Home » » Kangi Lugola Adai Mkataba wa EPA Utatuletea USHOGA.....Asisitiza serikali isiusaini ili Kuwalinda Wanaume

Kangi Lugola Adai Mkataba wa EPA Utatuletea USHOGA.....Asisitiza serikali isiusaini ili Kuwalinda Wanaume

Written By Bigie on Wednesday, November 9, 2016 | 8:28:00 AM


Mbunge  wa Mwibara Kangi Lugola, ameupinga  kwa  nguvu  zake zote  mkataba  wa EPA kwa madai kwamba hauna manufaa yoyote kwa taifa letu na kwamba ndani ya mkataba huo kuna vishiria vya USHOGA

Lugola aimeitaka serikali isiusaini mkataba huo ili kulinda maumbile ya wanaume yanayotaka kuharibiwa kupitia mkataba huo.

Msikilize hapo chini alipokuwa akitoa mchango wake bungeni


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts