Get the latest updates from us for free

Home » » LIVE: Fuatilia Hapa Zoezi la Kuuaga Mwili wa Samwel Sitta ambalo Linaongozwa na Rais Magufuli

LIVE: Fuatilia Hapa Zoezi la Kuuaga Mwili wa Samwel Sitta ambalo Linaongozwa na Rais Magufuli

Written By Bigie on Friday, November 11, 2016 | 9:24:00 AM

Leo kuna shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Spika wa Bunge Maalum la Katiba(BMK), Marehemu Samwel Sitta.

Rais Magufuli ataongoza waombolezaji kuuaga mwili wa Marehemu Sitta katika Viwanja vya Karimjee.


==Fuatilia  zoezi hili hapo chini

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts