Get the latest updates from us for free

Home » » Kauli ya Zitto Kabwe na Hussein Bashe Baada ya Rais Magufuli Kumtumbua Nape

Kauli ya Zitto Kabwe na Hussein Bashe Baada ya Rais Magufuli Kumtumbua Nape

Written By Bigie on Thursday, March 23, 2017 | 4:28:00 PM

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli leo kutengua uteuzi wa Waziri  wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo, Nape Nnauye.....mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe na Mbunge wa Nzega, Hussein Bashe wametoa kauli kuhusiana na sakata hili

Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter ameandika: "Nimezungumza na mbunge wa Mchinga Nape kuthibitisha kuwa Ni Kweli ameondolewa kwenye Uwaziri. Nape ni Shujaa wa kizazi chetu"
Bashe kupitia Instagram kaandika:You will never walk alone, I know you, we know you, Justice will prevail no matter how long it will take.

Karibu back bench tutumikie Taifa letu, Majimbo yetu na Chama chetu usivunjike moyo. It's just beginning of a New journey.


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts