Get the latest updates from us for free

Home » , » SORRY MADAM -Sehemu ya 43 & 44 (Destination of my enemies)

SORRY MADAM -Sehemu ya 43 & 44 (Destination of my enemies)

Written By Bigie on Sunday, March 26, 2017 | 12:38:00 PM

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWAILIPOISHIA

ILIPOISHIA
Eddy taratibu akapanga foleni ya kutokea nje, huku kila abiria akikaguliwa kutoka kwenye uwanja huo. Ikafika zamu yake ambapo akampatia dada mmoja mkaguzi hati yake ya kusafiria{Passport). Dada huyo akaipitisha kwenye mashine maalumu, akayanyanyua macho yake na kumtazama Eddy kwa umakini. Dada huyo akanyanyua simu yake na kuzungumza kitu ambacho Eddy hakukielewa, gafla Eddy akaona kundi la polisi likimfwata wakiwa na mbwa pamoja na bundiki. 

Kwa mara ya kwanza alipo watazama alijifariji labda kuna mtu wanaye mfwata tofauti na yeye. Ila kadri walivyo zidi kuja ndivyo wlivyo zidi kumlenga yeye huku macho yao yote wakimtazama, na ndani ya dakika wakawa wamemzingira Eddy na kumuweka kati, asitambue sababu ni nini ya askari hao kumzunguka.

ENDELEA
Karibia watu wote walio Karibia na eneo hilo, macho yao waliyelekezea eneo walipo simama askari pamoja na Eddy aliye wekwa kati.
"Upon chini ya ulinzi"
Askari mmoja alizungumza kwa lugha ya kingereza na kumfanya Eddy amkodolee macho pasipo kuelewa haswa ni nini kosa alilo litenda hadi akamatwe.
 
"Kwa kosa gani?"
"Una haki ya kukaa kimya, na si kuuliza maswali. Mpigeni pingu mpelekeni chumba cha mahojiano"
Kutokana na kuziheshimu sheria za nchi hiyo ambazo ni kali kwa waalifu wake, Eddy akakubali kipigwa pingu mikononi mwake. Hakuhitaji askari hao wamsumbue, kwa mwendo wa taratibu wakatembea kuelekea katika chumba cha mahojiano.
 
Begi la Eddy likawekwa juu ya meza aliyo ikuta ndani ya chumba hicho. Wakaanza kulipekua, wakakuta nguo pamoja na pesa ambazo Eddy alihitaji kuzitumia akiwa katik nchi hiyo. Cha kushangaza aksari hao watano wakagawana pesa yake pasipo kumueleza Eddy jambo lolote.
"Hembu niambieni basi kwa nini mumenikamata?"
"Utajua muda mchache ujao ni kwanini tumekukamata wewe kaa kimya"
 
Ikamlazimu Eddy kubaki kimya. Hazikupita dakika nyingi akaingia mwanamama mweusi aliye panda juu kiasi.
"Mambo Eddy"
Mwanamama huyo alitabasamu huku akivuta kiti na kukaa. Eddy akajaribu kuvuta hisia zake ni wapi alipo muona mwana mama huyo, ila hakupata kumbukumbu yoyote kwenye kichwa chake, isitoshe mwana mama huyo anazungumza kiswahili vizuri ikiashiria kwamba yeye ni muafrika tena Mtanzania.
 
"Mimi ni balozi wa Tanzania hapa Japana ninaitwa mama Ngoi"
"Wewe ndio umeagiza nikamatwe?"
"Hapana ila ni amri kutoka iku. Unatakiwa uweze kurudi nyumbani ukaendelee na majukumu yako ya kikazi"
Eddy akatabasamu kwa kejeli. Akamtazama mama huyo kuanzia kichwani hadi kwenye tumbu, sehemu ya chini ya mwili wake hakuweza kuiona kutokana na kuzibwa na meza kwa chini.
"Kazi eheeee?"
"Ndio nchi ipo hatarini na katika vitisho vya kulipuliwa kwa bomu la nyuklia. Wewe ndio unaye hitajika kurudi katika nafasi yako ya uwaziri.
 
Matukio ya kijambazi yanatokea kila kukicha, isitoshe hata mke wa raisi mwenyewe ametekwa inapata miezi minne sasa"
Eddy akastuka kusikia Rahab ametekwa, akajiuliza maswali kadhaa kichwani mwake. Ila hakuhitaji kuonyesha mstuko wake huo kwa maana anatambua kwamba huo ni uongo kwa Rahab kuweza kutekwa.
 
"Nisikilize mama. Sina kitu nilicho kibakisha Tanzania. Sina familia sina chochote kwa hiyo sihitaji kurudi. Tafadhali waambie kuwa sihitaji kurudi Tanzania"
"Tayari maandalizi ya kukurudisha Tanzania yanaendelea huko nje ya uwanja wa ndege. Tafadhali hii ni kwaajili ya usalama wako na nchi"
"Hembu kwanza nifungulieni hizi pingu. Hauwezi kuzungumzw eti na kiongozi wako ukiwa umenifunga pingu kama muhalifu"
 
Ushawishi huo wa Eddy ukamfanya mama huyo, kumuamrisha askari mmoja kufungua pingu za Eddy pasipo kufahamu kwamba ana dili na mtu wa aina gani. Akili ya Eddy ikafanya kazi haraka haraka akifikiria kashfa mbaya inayo endelea ndani ya Tanzania kwamba yeye ni gaidi aliye teka jengo la Mlimani City. 

Moja kwa moja akatambua kitendo cha yeye kurudi Tanzania nikwenda kuhukumiwa. Kifungo cha maisha kwani mauaji aliyo yaona ni makubwa sana. Kazi yake ikaanza kufikiria ni jinsi gani anaweza kutoroka pasipo kujua ataoroka vipi ikiwa yeye bado ni mgeni katika nchi ya Japan.
 
***
Kitendo cha Briton kuendelea kunyonywa uume wake, kilizidi kumkera ila kwa jinsi biti huyo anavyo zidi kumnyonya ndivyo jinsi alivyo jikuta mwili ukimsisimka hadi uume wake ukasimama kabisa. Cha kushangaza Dada huyo wa kikenya akaanza mushangilia akiamini mambo yake yanazidi kuwa mazuri. 

Akamuamrisha msichana huyo kuondolewa katika chumba hicho na kubaki yeye na Briton. Dada huyo pasipo kuwa na aibu, akaanza kujnyonya uume wa Briton, akazidi kwenda mbali na hapo kwani akaanza kufanya ngono na Briton pasipo ridhaa yake. Hasira ya Briton ilizidi kumpanda ila hakuwa na uwezo wa kufanya jambo lolote kwajinsi alivyo fungwa hakuweza kufanya jambo lolote.
 
Dada huyo alipo maliza matakwa yake, amawaamuru watu wake kumfungulia Briton, wakambeba mzoga mzoga hadi ndani ya chumba kimoja kikubwa, ambapo Briton akamuona mzee wa makamo mwenye miaka kati ya arobaini na tano hadi hamsini na tano akiwa amesimama na bomba la sindano, huku akiwa amevalia koti jeupe ikiashiria kwamba huyo ni daktari. Briton akiwa ameshikiliwa hivyo hivyo na majamaa hayo yaliyo gawanyika kwa misuli mingi. Akachomwa sindano ya shingoni, ndani ya dakika mbili mbeleni, usingizi mzito ukamchukua na kulala fofofo asijue ni nini kinacho endelea.
 
***
Majira ya saa kumi na mbili jioni. Barabara ya kuelekea mikoni, kuanzia Ubungo na kwenda mbele maeneo ya kimara zote na mbezi mwisho. Imetulia huku askari wa usalama barabarani, wakifanya kazi ya kusimamisha magari yote yanayopita katika barabara hiyo. Wakazi wengi wanao itumia barabara hiyo walisikika wakilaani kitendo hicho ambacho kinawachelesha wengi wanao toka makazini, wamisubiria msafara wa raisi uweze kupita.

Foleni ikazidi kuwa kubwa kiasi cha magari yanayo tokea, Kariakoo, Mwenge na Tabata kushindwa kwenda. Ving'ora vya pikipiki za polisi pamoja na magari hayo vikaanza kusikika jirani kabisa na mataa ya Ubungo yalipo. Wananchi ambao walikuwa wamechukia walijikuta wakichomoza vichwa vyao kwenye magari kutazama msafara huo ambao mara nyingi husifika kwa gari zake kwenda kasi na katika mtindo wa kupanua barabara.
"Raisi jioni hii anakwenda wali?"
Mmoja wa wananchi alisikika akimuuliza mwezanke wakiwa ndani ya basi lao dogo linalo tokea kariakoo.
"Mmmm nitajulia wapi ndugu yangu wakati hata ikulu yenyewe sipajui"
 
Magari hayo yakazidi kupita kwa mwendo wa kasi huku askari aliye simaama kwenye eneo hilo la mataa akiyaelekeza magari hayo yanapo hitajika kwenda. Msafara huo wenye magari kumi na saba, ukapita ila gari nyengine yenye namba za ikulu, ikiwa imewasha taa zake ikaongezeka kataka msafara huo na kuongeza idadi ya magari na kufikia kumi na nane.
"Mkuu gari zinatakiwa kuwa ngapi?"
Askari huyo wa usalama barabarani alizungumza kwa simu yake ya upepo akimtaarifu kiongozi wa msafara, baada ya kuitilia shaka gari hiyo iliyo ongezeka.
 
"Kumi na saba. Over"
"Kuna gari moja ya ikulu imeongezeka muheshimiwa. Una taarifa nayo?"
"Hapana, tutaichukulia uangalizi. Over"
Askari huyo akaanza kuruhusu gari za abiria na wananchi wa kawaida kuendelea na safari zao.
"Madam nimesha jiunga kwenye msafara"
Priscar alizungumza na Rahab kulitia simu ya mkononi.
"Umestukiwa?"
"Sidhani, kwa maana niliuwahi msafara"
"Poa kila kitu kinakwenda kwenye mlango"
"Sawa madam"
 
Simu ikakatwa na Priscar akazidi kuongeza mwendo kasi wa gari yake.Taarifa ya kuongezeka kwa gari katika msafara wa raisi. Akielekea katika handaki alilo pata habari kwamba mke wake ndipo alipo shikiliwa. Ikaanza kumchanganya, madereva wote taarifa hiyo wakawa nayo. Mchezo walio ufanya ni wote kutanua barabara, kisha gari ya Raisi Praygod Makuya, ikapita mbele kwa mwendo wa kasi kisha hizi nyingine zikaziba kwa nyuma jambo lililo amza kumpa wasiwasi Priscar.
 
***
Kutokana na nguvu aliyo kuwa nayo kwenye kikosi cha Al-Shabab, Shamsa akamuomba bwana Abdulah Mohamed kuanzisha oparesheni ya kumtafuta Briton. Hakuficha chochote kwa bwana Abdulah Mohamed. Akamuelezea hisia za mapenzi ambazo anazo kwa Briton.

Vikosi vya kigaidi vya kundi hilo vikiongozwa na Shamsa, akiwa amerudi upya kwenye kazi hiyo kwa lengo la kumtafuta mpenzi wake. Vikaanza oparesheni ya kuteka meli ambazo zinakatiza katika ukanda wa Somalia. Kila meli iliyo kamatwa ilifanyiwa upekuzi wa mu mmoja baada ya mwengi. Kuhakikisha wanamtafuta Briton kwa udi na uvumba. Zoezi hilo lilizidi kudumu takribani mwenzi mzima, ila hakufanikiwa kuweza kumtia machozi Briton. 

Wazo la Briton kufa maji likaanza kutawala moyo wake na akili. Kumbukumbu ya ajali waliyo weza kuipata kipindi walipo kuwa wanatoroka. Ikazidi kumuogopesha. Unyonge ukaanza kumtawala na kujiona ni msichana asiye na bahati. Muda mwingi akawa anautumia katika kunywa pombe kali na kulewa chakari. 

Hali hiyo ikazidi kumsikitisha bwana Abdulah Mohamed. Ikamlazimu kumtafutia Shamsa madaktari wa saikolojia kutokea Japan. Madaktari hao baada ya kumfanyia Shamsa uchunguzi wa kina wakatambua, akili yake inakwenda kuchanganyikiwa kwa ajili ya mapenzi. 
 
Wakamuomba bwana Abdulah Mohamed, kumruhusu Shamsa waende naye Japan kwa ajili ya matibabu. Ombi hilo kwa mara ya kwanza likawa gumu sana kwa Bwana Abdulah Mohamed. Ila kwa jinsi ali ya Shamsa ilivyo zidi kuwa mbaya hadi kiafya ikamlazimu kumruhusu waondoke naye, ila akiwa na walinzi wangine wawili wakike. Kwa usafiri maalumu wa ndege ya Jeti ya kifahari inayo milikiwa na kikundi hicho ikaanza, kuelekea Japan.
 
***
Eddy hakuhitaji kufanya makosa ya kurudi Tanzania kwa wakati huo. Akawatazama askari waliomo ndani ya kiwanja cha ndege hiyo. 
 
"Naomba niende haja ndogo"
Eddy alimuomba Mama Ngoi ambaye yupo na baadhi ya askari wa Japan pamoja na Tanzania wanao mlinda. Eddy akasindikizwa hadi chooni na askari wawili wa kijapan ambao walibaki nje ya mlango kumsubiri. Eddy akakuta vijana wawili masharo baro waliomo ndani ya choo hicho, kutokana hakuwa na haja ya kwenda kwenye haja zinazo takiwa kufanyika chooni. 

Alicho kifanya, nikuwasogelea vijana hao walio simama kwa pamoja wakikojoa katika sehemu mbili maalumu zinazo fanana. Pasipo kuwauliza akawapiga maeneo ya nyuma ya shingoni kwa kutumia viganga vyake vilivyo komaa kwa mazoezi.Vijana hao wakapoteza fahamu. Kwa haraka Eddy akaanza kumvua nguo mmoja wao. Akazivaa akachukua koti la mmoja wao na kulivaa vizuri, akachukua na kofia iliyo mficha vizuri sura yake.

Alipo jitizama kwenye kioo akatabasamu kwani, amebadilika kwa kiasi kikubwa na si rahisi kwa askari alio waacha nje ya mlango kumtambua. Akajipapasa kwenye mifuko ya nguo za kijana aliye mchukulia nguo. Akakuta noti mbili za dola mia mia za kimarekani. Akampapasa mwengine na kumkuta na yen kumi, pesa ya kijapani.
 
Pasipo kupoteza muda akatoka katika choo hicho na kuwakuta askari wakiendelea kumsubiria. Akawapita kwa kujiamini, askari hao wala haku shuhulika naye waliendelea kupiga stori zao.
 
Eddy akatoka nje ya uwanja wa ndege, jambo lililo muumiza kichwa ni hati yake ya kusafira. Hakujua ataishi vipi ndani ya nchi hiyo kwani akihitaji kulala kwenye hoteli nilazima kuonyesha hati ya kusafiria. Kitu kilicho zidi kumuumiza akili zaidi na zaidi ni kijitabu chake kidogo ambacho kina maelekezo yote ya sehemu ambayo anatakiwa kwenda.
Akakta taksi iliyo mfwata hadi sehemu alipo simama. Akafungua mlango wa nyuma wa taksi hiyo ikaondoka.
 
"Nipeleke kwenye baa yoyote nzuri"
"Sawa"
Safari haikuchukua muda mrefu, taksi hiyo ikasimama mbele ya gorofa moja refu. Eddy akamlipa dereva kiasi alicho kihitaji, akashuka na kuingia ndani ya gorofa hiyo ambapo kwa maandishi makubwa ya kijapani yaliyo andikwa nje hakuweza kujua inaitwaje, ila kwa wingi wa watu wanao ingia na kutoka katika baa hiyo kubwa, hakuwa na wasiwasi wa aina yoyote.
 
Nusu saa, lisaa askari hao wakijapan walibaki nje ya mlango wa kuingia katika choo hicho. Wakaanza kupatwa na wasiwasi, kwani mtu waliye ambiwa ni kiongozi mkubwa nchini Tanzania, hajutoka ndani ya choo hicho. Ubaya hawakujua ni nini kilicho endelea kwani waliwazuia watu walio kuwa wakihitaji kuingia ndani ya choo hicho pasipo kujua mtu wanaye msubiri ni muda mrefu alisha ondoka katika eneo la Air port.

Ikabidi askari mmona kufungua mlango wa chooni hapo, akaingia ndani na kuwakuta vijana wawili wakiwa wamelala chini huku mmoja wao akiwa amebakiwa na nguo ya ndani. Huku nguo za Eddy wakizikuta zikiwa zimetupwa chini. Kwa haraka akawasiliana na mkuu wao. Haraka haraka wakafika ndani ya choo wakiongozana na Mama Ngoi.
"Imekuaje mukamlotezaaa?"
Mama Ngoi alizungumza huku akifoka kwa hasira, hapakuwa na jibu la kueleweka kwa askari walio kabaidhiwa jukumu la kumlinda Eddy.
 
***
Mpango wa Raha kumuua raisi Praygod ukakamilika. Kitu cha kwanza kukifanya ni kuweza kumtafuta kijana mmoja wa mtaani, akamuambia apige simu ikulu, huku akimpatia namba ya simu ya Raisi. Kijana huyo pasipo kujiuliza mara mbili mbili, kutokana amekabidhiwa kitita cha laki moja. Akaifanya kazi hiyo majira ya saa kumi na mbili kasoro jioni. Akiwa lembeni ya Rahab aliye valia sura ya bandia.
 
Kijana huyo aliye jitambulisha kwa jina la Ommy. Akamueleza Raisi Praygod kwamba ameona eneo ambalo mke wake amefungiwa, kwenye moja ya handaki lililopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.

Raisi Praygod akaitisha kikao cha dharura na wakuu wa upelelezi, akaamrisha msafara wa kueleke nje ya jiji, uandaliwe. 

Baadhi ya wakuu wa usalama wakamsihi asiendee, aache vijana waelekee kwenye eneo hilo. Ila Raisi Praygod hakuhitaji kusikiliza la mtu. Amri yake ikatekelezwa, akaingia kwenye magari yaliyo andaliwa kwa safari hiyo. Huku mengi yakiwa yamejaa makachero kutoka katika usalama wa taifa.

Kwa jinsi gari la raisi lilivyo tangulia mbele, likaanza kumpa hofu raisi Praygod. Akatoa amri gari ya nyuma inayo wafwata iweze kuzuiwa mara moja, kisha gari chache ziendele na safari hiyo. Gari mbili za nyuma zenye makachero wanne wanne katika kila gari zikapunguza mwendo gafla, Priscar akajikuta akifunga breki za gafla asizigonge gari hizo.
 
Makachero hao walio valia suti nyeusi, wakajirusha kutoka ndani ya magari yao, wakiwa wamevalia suti nyeusi. Pasipo kuchelewa wakaanza kulishambulia gari la Priscar kwa risasi zisozo na idadi. Kwa bahati mbaya Priscar akiwa katika harakati za kuirudisha nyuma gari hiyo. Risasi moja ikampiga begani na kujikuta akipoteza kontroo ya gari na likadumbukia kwenye mtaro uliopo pembezoni mwa barabara, nakuwapa nafasi makachero hao kulisogelea gari lake wakiwa na bastola zao mikononi.
 

SORRY MADAM (44) (Destination of my enemies)
Wananchi waliopo eneo la karibu na gari la Priscar lilipo angukia, wakajikuta wakikimbia ovyo kuyaokoa maisha yao kwani hapakuwa na mwananchi aliye zoea milio ya risasi, wala kujua ni jambo gani ambalo linaemdelea. Makachero hao wakazidi kulisogelea gari la Priscar wakiwa makini sana. Kila hatua waliyo ipiga macho yao yalikuwa ndani ya gari hilo wakijaribu kumtazama mtu wanaye mshambulia ni nani.
 
Machozi ya maumivu yakaanza kumtiririka Priscar mashavuni make, hakuamini kwamba anakwenda kutiwa nguvuni na makachero wa serikali. Hakujua ni kitu gani atazungumza kujitetea pale ambapo atajulikana kama yeye ni mlinzi wa mke wa raisi wanaye mtafuta kwa kipindi chote.
 
Ukunga mkali wa maumivu ukamtoka mmoja wa makachero, akaanguka chini jambo lililo wastua wezake na kujikuta wakigeuka nyuma kutazama kilicho mpata mwenzao huyo, wakamkuta akitokwa na damu nyingi shingoni zikiruka mithili ya maji yanayotoka kwa kasi katika bomba la askari wa kikosi cha zihma moto.
 
***
Eddy akatafuta sehemu yenye maficho kwenye baa hiyo yenye watu wengi akakaa, kusikilizia hali inayo endelea huko nje kwani anaamini ni lazima msako wa yeye kutafutwa utaendelea. Kutokana hakuwa ni meejeji sana wa vyakula wanavyo tumia wajapani, ikamlazimu kuagiza bia ili mradi asafishe koo lake. Akiwa anaendelea kusubiria kinywaji alicho agiza. Msichana mrefu wa kijapani aliye valia kisketi kifupi cheusi na sidiria. Akasimama mbele ya meza yake huku akijishika shika kifuani mwake ikiwa ni ishara kwamba yupo kimaslahi ya kimapenzi.
 
Eddy akatabasamu kisha akachomoa noti moja ya yen kumi na kumpa binti huyo, kwa ishara ya mkono akamuomba aondoke eneo hilo kwani hamuhitaji kimapenzi. Binti huyo hakuamini kukabidhiwa kiasi hicho cha pesa kwani kwake ni kikubwa sana. Ila kilicho mshangaza ni uzuri wa kijana huyu mweusi akionekana ni mzaliwa wa bara la Afrika japo hakujua ni nchi gani ametoka.
 
Bia ya Eddy ikaletwa akaendelea kuinywa taratibu taratibu. Kitu kilicho anza kumuumiza kichwa ni kuikumbuka sehemu ambayo anatakiwa kwenda. Binti huyo baada ya kuachana na Eddy akaamua kurudi katika chumba ambacho kimetengwa maalumu kwa machangudoa wote wanao jiuza ndani ya baa hiyo. Akavalia nguo zake za kawaida. Akawaaga wezake kwamba anakwenda kumtazama bibi yake hospitali.
 
Moyoni mwa msichana huyo wa kijapani alijawa na furaha kwani biashara hiyo ya kujiuza anaifanya kutokana na hali ngumu ya maisha. Akafika nje ya baa hiyo. akatembea hadi kwenye maegesho ya magari akafika hadi kwenye kagari kadogo aina ya Vitz. Kabla hajafungua mlango askari wawili wakamfwata na kumsimamisha.
Mmoja wao akatoa simu mfukoni na kumuonyesha picha ya Eddy.
 
"Unamfahamu huyu?"
Binti huyo akastuka kidogo, ila akajitahidi kuuzuia wasiwasi wake. Akatingisha kichwa pasipo kuwajibu akimaanisha kwamba hamfahamu mtu huyo. Askari hawakuwa na lakufanya zaidi ya kuindoka na kuelekea ndani ya baa huyo wakiendelea kumtafuta Eddy kwani picha yake ilisha tumwa kwa kila askari ndani ya Japan wakimtafuta kama muhamiaji aliye ingia ndani ya nchi hiyo pasipo kuwa na hati ya kusafiria na hakuna askari aliye ambiwa kwamba Eddy ni waziri nchini Tanzania. 
 
Binti huyo akasimama kwa sekunde kazaa njee ya mlango wa gari lake huku akijishauri kuondoka au akamtaarifu mwanaume aliye mkarimu kwake. Kwa haraka akaanza kupiga hatua kuelekea ndani ya baa hiyo. 

Akatazama sehemu alipo kuwa amekaa Eddy hakuweza kumuona, katika kutazama tazama akawaona askari hao wakiendelea kuwauliza watu wengine nani ya baa hiyo. Wasiwasi mwingi ukamjaa hakujua ni wapi alipo kijana huyo. 

Kwa haraka akaelekea nje ya kutazama kama kijana huyo atakua ametoka ila hakumuona. Gafla watu wakaanza kutoka ndani ya baa hiyo wakikimbia wengine wakipiga mayowe, ikamlazimu binti huyo kurudi tena ndani kuangalia ni kitu gani kinacho wakimbiza watu.
 
Akamkuta kijana huyo akimalizia kumpiga teke moja askari lililo muangusha chini huku mwengine akiwa amelala juu ya meza iliyo vunjika. Macho ya Eddy yakakutana na binti huyo akionekana kumshangaa, bila kujali binti huyo akamuita Eddy aliye mfwata bila kujiuliza. Wakatoka kwa kukimbia wakaelekea kwenye maegesho ya magari wakaingia kwenye gari la binti huyo wakaondoka katika eneo hilo la baa.
 
***
Macho ya Shamsa yakatua kwenye picha kubwa ya Eddy iliyo onyeshwa kwenye moja ya Tv kubwa iliyopo kwenye uwanja wa ndege alio fikia nchini Japan.
"Most wanted?"(Anatafutwa?)
Shamsa alijiuliza huku akisimama kwenye benchi alilo kuwa amekalia. Huku macho yake yakiyasoma maandishi madogo yaliyo andikwa kwa lugha ya kingereza yanayopita kwenye taarifa inayo tangazwa kwa lugha ya kijapani.
"Ina maana Eddy hajafa?"
Shamsa alijiuliza ila hakupata jibu ikaonyeshwa kipande kidogo cha video kilicho rekodiwa na camera za ulinzi zilizo kuwa kwenye uwanjaambao Eddy alifikizia.
 
"Mbona unashangaa?"
Faktari wa Shamsa alimuuliza baada ya kumuona anaikodolea macho Tv kubwa iliyopo mbele take.
"Hapana"
Shamsa alijibu, Dokta wake akamkabidhi hati yake ya kusafiria wakaondoka katika uwanja wa ndege. Moyoni mwa Shamsa alijawa na furaha sana kusikia kwamba Eddy yupo hai pili ni uwepo wa Eddy kuwepo ndani ya Japan. Swali kubwa lililo muumiza kichwa ni wapi alipo Eddy ndani ya Japani.
"Tutapitia kwanza hospitali kisha tutakwenda katika nyumba ambayo nimekupangishia"
 
"Sawa"
Hawakuchukua muda mwingi wakafika kwenye moja ya jengo kubwa la hospitalini. Wakashuka na daktari na kuanza kuelekea ndani ya hospitali hiyo. Kagari kadogo aina ya Vitz kikawakosa kosa kuwagonga kikiwa kina simamishwa kwenye maegesho ya hospitalini hapo jambo lililo mkera sana daktari wa Shamsa, kwa hasira akatembea kuelekea ilipo gari hiyo dereva akionekana ni mwanamke huku Shamsa akabaki akiwa anamtizama dokta wake ni kitu gani ambacho anakwenda kukifanya kwa dereva huyo.
 
***
Eddy na binti huyo wakijapani wakazidi kutokomea kwa mwendo wa kasi kuondoka katika hospitali hiyo.
"Unafahamu kijapan?"
Binti huyo alizungumza kwa lugha ya kingereza huku akizidi kuongeza mwendo kasi wa gari hilo.
"Hapana najua kingereza, kifarasana na kiswahili"
"Ohooo unajua kiswahili, mimi pia najua japo si sana"
Binti huyo alizungumza kwa lugha ya kingereza.
"Kama unajua kiswahili. Haya Mambo vipi?"
"Mambo mimi ni Poa"
 
"Unaitwa nani?"
"Naitwa SA YOO. Wewe je unaitwa nani?"
"Mimi naitwa Eddy"
"Jina zuri, tokea wapi wewe?"
"Tanzania"
"Ahaaa najua hiyo nchi. Kumbuka nilikujaga nikiwa mtoto ndio jifunza kiswahili kule"
"Kwa nini umeamua kunisaidia?"
Kabla binti huyo hajajibu simu yake ikaita. Akaitoa kwenye mkoba wake moja kwa moja akaipokea kisha na kuiweka sikioni mwake. Sura yake gafla ikabadilika baada ya kupokea maelezo kutoka uoande wa pili wa simu. Akaikata simu yake huku machozi yakianza kumlenga lenga usoni. Jambo lililo anza kumpa wasiwasi Eddy.
 
"Sa Yoo unatatizo gani?"
"Bibi yangu"
Sa Yoo alizungumza huku machozi yakilowanisha mashavu yake Ikamlazimu kugeza gari lake akakunja kwenye barabara nyingine na kuliendesha kwa kasi gari lake akijitahidi kuyapita magari ambayo yanakwenda kwa mwendo wa taratibu. Dakika kumi mbeleni wakawa wameingia kwenye jengo moja kubwa. Kwa haraka akalipitisha gari lake kwenye maeneo ya maegesho na kuwakosa kosa kuwagonga watu wawili waliokuwa wakivuka kuelekea katika upande wa kuingilia katika gorofa hilo.
                                                                                                      ***
Majira ya saa tatu kasoro msafara wa magari ya raisi Praygod Makuya yakaingia kwenye msitu ambao walielekezwa wanapo patikana watekaji walio mteka mke wake. 

Makachero wanao uongoza msafara huo wakashuka kwenye magari yao kila mmoja akiwa na bastola iliyo jaa risasi mkononi mwake. Wakatembea kwa tahafhari kubwa wakijaribu kuchunguza kila sehemu ya msitu huo kwa umakini wa hali ya juu. 

Umakini wao ulizidi kuongezeka kwani wana kiongozi wao mkubwa wa nchi. Wakafika hadi eneo la handaki. Makachero wawili wakaingia ndani ya handaki hilo. Gafla milio mingi ya risasi ikasikika ndani ya handaki hilo jambo lililo wachanganya raisi na watu wake walio baki nje ya handaki.

ITAENDELEA...

Usikose kufuatilia sehemu inayofuata kupitia ubuyublog.com
  

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts