Home » » Maneno ya Diamond Platnumz baada ya ushindi wa Tuzo za Afrima2016

Maneno ya Diamond Platnumz baada ya ushindi wa Tuzo za Afrima2016

Written By Bigie on Tuesday, November 8, 2016 | 11:36:00 AM

Tuzo za All African Music (AFRIMA) Zimefanyika jijini Lagos nchini Nigeria usiku wa kuamkia jana na Diamond Platnumz Star wa single ya Kidogo yenye collabo na Mastaa wa P Sqaure, ameibuka mshindi wa jumla ya tuzo tatu, akiwa anaongoza kwenye list za washindi wote.
 
 November 7, 2016 Diamond Platnumz amepost kwenye page yake ya Instagram akiwashukuru mashabiki na wote waliompigia kura zilizomfanya kushinda tuzo tatu.
 
Hii ni post ya Diamond Platnumz maalumu kwa watanzania na mashabiki wake duniani nzima.


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts