Get the latest updates from us for free

Home » , » SORRY MADAM -Sehemu ya 41 & 42 (Destination of my enemies)

SORRY MADAM -Sehemu ya 41 & 42 (Destination of my enemies)

Written By Bigie on Sunday, March 19, 2017 | 9:15:00 AM

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWAILIPOISHIA
ILIPOISHIA
"Unajua nini nataka"
Paulina akafungua kifungo cha tatu cha shati lake, maziwa yake pamoja na tumbo lake vikaonekana vizuri. Paulina akauchukua mkono wa kulia wa meneja na kuukandamiza kifuani mwake, akamshikisha maziwa meneja, akabaki akiwa ameduwaa huku akihema. Gafla Paulina akamshika meneja Shingo yake, akamgandamiza kichwa chake kwenye meza kwa nguvu na kumuachia. Paji zima la uso wa meneja likawa linavuja damu nyingi na kumfanya atoe kilio cha maumivu.

ENDELEA
"Unajisikiaje?"
Paulina alimuuliza meneja wa benki ambaye kichwa chake kilisha anza kuvuma milio ambayo ni ya ajabu ajabu ambayo yanatokana na maumivu makali sana ya kubamizwa kwenye meza yake. Paulina akajifunga vifungo vya shati lake na kujiweka sawa. Akazunguka upande wa pili wa meza na kumshika shati meneja, akamnyanyua juu na kumsogeza karibu na uso wake.
 
"Nahitaji pesa"
Paulina alizungumza kwa kujiamini sana.
"Pesa! Pesa gani?"
"Priscar fanya kazi iliyo kupeleka hapo"
Sauti ya Rahab ilisikika kupitia kinasa sauti alicho kivaa masikioni make. Hakuwa Paulina kama alivyo jitambulisha ila ni Priscar aliye panga mpango na Rahab kufanya uvamizi wa kimya kimnya. Huku Priscar akiwa amevaa sura ya bandia ambayo si rahisi kwa mtu kuweza kumfahamu.
 
Kwa amri aliyo pewa na Rahab, Moja kwa moja, akamuamrisha meneja kuelekea kwenye chumba ambacho kinahifadhiwa mali nyingi za benki ikiwemo pesa nyingi sana. Pasipo mtu yoyote kuweza kufahamu ni kitu gani kinacho endelea huku damu zilizo kuwa zimejaa usoni make zikiwa zimefutwa na Paulina au Priscar.
 
Chumba kilicho jaa droo nyingi za chuma zenye mamba kwa kila droo meneja akaanza kufungua droo moja hadi nyingine. Huku mapigo ya moyo yakimuenda kasi sana, kwa vitisho ambayo aliweza kuvipata.
Priscar akawa na kazi ya kukusanya madini yenye thamani kubwa, hakuhitaji Kuchukua pesa kutokana na kuhofia kustukiwa.
 
"Nakuomba mumuachie mwangu tafadhali"
Meneja alizungumza katika hali ya majonzi kwani kwa kipindi alipo kuwa ofisini kabla ya kutolewa kwenye ofisi hiyo. Alipewa simu na kuzungumza na mtu ambaye amemteka mwanae wa kike kipenzi na wapekee. 
 
"Nilazima kutoka hapa tuondoke pamoja"
"Nipo tayari katika hilo"
Priscar alipo hakikisha amechukua madini yenye thamani si chinj ya bilioni moja ya kitanzania. Akaifunga pochi yake, wakatoka katika chumba hicho ambacho mara nyingi huingia watu .atajiri wanao sadikika kuweka thamani ya pesa zao katika mfumo wa madini ambayo huwa na thamani sawa na pesa ambazo wanaziweka.
 
Wakatoka nje pasipo mtu yoyote kuweza kustukia swala lililo tokea. Wakaingia katika gari la Priscar na kuondoka naye kuelekea katika eneo ambalo yupo Rahab akiwa amemshikilia mtoto wa kike wa meneja wa benki.
 
***
Msako wa kumtafuta mke wa raisi ukazidi kuendelea kufanyika, hapakuwa namkuu wa jeshi aliye weza kulala. Kila mmoja alihakikisha kwamba anakiamrisha kikosi chake katika kuwatafuta watu ambao wamemteka mme wa raisi.

Uvumilivu ukawashinda jeshi na kuamua kutangaza hadharani zawadi nono kwa mtu ambaye atafanikisha kukamatwa kwa watekaji walio mchukua mke wa raisi. Hapakuwa na aliye kuwa na hisia kwamba mke wa raisi hajatekwa na yupo kwenye maficho ya handaki ambalo siku za nyuma alikuwa akilitumia yeye na wezake wakiwa katika kujificha kipindi wakifanya shuhuli za kijambazi.
 
Mawazo yakazidi kumkondesha raisi Praygod, uchangamfu wake ulipotea kwa watu wake wa karibu. Hapakuwa na mtu aliye weza kuzungumza jambo la kumfurahisha, akili yake yote ipo kwa mke wake kipenzi. Hata baadhi ya kazi za kiserikali zikaanza kumshinda kufanya. Ikamlazimu makamu wa raisi kuweza musimamia baadhi ya amjukumu.
 
"Muheshimiwa kuna mgeni anahitaji kukuona"
Sekretaari wake alimuambia raisi Praygod aliye jiinamia kwenye meza yake mawazo yakizidi kumpelekesha puta.
"Sihitaji kuonana na mtu kwa wakati hu"
"Ila amesema ni muhimu sana"
Kwa jicho alilo mtazama sekretari wake lilimtosha kufahamu kwamba rahisi haitaji kuzungumza naye. Taratibu mama huyo akatoka ofisini kwa raisi Praygod na kurudisha jibu kwa mkemia mkuu, bwana Ingnatus Mkama.
 
Jibu hilo likafedhesha mkemia wa serikali kwani alihitaji kumjulisha juu ya mazishi ya Lukuman ambaye ana wiki kadhaa akiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti, huku watu wengi wakiamini kwamba ndio Eddy.
"Nitafanya ninacho kifahanu"
Mkemia mkuu akizungumza na kuamua kuondoka akiwa amechoshwa sana skendo ambayo rafiki yake wa karibu bwana Eddy Godwin, zinaendelea kumtafuna kwenye jamii akioneka si mtu mwema kwao.
 
***
Shamsa hakuwa na jinsi yoyote zaidi, ya kuendelea kujitahidi kuogelea kuyaokoa maisha yake. Hakuhitaji kufia baharini. Ni bora kufili mbali na si kwenye bahari. Chuki dhidi ya Tanzania ikaanza kumjaa moyoni make. Furha ya maisha aliyo kuwa nayo kipindi cha nyuma imepotea. Akazidi kukumbuka Eddy kwa msaada alioweza kumpatia. Akimchukulia na kumpenda kama mwanae 
 
Kadri jinsi alivyo zidi kwenda ndivyo jinsi Shamsa alijikuta akichoka. Njaa kali ikazidi kumtesa tumboni make, uwezo na kasi ambayo alikuwa anaitumia katika kuogelea ikaanza kupungua taratibu. Hali ikazidi kuwa mbaya zaidi na ndani ya dakika kumi mbele akajikuta akipoteza fahamu kabisa. Boti moja iliyo jaa watu wembamba kasi huku nywelie zao zikiwa zimenyongorotana, wakasimama karibu na ulipo mwili wa Shamsa unao elea juu ya maji. Mmoja wao akamkabidhi mwenzake bunduki yake, kisha yeye akajitosa ndani ya maji.
Wakamuokoa Shamsa na kumuingiza ndani ya boti na kuondoka naye. 

Kila mmoja wao ndani ya boti hiyo aliweza kumtambua binti huyo, moja kwa moja wakampeleka kwenye makao makuu yao ha Al-Shabab. Moja kwa moja wakampeleka kwa Kiongozi wao bwana Mohammed Abdulah.
"Briton hamujampata?"
"Hatujampata kiongozi, huyu amekuwa kama bahati kwani kwenye patrol yetu ndio tumeweza kumpata Shamsa"
 
Kwa upande mmoja ikawa ni furaha kwa bwana Mohamed Abdulah na kwa upande mwingine imawa ni huzuni, kubwa kwa kumpoteza kijana wake aliye mtegemea kuliko yoyote, japo habari za vijana wake wengine alio watuma nchini Tanzania alizipata kwamba wamepoteza maisha. Shamsa akapatia watibabu yote ya muhimu huku daktari akitoa majibu yaliyo mridhisha bwana Abdulah Mohammed.
 
"Kwahiyo umesema kwamba hali yake itakuwa nzuri"
"Ndio muheshimiwa atakuwa salama, akizinduka hapa kila kitu kitakuwa sawa"
Wakamuacha Shamsa katika chumba maalumu cha matibabu kisha yeye na daktari wakatoka ndani ya chumba hicho.
 
***
Hali ya Eddy ikazidi kuhimarika siku hadi siku, huku dokta William akizidi kumuhudumia jeraha lake hadi likapona kabisa. Dokta William akamtafutia Eddy, mwalimu wa kumfundisha maswala ya kujilinda katika maisha yake ya baadaye. 

Eddy akazidi kupiga tizi na kujifunza mbinu mbalimbali za kuweza kupambana kwanza kutumia mwili wake ikiwa akipatiwa ujuzi wa kareti pamoja na mafuzo ya judo. Alipo weza kuhitimu kwa wakati mfupi tu, akaingia katika mafunzo ya taikondo ambayo aliweza kufundishwa na .walimu mwengine kutoka nchi ya Thailand. 
 
Mafunzo hayo Eddy aliweza kujifunza kwa juhudi zote, huku akilini mwake kukiwa na hali moja tu ya kipiza kisasi kwa mzee Godwin aliye weza kuhusika katika kumuulia familia yake. 
 
Mazoezi hayo yakazidi kuuimarisha mwili wa Eddy. Haukuwa kama awali alivyo kuwa bali aliweza kupungua kwa kiasi kikubwa. Kifua chake hadi tumboni kuliweza kugawanyika katika miraba sita. 

Misuli ya mikono yake iliweza kugawanyika kwa kiasi cha kumfanya muonekano wa mwili wake kubadilika kwa kiasi kikubwa. Hakuwa Eddy waziri tena ambaye hapo awali mwili wame ulisha anza kunenepa na kutokwa na kitambi. Ila huyu ni Black Shadow, umri wake wa miaka ishirini na saba ulimfanya aweze kujitahidi kuhakikisha anafanya kila jambo katika kuhakikisha kisasi chake kinakamilika kwa asilimia mia.
 
"Itabidi usafiri kwenda Japan"
Dokta William alizungumza mara baada ya Eddy kukamilisha kufanya mazoezi yake katika ukumbi maalumu ambao ndio anao fanyia mazoezi.
"Kufanya nini dokta?"
"Kule kuna baadhi ya mazoezi ninahitaji uende kuyafanya kuna mzee mmoja nirafiki yangu wa kipindi kirefu nahitaji akakupatie mazoezi hayo ambayo yatakusaidia"
 
"Sawa dokta, ila ni kwanini usisitishe mpango wa kuishambulia Tanzania na umshambulie Raisi Praygod peke yake"
"Hilo pia ninaliwaza kichwani mwangu, ila sintk hitaji kumuona anaingia katika awamu ya pili ya uongozi wake hata kama wananchi wake wanampenda sana.
"Ila unampango gani na Mzee Godwin?"
 
"Nahitaji kujiweka sawa ndio niweze kuliliza kisasi japo ni baba yangu ila yeye ndio chanzo cha mimi kuwa hivi."
Hapakuwa na jambo jengine ambalo dokta William, alilizunguza zaidi ya kuhakikisha mpango wa Eddy unakamilika. Siku mbili mbele Eddy akaanza safari ya kwenda Japan ambapo alipewa maagizo yoye ya kukutana na mzee huyo ambaye lengo la dokta William ni Eddy kujifunza mafunzo ya kininja ili kupapambana na kila mtu ambaye atakuwa ni adui yake.
 
***
Serikali ya Marekani iliamini kwamba wanajeshi wake pamoja na magaidi watatu ambao wikuwa wakiwasafirsha katika ndege hiyo kubwa ya wafungwa, wamefariki dunia kwa mlipuko mkubwa ulio weza kutokea. Hapakuwa na masalia yaliyo baki ya ndege hiyo kwani kila kitu kilisha potelea angani. Hapakuwa na aliyeeweza kufahamu kwamba kuna mchezo wa akili sana ulio weza kuchhezwa na marubani hao ambao ni miongoni mwa wanachama wa D.F.E. 
 
Kitu kilicho weza kutokea kipindi ndege hiyo ilipo kuwa ikipasua mawingu juu angani umbali mrefu sana kutoka usawa wa bahari. 

Kati ya askari ambao walikuja kuwachukua Fetty, Halima na Anna. Alikuwemo Agnes, Jaquline na Manka. Wote watatu waliweza kuzifunika sura zao na kuingia kisiri katika mpango wa kuwasafirisha magaidi hao, huku wakiwaua askari watatu wanawake ambao walikuwa kwenye mpangu huo kisha nafasi zao wakazichukua wao. 

Ulikuwa ni mpango wa siri sana wakishirikiana na mkuu wa kikosi cha FBI, ambaye aliweza mutoa siri zote za mpango mzima wa tukio hilo lilivyo kuwa limepangwa, ndio maana alijitahidi kadri ya uwezo wake kuishawishi serikali kuweza kukiruhusu kikosi chake kusimamjia jukumu lote la wao kuwasafirisha magaidi hao.
 
Hata mlipuko wa helcoptar ambayo ilitegeshwa bomu linalo ongonjwa kwa romoti, ulikuwa ni mpango wame akishirikiana karibu na Mzee Godwin mwenye matawi mengi sana duniani na hapakuwa na jambo alilo weza kupinga na kushindika. 
 
Ikawabidi Agnes na wezame kuvua kofia ambazo zilificha sura zao na kubakisha macho yao. Wakawavua na kina Fetty vigunia vizito vyeusi walivyo wavisha. Hapakuwa na mtu kati ya Fetty aliye weza kuyaamini macho yake kumuona mwenzao waliye potezana naye kwa kipindi kirefu akiwa amesimama mbele ya macho yao. Wakanyanyuka kwa furaha na kumkumbatia Agnes. Machozi yaliyo changanyikana na uchungu yakawatoka wote wanne.
 
Agnes ndio alizidi kupatwa na uchungu zaidi kwani wezake alio wazoea kuwaona ni warembo na wakakamavu ila leo wamepauka na kukondeana sana. Huwezi kuwatofautish na watu ambao hutumia madawa ya kulevya pasipo kupata chakula cha maana. 
 
"Hatuna muda wa kupoteza tunahittaji kuondoka hapa"
Agnes alizungumza huku akiyafuta machozi yanayo tiririka usoni mwake.
"Ila si tupo juj ya ndege?"
Fetty aliuliza kwa sauti iliyo jaa mikwaruzo hii nikutoka na kifua anacho ugua kwa muda mrefu.
"Ndio tupo juu ya ndege ila hii jnatakiwa kulipuliwa kufuta ushahidi, kufa kwenu kutawasaidia ninyi kuishi kwa amani popote ndani ya dunia hii"
 
Agnes alizungumza.
Wakaanza kazi ya kuwavua nguo wanajeshi watatu, kisha nguo hizo wakazivaa kina Fetty na wezame. Walipo hakikisha kwamba wapo tayari. Ndege nyingine ambayo ilitumwa na Mzee Godwin yenye uwezo wa kuto weza kunaswa na Satelait yoyote duniani, na mara nyingi ndege hizi hutumiwa na maraisi wa marekani wanapo elekea kwenye zihara katika nchi zenye usalama finyu na ni maadui kwa nchi yao ya Marekani.
 
Ndege hiyo taratibu ikajisogeza na kuganda chini ya ndege ya waliomo Agnes na wezake. Bomba kubwa lenye ngazi ndani yake, mainjini walimo ndani ya ndege hiyo wakaanza kukata katika eneo ambalo wezao wangelitumia kutoka katika ndege moja na kwenda katika ndege nyingine.
 
Zoezi hilo lilichukua dakika kumi, huku makao makuu ya FBI wakiwa hawaoni kinacho endelea zaidi ya kuiona ndege yao ikiwa katika hali ya usalama tu. Injinia mmoja akaingia katika ndege walipo Agnes, akawasalimia. Pasipo kupoteza muda wakaingia kwenye ndege iliyo kuja kuwachukua, wakaungana na marubani walio shirikiana nao, ambao kabla ya kutoka ndani ya ndege hiyo. Waliyafungulia matenki yote ya mafuta na kuyaacha yakimwaga mafuta hewani wakiamini ndanj ya dakika kadhaa ndege hiyo italipuka na ndivyo ilivyo weza kutokea ndani ya dakika kumi na tano ndege hiyo ilichanguka na kuwa vipande vipande.
 
***
"Madam ni mini mapngo wako mwengine?"
Priscar alimuuliza Rahab mara baada ya kumuachia mtoto wa meneja wa benki ya BOT, waliye mshusha kwenye mataa ya Ubungo kisha wao wakaondoka na gari yao wakiwa katika sura za bandia ambazo si rahisi kwa mtu kuweza kuwafahamu.
 
"Nahitaji kumuua raisi Praygod kulipiza kisasi cha Eddy"
Maneno ya Rahab yakamuacha Priscar akiwa ameduwaa, asijue ni jinsi gani bosi wake anaweza kusitisha mpango wa kumuua raisi kwani ni hatari sana kwa maisha yao.
                                                                                                                                                   SORRY MADAM (42) (Destination of my enemies)

Rahab na Priscar wakaendelea kukaa mafichoni pasipo kuingia katika mikono ya serikali. Wakiwa katika sura za bandia waliweza kuzunguka sehemu moja hadi nyingine ndani ya jiji la Dar es Salaaml kuangalia ni hali gani inayo endelea katika jamii ya watanzani wengi ambao macho na masikio yao wameyapelekea katika hatua za uandikishaji wa daftari la wapiga kura wakijiandaa na uchaguzi ambao kwa katiba na sheria ya nchi ya Tanzania huwa inafànyika mwisho ni mwa mwezi wa Tisa.
 
Hadi kwa kipindi hicho hakuhitaji kuweza kurudi ikulu huku kazi yake ikiwa ni jinsi gani anaweza kupanga mipango yake mipya jinsi ya kumteketeza mumewe ambaye siku hadi siku anaendelea kupandisha dau la pesa kwa mtu atakaye saidia kumpata mke wake ambaye inavyo sadikika ametekwa wa watu ambao hawajulikanina hapakuwa na kikundi chochote cha kigaidi ambacho kimejitokeza na kudai kwamba wamehuzika na tukio hilo la utekaji.
 
"Muheshimiwa ni kwanini umeamua uamuzi kama huu"
Priscar aliuliza baada ya kipande cha taarifa ya habari kumalizika, kikiwa kimemuonyesha raisi Praygod akitoa ahadi kwa watu watakao msaidia kumpata mke wake. Kwa muonekano afya ya raisi Praygod imepungua sana, hadi kupelekea kuanza kuonekana kama mzee wa makamo. Rahab hakujibu chochote zaidi ya kumtazama Priscar.
 
Rahab akanyanyuka mwenye kiti alicho kalia katika hotel moja maarufu jijini Dar es Salaam ijulikanayo kama Kilimanjaro Classic. Akafungua pazia zito lililopo ndani ya chumba cha gorofa ya tano kwenda juu. Akatazama jinsi mataa ya baadhi ya nyumba za karibu na hoteli hiyo zinavyo waka.
"P hujui ni kitu gani alicho nifanyia mume wangu"
"Ni kitu gani alicho kufanyia?"
Machozi yakaanza kumwagika Rahab ambaye Mara nyingi hakuhitaji kuweza kuikumbuka historia yake ya nyuma.
"Nikiwa na miaka nane ndipo nilipo weza kuitambua shida ni kitu gani"
 
Rahab alizungumza huku akiwa amempa mgongo Priscar aliye kaa kitandani akisikiliza anacho kizungumza bosi wake.
"Baba na mama yangu walikuwa ni watu wenye uwezo mkubwa sana wa kifedha. Walikuwa ni wamiliki wa miradi mingi sana hapa Tanzania, ikiwemo hoteli mubwa kama hii."
 
"Mambo yalikuja kubadilika chini juu juu chini pale mzee Makuya alipo weza kuingilia katika familia ya baba yangu. Walikuwa ni marafiki sana na baba yangu na walishirikiana katika mambo mengi. Kipindi hicho mzee Makuya alikuwa ni mbunge wa Dodoma"
 
Rahab akizungumza huku akijipangusa machozi usoni mwake, akamgeukia Priscar ambaye akastushwa baada ya kumuona bosi wake akimwagikwa na machozi mengi. Akampatia kitambaa Rahab aliye piga hatua na kukichukua kisha akakaa kanywe kiti, akajifuta nachozi kisha akaendelea kuzungumza.
 
"Mzee Makuya kipindi kama hichi aliweza kumkopa baba yangu mamilioni ya mapesa kwa ajili yankuendeshea kampeni zake za ubunge kwa awamu ya pili.
"Bab alimpatia, alifanikiwa kupita huku kijana wame Praygod akiwa amemiza chuo huko Marekani"
 
"Mzee Makuya aliweza kuchaguliwa waziri mkuu, kutokana na mamlaka yake alianza kumfilisi baba kisiri siri hadi baba akaparalaizi kwa mistuko ambayo alikuwa akiilata kutokana na biashara zame mufilisiwa na serikali pasipo sababu ya msingi."
"Siri ilikuja mufichuka kwamba rafiki wa baba mzee Makuya ndio alikuwa mfilisiji mkuj wa mali za baba, huku kazi hiyo alikuwa akiifanya mwanae wa kiume ambaye ni Praygod."
 
"Baba alifariki baada ya nyumba yetu tuliyo ishi kupigwa mnada na banki wakidai baba alichukua mkopo benki wa mabilioni ya mapesa wakati kwa kinywa chair baba alikuwa anachukia madeni na alishawahi kutuambia kaamba hawezi kukopa kwa mtu akiogopa deni.
 
"Mimi na mama tulirudi kijijini kwao, ambapo tulikimbilia huko baada ya kukosa pa kwenda. Mzee Makuya alituma watu wake wakiongozwa na Praygod kuja kumuua mama, ambapo walifanikiwa kumuua mama, na bibi watu pekee ambao walibakia kama ndugu kwangu yote him siri isifichuke"
Rahab alipo fikia hapo machozi yakazidi kumwagika, hasira ya maji dhidi ya Praygod ikazidi kuwaka moyoni make.
 
"Nakumbuka Praygod ndio......ndio aliye mchinja mama yangu na kichwa chake wakakipelek kwa baba yake mzee Makuya."
Priscar akabaki akiwa amefumbua mdomo akishangaa ukatili huo ukiwa umefanywa na raisi Praygod anaye mfahamu. Akataka kumuuliza Rahab ni jinsi gani yeye alipona ila akasita kwanaza na kumuacha alie kwa uchungu hadi pale atamapo kuwa tayari kuzungumza.
 
Rahab akajiwema sawa Misha akaendelea kuzangumza.
"Mimi niliyaona matukio vote hayo nikiwa juu ya dari lilololo chumbani kulipo tokea mauaji. Niliweza kumkumbuka vizuri Praygod na sinto kuja kumsahau. Hata ninavyo zungumza na wewe. Hii hoteli ilikuwa ni yababa ila imebadiloshwa na kuwa mali ya raisj Prarygod"
"Baba yake yupo wapi?"
"Sifahamu, laiti angekuwa amefariki basi tungeweza kujua kifo cha waziri mkuu wa zamani, ila haijatokea hivyo. Na sikuwahi kusikia siku Praygod akizungumzia juu ya familia yeke ipo wapi zaidi ya kusema ipo"
 
Priscar akashusha pumzi nyingi huku akionekana kumsitikia bosi wake.
"Nilianza biashara ya kujiuza nikiwa bado binti mdogo sana ili mradi nipate pesa ya kujikimu kimaisha. Nilikutana na wanaume wengi cha ku.shukuru Mungu sikuweza kuadhirika na ukimwi, ila nilazima niweze kumteketeza Praygod na familia yeke yote"
 
***
Agnes nawezake wakafika katika kambia ya mzee Godwin, hata wenyewe hawakuamini kwa mapokezi ambayo wamepokewa. Wamechukuliwa kama watu wa muhimu sana kwenye kambi hiyo. Kitu cha kwanza muhimu kufanyiwa ni juu ya afya zao. Madaktari ambao wapo kwenye ngome hiyo walijitahidi kuifanya kazi yao kiufasaha kuhakikisha afya za mabinti hao zinakuwa imara. Kadri siku zilivyo zidi kwenda ndivyo jinsi afya zao zilivyo zidi kuwa nzuri sana, uzuri wao ukarejea kwa kasi ya ajabu, si Fetty, Anna wala Halima walio acha kusiwfiwa na wanaume wa ngome hiyo kwamba wao nj wazuri zaidi na zaidi.
 
Baada ya afya zao kuwa fiti kabisa, wakaanza kufanya mazoezi magumj ya kuwaweka sawa. Kila mmoja alijitaidi kuitumia nafasi aliyo ipata kuhakikisha kwamba harudii makosa kama waliyo wahi kuyafanya kipindi walipo kuwa watumishi wa bwana Rusev. Hasira yao wote wakaigeuzia kwa bwana Rusev aliye sababisha maisha yao kuharibika kwa kiasi kikubwa na asinge mubwa Mzee Godwin basi wao wangefia gerezani kwani kila mmoja alisha kata tamaa ya maisha kutokana na vipigo na manyanyaso waliyokuwa wakiyapata kutoka kwa wanajeshi hao wakimarekani.
 
Kikosi chao kikazidi kuongezeka nguvu, huku Jaquline akiwa mwalimu kwenye baadhi ya mazoezi. Manka hakuwa nyuma kuhakikisha kwamba watanzania wezake hao wanafanikiwa katika mpango mzima wa kumsambaratisha adui yao, kisha watajua ni nini kinacho fwata katika maisha yao ya badae.
"Mkuu unafikiria nini juu ya hawa mabinti?"
John limuuliza mzee Godwin wakiwa wamekaa sehemu ya juu kidogo ya gorofa wakiwa wanawatazama Manka na wezake wakifanya mazoezi ya kufa mtu.
 
"Wamekamilika kisawa sawa"
Mzee Godwin alizungumza huku akiwa ametabasamu.
"Ila mpango wao wanao taka kuufanya ni mkubwa sana ambao utapelekea maisha yao hatarini."
"John kila kitu tunacho kifanya kwenye haya maisha ni hatari. Kwahiyo usiiogope hatari, cha kujipanga sasa hivi nikuhakikisha kwamba ninakuwa raisi wa Tanzania"
John akabaki kimya akimtazama mkuu wake anaye zidi kuisuka mipango kuhakikisha kwamba anakuwà raisi wa Tanzania siku za usoni.
 
***
Kwa kitako cha bunduki alicho pigwa Briton maeneo ya kichwani, kikamfanya kupoteza fahamu asitambue ni wapi anapo pelekwa. Ubaridi mkali wa maji aliyo mwagiwa mwilini mwake huku akiwa hana guo hata moja, ukamstua kutoka katika usingizi wa nusu kifo. Mikono yake iliyo chanukiwa na kufungwa kila upande, kukamfanya azidi kupata maumivu makali, kwani mwili wake bado umejawa na maumivu mengi sana ya vipigo vikali alivyo pewa n wapelelezi wa Tanzania.
 
Miguu yake nayo imechanuliwa na kufungwa kila mmoja upande wake. Kwa jinsi alivyo kaa ni kama ngozi iliyo wambwa kwenye miti ikisubiriwa kukaushwa na mwanga wa jua. Msichana mrefu kiasi aliye jazia maeneo ya kiunoni mwake na kumfanya aonekane na hispi za kutamanisha, alimtazama Briton anaye zidi kugugumia kwa maumivu. Pembeni ya binti huyo wamesimama wanaume wawili wenye bunduki aina ya SMG. Sura zao zinaonyesha kwamba hao ni wanaume wa kazi ambao hawahitaji mchezo pale linapo kuja swala la kazi.
 
Msichana huyo mrembo mwenye sura nzuri ya kuvutia, akamsogelea Briton karibu. Kwa kutumia kucha zake za mkono wa kushoto zilozo ndefu, akaanza kuzipitisha mwilini mwa Briton huku akizunguka kumtazama mbele ya nyuma. Bila hàta ya aibu akamshika Briton sehemu zake siri na kuanza kuziminya minya.
 
Hakuishia hapo akazunguka kwa nyuma na kuanza kuyaminya minya makalio ya Briton aliye jitahidi kujitingisha asishikwe ila haikuwa rahisi kwa msichana huyo kumuachia. Zaidi akajikuta makalio yake yakigeuza kama ngoma, kwani vibao kadhaa vilitua kwenye makalio hayo.
"Una matako mazuri"
Msichana huyo alizungumza huku akiyafikicha fikicha makalio ya Briton aliye jikuta akipiga kelele. Kwa lafudhi ya msichana huyo moja kwa moja, Briton akatambua kwamba msichana huyo ni Mkenya.
 
"Unanifanyaje wewe malaya"
Briton alizungumza huku akiwa amekasirika sana. Cha kushangaza msichana huyo akayashika makalio ya Briton na kuyachanua na kuyatazama katikati. Akatingisha kichwa kisha akayaachia.
 
"Huyu bado yupo sildi, hajaguswa"
"Anafaa madama"
"Ndio anafaa"
Moyo wa Briton ukapasuka na kuanza kumuenda mbio alipo yasikia mazungumzo hayo, kitu ambacho anakiogopa kwenye maisha yake yote ni kuingiliwa kinyume na maumbile tena na mwanaume mwenzake. Akazidi kutolea jicho msichana huyo aliye simama mbele yake kwa mara nyingine, akajikuta sehemu zake za siri zikianza kuchezewa na msichana huyo.
 
"Kamleteni na yule"
Msichana huyo alitoa amri, kwa haraka akili ya Briton ikamfikiria Shamsa baada ya kumsikia yule. Jamaa mmoja akatoka na baada ya dakika tano akarejea na msichana mweusi sana, ila mwenye umbo matata lenye vigezo vya kila aina. Msichana huyo aliye valia nguo za ndani tu(chupi na sidiria). Akasimamishwa mbele ya Briton.
 
"Mnyonye huyo"
Msichana huyo alipewa amri, ila akasita kidogo. Bunduki moja nyuma yake ikakokiwa kuashiria akikatàa atamwagwa ubongo wake kwa risasi.
 
Taratibu akamsogelea Briton, akaushika uume wa Briton na kuudumbukiza mdomoni mwake na kuaanza kuunyonya taratibu jambo lililo zidi kumkera Briton.
***
 
Shamsa akayafumbua macho yake na kuanza kuchunguza ni wapi alipo ila akashindwa kutambu yupo wapi, kwani chumba hicho hakikuwa na viashiria vyoyote kwamba yupo wapi. Taratibu akakaa kitandani hapo, hata kabla dakika moja haijapita mlango wa chumbani kwake ukafunguliwa. Macho yake yakatua usoni mwa bwnaa Mohamed Abdulah anaye mtambua kama baba yake mdogo wa kumlea.
 
Tabasamu la bwana Mohamed Abdulah, likamfariji Shamsa na kujikuta na yeye akiachia tabasamu pana usoni mwake. Bwana Mohamed Abdukah, akachanua mikono yake na Shamsa kwa haraka akashuka kitandani na kumkumbatia bwana Abdulah. Machozi ya furaha yàkaanza kumbubujika Shamsa. Hakuamini kwamba amerudi kwenye familia yake ambayo aliiona mbaya alipo kuwa mikononi mwa Eddy aliye fariki dunia. Kutokana hakuwa na pakwenda, matumaini yake ya kuishi sehemu salama kwa maisha yake ikarejea upya.
"Ulikiwa wapi mwanangu?"
Bwana Mohamed Abdulah alizungumza huku machozi yakimlenga lenga.
 
"Am sorry dady"(Samahani baba)
Shamsa alizungumza na kuzidi kukumbatia bwna Mohamed Abdulah na kumfanya azidi kumwagikwa na machozi. Baada ya muda wakaachia, Shamsa akaanza kumuelezea bwana Mohamed Abdulah kila kitu kilicho tokea kwenye maisha yake na malezi ambayo aliweza kuyapata kwa kipindi chote cha nyuma. Katika swala la Eddy kufariki dunia likazidi kumuumiza Shamsa na kujikuta akikwama kwama kuendelea kuzungumzia kifo cha Eddy. 
 
Ila ukwi wa jambo hilo bwana Mohamed Abdulah analifahamu kwa asilimia mia moja kwani kijana ambaye alivaa sura kama ya Eddy ametoka kwenye kambi yake, likiwa ni wazo la rafiki yake mzee Godwin anaye wasaidi kwa mambo mengi kikosi chake.
 
Usiku wa siku hiyo sherehe kubwa ikafanyika ya kumkaribisha nyumbani Shamsa aliye potea kwa kipindi kirefu. Risasi nyingi zikapigwa hewani ikiwa ni kama ishara ya kushangilia. Shamsa akazidi kujiona ni muhimu sana. Ila furaha yake haikukamilika kwani hakuweza kumuona Briton na alipo uliza hakupewa jibu la maana, wasiwasi ukaanza kurejea upya moyoni mwake
***
 
Eddy akafika nchini Japan majira ya asubuhi akiwa katika ndege ya shirka la Japan Airline. Ndege hiyo iliyo fikizia kwenye uwanja wa kimataifa wa 'HUB'. 

Eddy pamoja na abirka wengine wamashuka wakaingia kwenye basi ambalo liliwapeleka karibu kabisa na eneo ambalo abiria wanatokea. Eddy taratibu akapanga foleni ya kutokea nje, huku kila abiria akikaguliwa kutoka kwenye uwanja huo. Ikafika zamu yake ambapo akampatia dada mmoja mkaguzi hat yake ya kusafiria{Passport). Dada huyo akaipitisha kwenye mashine maalumi, akayanyanyua macho yake na kumtazama Eddy kwa umakini. 

Dada huyo akanyanyua simu yake na kuzungumza kijapani ambacho Eddy hakukielewa, gafla Eddy akaona kundi la polisi likimfwata wakiwa na mbwa pamoja na bundiki. 

Kwa mara ya kwanza alipo watazama alijifariji labda kuna mtu wanaye mfwata tofauti na yeye. Ila kadri walivyo zidi kuja ndivyo wakivyo zidi kumlenga yeye huku macho yao yote wakimtazama, na ndani ya dakika wakawa wamemzingira Eddy na kumuweka kati, asitambue sababu ni nini ya askari hao kumzunguka. 

ITAENDELEA...

Usikose kufuatilia sehemu inayofuata kupitia ubuyublog.com


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts