Home » » OFA: Jipatie Kitabu cha Riwaya Kali ya President Wife Toka Kwa Mwandishi Makini Eddazaria

OFA: Jipatie Kitabu cha Riwaya Kali ya President Wife Toka Kwa Mwandishi Makini Eddazaria

Written By Bigie on Saturday, May 14, 2016 | 12:23:00 PM

Baada Ya Kutikisa Na Hadithi Za She Is My Wife, Sorry Madam Season One Na Two. Habari Njema Kwa Wasomaji Wa Hadithi Za Eddazaria G.msulwa, endelea Kujipatia Kitabu Cha President Wife Jumapili Ya Leo Kwa Sh 10000 Tu

==>"Baada ya utawala wa mzee GODWIN na MANKA kutolewa madarakani na EDDY DODWIN, adui mkubwa wa Eddy, JOHN anachukua madaraka ya Mzee Godwin na kuapa ni lazima ataamuangamiza Eddy aliye kuwa rafiki yake wa kipindi kirefu toka wakiwa sekondari. 

"Rahab anaongoza nchi huku kijana machachari Adrus akiwa mlinzi makini kuhakikisha maisha ya mke wa raisi yanakuwa salama, ila K2 na kaka yake wanajawa na uchu wa madaraka na kuhakikisha kwamba wanauangusha uongozi wa Raahab, ila Eddy anasimama kama ngao na kupigania uongozi wa Rahab je atafanikiwa"
 
Ungana nami muandishi wako Eddazaria G.Msulwa katika hadithi hii ya kusisimua

Jipatie kitabu hichi kupitia WhatsApp 0657072588 au 0768516188 au email yangu eddazariaM@gmail.com kwa sh 10000/=.

 Kitabu hichi kipo kwenye mfumo wa Softy Copy. Mfumo ambao ni rahisi kwa kumfikia mteja yoyote ndani na nje ya nchi ya TANZANIA

Karibuni sana na ninaomba muzidi kuni support katika kazi yangu ya uandishi.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts