Get the latest updates from us for free

Home » » Breaking News: Rais Magufuli Katengua Uteuzi wa Wazir Nape Nnauye......Kamteua Mwakyembe Kuchukua Nafasi Yake

Breaking News: Rais Magufuli Katengua Uteuzi wa Wazir Nape Nnauye......Kamteua Mwakyembe Kuchukua Nafasi Yake

Written By Bigie on Thursday, March 23, 2017 | 4:28:00 PM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 23 Machi, 2017 amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri.

Katika Mabadiliko hayo, Mhe. Rais Magufuli amemteua Prof. Palamagamba Aidan John Mwaluko Kabudi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria.

Aidha, Mhe. Dkt. Magufuli amemteua Dkt. Harrison George Mwakyembe kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Uteuzi huu unaanza mara moja.

Wateule wote wataapishwa kesho Mchana tarehe 24 Machi, 2017 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.


Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam

23 Machi, 2017

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts