujinga wewe, sasa unataka tukae hapa ili iweje?”
“Na Samson je?”
“Kwani ni bwana wetu huyo, acheni afe mwenyewe bwana, sisi tunajua ni wapi tunatoka, mi naona anatupeleka peleka tu”
 
Halima alizungumza kwa hasira, kwani tangu siku ya kwanza kumuona Samson, damu zao hazikulandana kabisa, kiasi cha kumfanya Halima kumchukia Samson, hata kama walizungumza, ila moyo wake ulijawa na mashaka na Samson.
 
“Hembu Halima acha roho mbaya, tumekuja pamoja tutaondoka pamoja haiwezekani tumuache mwenzetu hapa”
Fetty alizungumza kwa msisitizo na kuzidi kumchefua Halima. Bwana Rusev akamuamrisha askari kuwasiliana na wezao walio ndani, naye akafanya hivyo kupitia simu ya upepo. Taaa zote nje ya jumba hili zikawashwa, na kuwafanya Fetty na wezake waonekane waliopo, Walinzi wapatao hamsini, wakiwa na bunduki, waliiekekeza mitutu yao katika eneo walilo lala Fetty na wezake na kuwafanya wanyanyuke taratibu huku mikono wakiwa wameinyanyua juu.

  SHE IS MY WIFE(32)

    Hapakuwa na mtu aliye weza kumuonea mwenzake aibu zaidi ya wote kushiriki tendo la ndoa ipasavyo. Rahab akazidi kujituma kitandani kumpa muheshimiwa Raisi mambo matamu ambayo hata Raisi Praygod, hakuwahi kuyapata kutoka kwa mwanamke wa aina yoyote tangu azaliwe. Hata marehemu mke wake, hakuweza kufikia hata aslimia kumi kwa mambo ambayo Rahab anamfanyia juu ya kitanda. Wote wakajikuta wamesahau kwamba wanapita katika kipindi kigumu cha matatizo.
 
“Rahab”
Raisi Praygod alimuita Rahab, aliye mkalia juu ya kiuno chake akizidi kukatika kadri ya uwezo wake.
“Mmmmmm”
Rahab aliita huku akiwa amebana pumzi zake, huku jasho kwa mbali likimwagika na nywele zake ndefu zikiwa zimekaa shaghala baghala.
 
“Nataka nikuoe”
“Kweli?”
“Ndio nahitaji uwe mke wangu, wa ndoa”
Rahab kuambia wahivyo hakujibu kwa sauti, ila akajibu kwa vitendo, vilivyo mfanya Raisi kusahau matatizo yote na kuzidi kuchanganyuikiwa kwa penzi hilo la binti mdogo mwenye mwili mwembamba, fulani, ila si shuuhuli ya kupambana pekee yake na maadui, ila hata shughuli ya kitandani anaiweza kwa asilimia mia moja. Hadi wanafikia kileleni wote kwa pamoja wakajikuta wakicheka huku wakiamini kwamba walicho peana kilistahili kwa wao kuweza kukipata kwa wakati huo.
 
“Nakupenda sana Rahab”
Raisi Praygod alizungumza huku akihema mithili ya mwana riadha wa mwisho kwenye mbio ndefu, aliyekua na kibarua kirefu cha kuwakimbiza wezake wanao kwenda kwa mbio ndefu sana.
“Nakupenda pia Praygod”
Kwa mara ya kwanza Rahab kufungua kinywa chake na kuliita jina la Raisi, kwani siku zote alizoea kumuita muheshimiwa Raisi. Taratibu Rahab akajilaza kifuani mwa Raisi Praygod, huku taratibu akiupa kazi  mkono wake wa kushoto kuchezea nywele nyini lizizopo kifuani mwa raisi Praygod.
 
“Twende tukaoge”
Raisi Praygod alizungumza, na taratibu wote wakashuka kitandania, wakaingia bafuni na kila mmoja akawa na kazi ya kumuogesha mwenzake kwa kila kona ya mwili. Ukawa ndio mwanzo mpya wa mahusiano kati ya Raisi Praygod na Rahab, kila mmoja aliweza kuufungua moyo kwa mwenzake na kuamini upendo wao umeendana kwa asilimia kubwa sana.
                                                                                                        ***
Kila jinsi  walivyo zidi kuogelea ndivyo jisi walivyo zidi kwenda mbele, huku mara kwa mara wakiwa wanajitokeza kwenye usawa wa bahari kutazama ni wapi wanapo elekea. Ikawachukua muda mrefu sana kuweza kufika pembezoni mwa fukwe za bahari, katika eneo ambalo limetulia sana. Wote wakaivua mitungi ya gesi ambayo walikuwa wameivaa migongoni mwao. Kila mmoja alijihisi njaa kubwa kwenye tumbo lake, kwani waliweza kudumu ndani ya maji takribani masaa nane, wakiwa wanatoroka kutoka sehemu mmoja kwenda nyinine
 
“Ahaaa kudadadeki, kweli ng’ombe wa masikini hazai”
Halima alizungumza kwa sauti kubwa huku akijilaza kwenye mchanga mweupe ulio kua pembezoni mwa bahari hii kubwa. Hakuna aliye mjibu zaidi ya wezake kuendelea kutazama kila eneo la fukwe hizi zinazo pendeza kuvutia sana.
 
“Jamani inakuaje?”
Anna aliuliza kwa sauti ya unyonge, dhairi akionekana kuchoka sana.
“Nahisi hapa kwenye fukwe kunaweza kua na nyumba tutembeeni tembeeni, tunaweza kupata msaada”
Samson aliwashauri wezake
“Lakini jamani, hembu kuweni makini. Hapa tulipo fika sote hatupajui. Isije ikawa fukwe ya jeshi ikala kwetu ohooo”
Halima alizungumza huku akijigeuza geuza kwenye mchanga
“Sasa Halima wewe unataka tuendelee kukaa hapa si ndio?”
“Hapana sijasema hivyo Fetty, ila ninacho sema mimi, tuwe makini tusiwe vihere here. Kama pesa tumezikosa, lile lidude nalo limechukuliwa. Yote kwa tamaa zetu”
 
“Halima huu muda sio wa kulaumiana bwana”
Agnes alizungumza kwa hasira kali.
“Hata kama, jamani lakini hua siku zote nikizungumzaga ukweli, munaniona mimi fala. Sasa huyo Samson tuliye msaidia naye katuileta huku, nilipo kua ninamkatalia tusiwe pamoja naye mimi nilijua tuu haya yatatokea. Haya baba Samson tuambie tunaelekea wapi?”
 
“Maneno ya Halima, yakamkera kila mtu ambaye, alionekana kuchoka sana kwa shuhuli nzima waliyo ifanya ya kujioko kutoka kwenye jeshi la nchi ya Russia 
 
Wakaanza kutembea kwa umakin, huku wakitazama kila eneoa la fukwe hii. Kigiza kilisha anza kuchukua nafasi yake huku kila mmoja akaizidi kunyong’onyewa kwa kuchoka sana. Hawakukata tamaa zaidi ya kwenda mbele kubahatisha kama wanaweza kupata sehemu ya kujistiri. Hadi inagonga mishale ya saa mbili usiku hapakuwa na mtu aliye baatika kuona nyumba ama uwepo wa watu katika eneo hilo
“Jamani tupumzikeni bwana na kama kuendelea tutaendelea kutembea tukiwa na nguvu”
 
Halima alizungumza huku akiwa amesimama, wezake wote wakamgeukia na kumkodolea mimacho. Kila mtu akakubaliana na wazo la Halima, wakatafuta moya ya jiwe kubwa lililo toboka na kuweka kijichumba kidogo, wote wakaingia na kukaa humo. Mwanga wa mbalamwezi uliweza kuwaonyesha ndani ya jiwe hilo kubwa, hapakuwa na kitu chochote kinacho weza kuwadhuru. Baridi kali kwao ndio ikawa ni changamoto kubwa sana iliyo weza kuwatesa miili yao, isitoshe nguo walizo zivaa zilizo tengenezwa kwa material ya mpira hazikuweza kabisa kuizuia baridi hiyo kuendelea kuwapiga kwenye miili yao.
 
“Mmmm hili puku ni balaaa”
Agnes alizungumza huku akijikunyata, taratibu Samson akatoka ndani ya jiwe na kusimama nje, akatizama kila kona ya fukwe hakuona mtu yoyote, akazunguka nyuma ya jiwe na kujisaidia haja ndogo ambayo ilikuwa imememkamata kwa kipindi kirefu sana. Akiwa katikati ya kujisaidia haja ndogo kwa mbali akaweza kuona mwanga wa taa ukitokea kwenye moja ya nyumba iliyo mbali kidogo toka hapo walipo, kwa haraka akamaliza haja yake na kuzunguka walipo wezake
 
“Jamani kuna kitu nimekiona tokeni haraka”
Fetty na wezake wakatoka kwa haraka, Samson akawaonyesha mwanga wa taa hiyo . Kwa haraka bila hata ya kujiuliza wakanza kukimbia kuelekea kwenye nyumba hiyo. Kila walivyo zidi kwenda ndivyo walivyo zidi kuiona mandhari ya nyumba hiyo, ambayo ni kubwa kiasi na yagorofa.  Wakafanikiwa kufika kwenye uwanja wa jumba hilo linalo onekana ni jumba la kifahari, ila nje hapakua na taa ya aina yoyote, zaidi ya taa inayo waka kwenye chumba hicho kimoja.
 
“Jamani, tuweni makini naona tunaenda tu”
Halima alizungumza, kwa kujiamini. Wote wakasimama kutazama mazingira ya jumba hili lililo zungukwa na miti mingi ya minazi. Kwa mbali wakasikia mngurumo wa gari ukiwa unakaribia kufika kwenye jumba hili, kwa haraka wakatafuta sehemu ya kujificha ambayo iliwawezesha kuona mlango mkubwa wa kuingilia ndani ya jumba hilo.
 
Gari moja ya kifahari aina ya Jaguar, ikasimama nje ya jumba hili. Wakashuka watu wawili walio valia suti huku mikononi mwao wakishika bunduki aina ya Short gun. Mmoja akazunguka upande wa pili wa gari ambapo akaufungua mlango wa gari hiyo. Wote wakamshuhudia bwana Rusev akishuka kwenye gari hilo la kifahari huku akionekana kutazama kila upande wa jumba hilo.
 
‘Asante Mungu’
Samson alizungumza kimoyo moyo, kwani amemuona rafiki yake huyo. Waliye toka kupotezana masaa machache ya nyuma. Samson kwa haraka akanyanyuka na kuanza kukimbilia sehemu alipo Rusev, jambo lililo mfanya Agnes naye atake kunyanyuka kutoka katika sehemu waliyo jificha ila Fetty akamzuia.
 
Bwana Rusev na watu wake wakaonekana kusthushwa na uwepo wa Samson katika eneo hilo, ambalo kwao ni eneo la maficho la kiongozi huyu. Kabla Samson hajafika alipo bwana Rusev, akachomoa bastola yake moja na kumtandika Samson, ya kwenye mguu, na kumuangusha Samson chini akiwa haamini kama Rusev anaweza kumfanyihi hivyo.
                                                                                          ***
Kitu cha kwanza kukifanya Raisi Praygod baada ya kuamka asubuhi akaichukua simu iliyopo mezani na kimpigia rafiki yake Frednando, akampa jina la Motel walipo fikizia, na akamuomba aje na nguo za wao kuvaa.
“Umeakaje mpenzi”
Rahab alizungumza kwa sauti ya uchovu huku akimtazama usoni Rais Praygod aliye achia tabasamu pana usoni mwake.
“Mimi nimeamka salama”
Rahab taratibu akajivuta karibu na sehemu alipo kaa Raisi Praygod, pembezoni mwa kitanda na kumpiga busu moja la mdomoni. Kisha akajilaza kwenye mapaja ya Raisi Praygod.
 
“Wewe ni mzuri sana Rahab”
“Kwa nini unasema hivyo?”
“Umenifanya sasa, nijisikie kua ni mwanaume mwenye bahati, kumpata mwanamke ambaye siku zote kwenye maisha yangu nilikua nikumuwazia”
“Kweli?”
“Ndio, yaani umenipa kitu ambacho sijawahi kupewa tangu nitoke tumboni mwa marehemu mama yangu”
Rahab akatabasamu, taratibu akajinyanyua mapajani mwa raisi Praygod, na kuanza kumnyonya midomo yake, taratibu wakajikuta wakiingia kwenye dimbwi jengine zito la mahaba, ambapo kama kawaidia yake Rahab, alijua ni nini cha kufanya kuzidi kumpagawisha rasi Praygod, ambaye tayari anaonekana amenogewa na utamu wa penzi la Rahab, binti aliye mpita miaka kumi.
 
Azaria akagonga mlango akimuashiria Raisi Praygod kwamba, ni muda wa wao kuweza kupata kifungua kinywa. Ila hapakuwa na jibu lolote kutoka kwa raisi, ikamlazimu Azaria kuweka sikio lake moja mlangoni kusikiliza ni kitu gani, kinacho endelea. Akajikuta akitabasamu, baada ya kusikia vilio mchanganyiko kati ya Rahab na Raisi Praygod.
“Mmmm huyo ndio raisi”
 
Azaria alizungumza kwa sauti ya chini na kuondoka katika mlango na kurudi chumbani kwake kuvuta vuta pumzi akisubiria mtanange wa kukata na shoka uliopo ndani ya chumba cha Raisi Praygod uweze kumalizika.
Ikawachukua takribani dakika arobaini, kumaliza mtanange woa. Raisi kambeba Rabab na kuingia naye bafuni ambapo waliweza kuoga kwa pamoja kisha wakajifunga mataulo yao. Kabla hawajaendelea kufanya kitu kingine, mlango ukagongwa tena.
“Who?”(Nani?)
Raisi Praygod aliuliza kwa sauti ya kujiamini.
“Ni mimi muheshimiwa, Azaria”
“Ahaaa”
Raisi Praygod akapiga hatua hadi mlangoni ambapo, akaufungua kwa funguo iliyokuwa imening’inia kwenye kitasa cha mlango huo. Akamkuta Azaria akiawa amesimama huku mkononi mwake akiwa ameshika chupa mbili za juisi pamoja na kifuko cha rangi ya kaki.
 
“Muheshimiwa kifungua kinywa”
Azaria alizungumza huku akiwa amesimama nje ya mlango
“Karibu ndani”
Azaria akaingia ndani na kumkuta Rahab akiwa amesha jifunga taulo, na kukaa kitandani, simu ya mezani ikaita na kumfanya Raisi Praygod kuipokea
“Nimesha fika kaka”
Sauti ya Frednando ilisikika kwenye simu
“Ahaaa, kuna  kijana wangu hapo anakuja kukuchukua, akulete chumbani”
“Sawa kaka”
Frednando alizungumza kwa sauti ya furaha, kwani ni muda mrefu umepita sasa tangu aonane na rafiki yake huyu. Raisi akamuomba Azaria kwenda kumpokea rafiki yake huyo kipenzi. 

Azaria akatoka nje, na kukuta gari za kifahari sita zikiwa zimesimama nje ya moteli hiyo, kutokana alielekezwa Frednando anafanania vipi, moja kwa moja akamfwata na kumuomba waweze kuongozana hadi sehemu alipo Raisi Praygod. 

Frednando akaongozana na walinzi wake wawili walio beba suti mbili kwenye mifuko yake maalumu, suti hizo zenye gharama kubwa. Wakafika kwenye chumba alipo raisi Praygod. Ikawa ni shangwe kubwa kwa Frednando na Raisi Praygod, vituko vya kusalimiana kwao unaweza kusema kwamba sio waheshimiwa wanao kubalika sana mbele ya macho ya wanajamii wengi.
“Ebwanaa kaka ni more than, miaka kumi na tano hatujaonana eheee?”
 
“Yaa kaka, kweli Mungu ni mwema”
“Kweli ndugu yangu, nakumbuka kipindi kile ulikua unaniambia utakua raisi na kweli, leo wewe ni raisi”
“Kweli ndugu yangu ndoto zimekua kweli”
Fredinando akawageukia walinzi wake na kuwaambia kwa lugha ya kispain kwamba Praygod ndio mtu alimfundisha lugha ya kiswahili ambayo hadi leo imekuwa ni lugha anayo ipenda sana, japo yeye ni mmexco.
“Kutana na shemeji yako, anaitwa Rahab”
“Ohoooo Rahab, nashukuru kukufahamu”
“Nawe pia”
“Rahab huyu ni Frednando, ni ndugu yangu sana tumesoma chuo kimoja, tumalala chumba kimoja”
 
“Pia kula tulikua tunakula pamoja”
Frednando alidakia na kuwafanya wote kucheka. Wakawakabidhi suti walizo kuja nazo, kisha wao wakatoka nje na kuwasubiria Rahab na Raisi Praygod waweze kuvaa nguo hizo. Kila mmoja akvaa suti aliyo letewa, kama vile Frednando aliotea, suti hizo ziliwatosha vizuri sana Rabab na Rais Praygod. Wakakabidhiwa viatu vilivyo kua vimesaulika ndani ya gari moja waliyo kuja nayo. Wakatatoka ndnai ya chumba na kukuta Azaria akiwa amewasubiria nje.
“Azaria tunashukuru sana, Mungu akubariki katika kila jambo ambalo unakwenda kulifanya”
 
“Kwani huyo ni nani?”
Frednando aliuliza, huyu anaitwa Azaria alitusaidia barabarani, akatununulia chakula na kutulipia hadi hapa tulipo lala”
“Ohooo, ngoja basi”
Frednando akamngong’oneza mlizi wake, ambaye akatoa kitabu kidogo cha benk, pamoja na kalamu. Frednando akamuandikia Azaria cheki ya shilingi dola kali mbili na kumkabidhi. Azaria hakuamini machi yake kwani, tangu azaliwe hakuwahi kufikiria kwamba ipo siku atapata mkwanja mrefu kiasi hicho. Wakaagana na Azaria, kisha safari ya kuelekea kwenye jumba la Frednando ikaamza
 
       ***
Fetty na wezake wakajikuta wakimshangaa, Samson anaye garagara chini kwa maumivu makali ya risiasi aliyo pigwa na bwana Rusev.
“Jamani itakuaje?”
Agens alizungumza kwa sauti ya chini, huku wakiendelea kumtazama bwana Rusev akifoka kwa sauti ya juu huku akimtazama Samson aliye lala chini.
 
Mawazo yote ya bwana Rusev alihisi kwamba Samson yeye ndio chanzo kikubwa cha yeye kuvamiwa na wanajeshi wa nchi yake. Kwani uchunguzi walio weza kuufanya wakiwa ndani ya manohari ambayo walilitewa kwa ajili ya kuuziwa, kulikuwa na kifaa cha GPR’s, ambacho kiliweza kuionyesha manohairi hiyo ni wapi ilipo, kifaa kilicho washwa na Halima pasipo yeye kujijua, kina kazi gani katika manohari hiyo, iliyokuwa hainaswi na satalaiti zozote za nchi waliyo kuwepo.
Bwana Rusev akaanza kumshushia kipigo kikubwa, Samson ambaye muda wote aliendela kulia kwa maumivu makali.
 
“Tuondokeni jamani”
Halima alizungumza huku akianza kutambaa kurudi rudi nyuma, kutoka katika bustani kubwa yenye maua waliyo lala.
“Tutakwenda wapi unadhani?”
Anna aliungumza
“Hembu acha ujinga wewe, sasa unataka tukae hapa ili iweje?”
“Na Samson je?”
“Kwani ni bwana wetu huyo, acheni afe mwenyewe bwana, sisi tunajua ni wapi tunatoka, mi naona anatupeleka peleka tu”
Halima alizungumza kwa hasira, kwani tangu siku ya kwanza kumuona Samson, damu zao hazikulandana kabisa, kiasi cha kumfanya Halima kumchukia Samson, hata kama walizungumza, ila moyo wake ulijawa na mashaka na Samson.
 
“Hembu Halima acha roho mbaya, tumekuja pamoja tutaondoka pamoja haiwezekani tumuache mwenzetu hapa”
Fetty alizungumza kwa msisitizo na kuzidi kumchefua Halima. Bwana Rusev akamuamrisha askari kuwasiliana na wezao walio ndani, naye akafanya hivyo kupitia simu ya upepo. Taaa zote nje ya jumba hili zikawashwa, na kuwafanya Fetty na wezake waonekane waliopo, Walinzi wapatao hamsini, wakiwa na bunduki, waliiekekeza mitutu yao katika eneo walilo lala Fetty na wezake na kuwafanya wanyanyuke taratibu huku mikono wakiwa wameinyanyua juu.

ITAENDELEA

Usikose kufuatilia sehemu inayofuata kupitia ubuyublog.com

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts