Get the latest updates from us for free

Home » » VIDEO: Nape Akidhibitiwa na Polisi Arudi Ndani ya Gari Baada ya Mkutano wake Kupigwa Marufuku

VIDEO: Nape Akidhibitiwa na Polisi Arudi Ndani ya Gari Baada ya Mkutano wake Kupigwa Marufuku

Written By Bigie on Thursday, March 23, 2017 | 4:30:00 PM

Mtazame hapo chini Mbunge Nape akiamriwa kurudi ndani ya gari mara tu alipofika katika Hoteli ya Protea kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari.

Rais Magufuli leo ametengua uteuzi wa Nape na Kumteua Mwakyembe kuchukua nafasi hiyo.

==>Tazama video hapo chini

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts