Home » » VIDEO: Rais Magufuli akieleza sababu ya kuvunja Bodi ya Mamlaka ya Mapato TRA

VIDEO: Rais Magufuli akieleza sababu ya kuvunja Bodi ya Mamlaka ya Mapato TRA

Written By Bigie on Friday, November 25, 2016 | 9:18:00 AM

RAIS John Magufuli amefichua siri ya hatua yake ya kuitumbua Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Amesema alilazimika kuchukua hatua hiyo baada ya bodi hiyo kuidhinisha Sh bilioni 26 kupelekwa kuwekwa kwenye akaunti maalumu( Fixed Account)  katika benki kadhaa za biashara.

==> Msikilize hapo chini


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts