Get the latest updates from us for free

Home » » Ratiba ya kufuzu AFCON2019, Tanzania yapangwa kundi moja na Uganda

Ratiba ya kufuzu AFCON2019, Tanzania yapangwa kundi moja na Uganda

Written By Bigie on Saturday, January 14, 2017 | 11:19:00 AM

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa ratiba ya makundi ya kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika mwaka 2019 (AFCON2019) michuano ambayo itafanyika nchini Cameroon.

Tanzania imepangwa katika kundi L ikiwa pamoja na Uganda, Lesotho na Cape Verde.

Michuano hii hufanyika kila baada ya miaka miwili ambapo mwaka 2017 inafanyikia nchi Gabon ambapo inatarajiwa kuanza leo  Januari 14, 2017.


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts