Home » , » AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 09 na 10)

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 09 na 10)

Written By Bigie on Sunday, February 25, 2018 | 3:34:00 PM

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA
ILIPOISHIA       
Lucy alizungumza mara baada ya kuniona nikiwa ninashangaa shangaa. Tukaingia kwenye lifti japo ni nyumba ya gorofa moja ila ina lifti yake. Tukafika juu, nikakuta seble nyingine hii ikiwa imeizidi seble ya chini mara dufu.
“Hichi ndio chumba utakacho kuwa unakitumia kwa maagizo ya baba kama jinsi alivyo sema”
Nikaingia kwenye chumba hicho, kwa jinsi kilivyo kikubwa kikanifanya nibaki nimeduwaa.
“Njoo nikuonyeshe kitu”
Lucy alizungumza huku akielekea kwenye mlango mmoja ulipo ndani ya chumba hicho, akaufugua na kuingia ndani na mimi name nikaingia ndani.
“Hili ni bafu, sinki hilo la kuogea lote limetengenezwa na dhahabu hata hayo mabomba unayo yaona hapo pembeni yametengenezwa na dhahabu”
Lucy alizungumza, kitendo cha yeye kugeuka na kunitazama, usoni tukagonda vifua na kujikuta chocho zake zilizo simama vizuri zikigusana na kifua change kilicho jengeka vizuri kwa mazoezi.

ENDELEA
“Ahaa am sorry”
Lucy alizungumza huku akitazama chini kwa aibu, akataka kusogea pembeni ila nikamuwahi kumshika kiuno. Tukatazama usoni kwa dakika kadhaa, nikamuona jinsi Lucy anavyo tetemeka kwa woga kwenye midomo yake inayo chezacheza.
“Dany”
“Mmmm”
Lucy akaka kimya baada ya mimi kuitikia hakujibu kitu chochote, nikamsogeza karibu kabisa na mwili wangu, miili yetu ikagusana kabisa. Lucy akazidi kutetemeka na kujikuta akifumba macho na kushindwa kunitazama kabisa usoni mwangu.
 
Nikasogeza lipsi zangu taratibu hadi zikagusana na lipsi zake. Lucy akakunja kabisa sura yake na kuyapandisha mabega yake juu kidogo akionekana kuogopa sana kwa kitu ambacho ninataka kukifanya. Nikameza mate kidogo  kisha nikarudisha kichwa changu nyuma na kumuachia mkono.
Nikaendelea kutazama bafu hilo lililo tengenezwa vizuri sana, akilini mwangu ninakwaza juu ya utajiri wa mzee Jongo, akiwa kama mtumishi wa serikali japo yupo ngazi ya juu, ila pesa zote hizi amezitolea wapi. Lucy akatoka bafunu humo pasipo kunisemesha kitu cha aina yoyote. Ikanibidi na mimi kutoka, sikumkuta pia katika chumba hichi.
 
“Amekwenda wapi huyu?”
Nilizungumza huku nikielekea mlangoni, nikafungua na kumuona akiingia kwenye moja ya chumba kilichomo huku juu gorofani.
“Anatatizo gani huyu?”
Nilijiuliza huku nikielekea kwenye chumba hicho, nikakuta mlango ameurudishia tu na kuna kijiupenyo kidogo ambacho unaweza kuona ndani. Nikausukuma taratibu na kuchungulia ndani. Nikamuona Lucy akiwa amekaa kitandani huku akimwagikwa na machozi usoni mwake.
‘Ina maana amechukizwa na kumkiss?’
 Ikanibidi kuingia chumbani humo, Lucy akanyanyua kichwa chake. Kwa ishara ya mkono akanionyesha ishara ya kutoka chumbani humo.
 
“Lucy kuna tatizo lolote jamani?”
“Nimesema ondoka chumbani kwangu”
Hapo Lucy alizungumza kwa hasira hadi nikabaki nikiwa nimemkodolea macho kwa maana sikutarajia msicha mzuri kama huyu anaweza kukasirika kwa namna hii.
“Lakini Lucy si…..”
“Koma kuniita jina langu, sitaki mazoea na wewe, hata kama umeniokoa na moto ila masikini kama wewe huwezi kuwa na mimi”
Maneno ya Lucy yakapenya moja kwa moja kwenye moyo wangu. Nikamtazama Lucy kwa macho yaliyo jaa uchungu, nikajikuta nikianza kujutia moyoni mwangu ni kwa nini nimejitia kwenye majaribu ya kumsaidia hadi leo sehemu ya mgongo wangu imepatwa na majeraha.
 
“Look at yourself. Do you think unaweza kuwa na msichana kama mimi ehee”
Lucy alizidi kuzungumza kwa dharau huku akinitazama usoni mwangu. Akanipandisha kwa macho na kunishusha kisha akaachia msunyo mkali ulio anza kunipandisha hasira.
“Let me tell you this. Wewe sio level yangu, na siwezi kuwa na wanaume wa Sinza kama wewe. Toka chumbani kwangu kabla sijakufanya kitu mbaya”
“Asante”
Nilizungumza huku machozi yakinilenga lenga. Nikatoka chumbani kwake, sikuona hata haja ya kurudi katika chumba nilicho ambiwa nitakaa humo. Sikutumia lifti iliyopo ndani humo, nikaanza kushuka kwenye ngazi za chumba hicho kwa haraka, nikatoka nje ya nyumba hicho. Nikafika getini mlinzi akanifungulia huku akinitazama usoni kwa kunishangaa kwa maana machozi yalisha anza kunilenge lenga. Ubaya wa huku Masaki, pikipiki wala bajaji hazipiti piti mitaani, ikanibidi kuanza kutembea hadi kwenye kituo cha dalala, nikakodi pikipiki, dereva akanipeleka hadi Sinza ninapo ishi.
 
“Nisubiri nikuletee pesa yako”
“Sawa bosi”
Nikaingia ndani, moja kwa moja nikaelekea chumbani kwangu, kitu kilicho nistua kidogo ni kuukuta mlango wangu upo wazi kidogo. Nikakumbuka kwamba jana sikuweza kuufunga na funguo ila niliuurudishia tu.
Nikaingia kwa kuusukuma taratibu. Macho yakanitoka baada ya kumkuta K2 akiwa amelala kitandani huku amejifunga taulo kiunoni mwake na amelala kifudi fudi.
Sikumstua chochote zaidi ya kuchukua pesa kwenye waleti yangu iliyokuwa kwenye sofa, nikatoka nje na kumlipa dereva bodaboda na kurudi chumbani kwangu.
   Nikamtazama jinsi K2 alivyo lala kitandani na makalio yake yalivyo ju. Nikatamani hata kuchukua mkanda na kuyacharaza pasipo uruma ila heshima ya kazi nikajikuta ikinivaa taratibu nikajikuta nikimgusa mgongoni na kumtingisha.
“Bosi, Bosi”
“Mmmmm”
K2 alizungumza huku akijigeuza taratibu. Akanitazama usoni mwangu, akaachia tabasamu pana kidogo.
“Umerudi?”
“Ndio, umekuja kufanyaje chumbani kwangu?”
“Kwani kuna ubaya wa mpenzi kuja nyumbani kwa mpenzi wake”
K2 alizungumza huku akikaa kitako kitandani, kwa jinsi ninavyo mtazama usoni mwake nikatamani kumtandika kofi kama alili nipiga jana asubihi, ila nikajikuta nikibaki nimemkazia macho. K2 akanitazama mikononi na kuishika kwa haraka na kuitazama.
 
“Dany umefanyaje mikono yako?”
“Niliungua na moto”
“Moto, wapi na ilikuwaje kuwaje?”
“Sihitaji maswali mengi”
Nilizungumza huku nikinyanyuka kitandani, taratibu nikalivua shati nililo livaa huku nikimtazama K2 usoni.
“Dany, natambua kwamba una hasira na mimi, ila unatakiwa kunijibu basi maswali yangu”
“Hatupo ofisini kwa kusema uweze kuniamuru kuweza kuyajibu maswali yako sawa”
Nilizungumza kwa ukali hadi K2 mwenyewe akashangaa, nikatembea hatua chache na kufungua friji. Hapo ndipo K2 alipo kurupuka kitandani na kunisogelea, huku akinitazama mgongoni mwangu.
“Dany huku pia mgongoni umeungua?”
“Mimekuambia sitaki maswali sawa”
“Lakini Dany tambua kwamba nina kupenda na nilicho kufanyia jana sio kama nilikifanya makusudi ni hasira tu niliyo toka nayo nyumambani kwangu”
“Sihitaji kujua kwamba ulikuwa na harisa kutoka nyumbani kwako au laa, ninacho kihitaji sasa hivi nitulie. Kama utalala hapo kitandani wewe lala, kama utataka kuondoka wewe ondoka”
 
Nilizungumza huku nikitoa soda a kopo alizo zinunua Mariam”
“Dany”
K2 aliniita kwa upole huku akijaribu kunishika mkono wangu, ila nikuasogeza mkono wangu pembeni kwa nguvu, asinishike kabisa.
“Dany juzi mume wangu niligombana naye so niliamka na hasira ila nakuomba unisamehe sana”
“Msamaha huo kamuombe mume wako, hivi unahisi kwamba unaweza kuzilazimisha hisia zangu kwako. Tangu jana ulipo ninyayasa kwa kunitandika kibao hisia zangu zilizo anza kuvutiwa na wewe zilifutika kabisa kwako”
“Nitabaki kukuheshimu kama bosi wangu, na wewe nakuomba uniheshimu kama mfanyakazi wako. Na tunapo elekea nitaandika barua ya kuacha kazi”
“What, uache kazi kwa ajili yangu?”
“Ndio”
“Ila tambua kazi yetu mtu uwezi kuacha hadi mauti yatakapo kukumba”
 
“Natambua hilo, ila mimi ndio nitakuwa wa kwanza kuacha kazi kwenye kitengo hichi, utafurahi na roho yako.”
Nikagugumia fumba la soda, na kukaa kitandani, K2 naye akaka kitandani huku akinitazama kwa macho yaliyo yaa wasiwasi mwingi.
“Dany, nipo tayari kufanya chochote ila si kukuacha wewe, nimesha kupenda”
“Eheee, hivi unatambua kwamba mimi na wewe hatuaendani. Umenipita hata miaka kumi na tano. Hivi unadhani pale ofisini watu wakitambua kwamba mimi na wewe tuna mahusiano, watananichukuliaje mimi. Niache nitafute kijana mwenzangu ambaye anaweza kukidhi haya ya mwili na moyo wangu”
“DANY INATOSHAAAAAA…….”
K2 alizungumza huku akifumba macho yake, machozi yakaanza kumwaika usoni mwake. Sikulijali hilo kwa maana na yeye amenikuta nikiwa kwenye hali ambayo sio nzuri kusema kweli kwa maana maneno aliyo nieleza Lucy yanazidi kujirudia rudia mara kadhaa kichwani mwangu.
“Dany nakuomba unipe japo mara ya mwisho nitakuwa tayari kuachana na wewe”
 
“Nisikilize K2, hujanipenda mimi, umenitamani na siku zote zipendi mwanamke ambaye ananitamani kwa maana sipendi huo upuuzi wa kutamaniwa sawa”
“Dany jamani nakupenda au unataka nitoke nje uchi niwaambie wapangaji wezako kwamba ninakupenda”
“Haaa toka”
K2 akasimama akalivua taulo na kulitupia kitandani, akavua bikini aliyi ivaa na kuanza kupiga hatua hadi mlangoni, akaufungua, kwa haraka ikanibidi kumuwahi na kumshika mkono na kumrudisha ndani.
“Mtu mzima wewe, unataka kufanya nini?”
“Kwani mtu mzima hapaswi kupenda”
“Acha useng……”
 
K2 akaniwahi kwa kuninyonya mdomo wangu.  Nikajaribu kujitoa mikoni mwake ila nikashindwa kutoka na kuniwahi kuning’ang’ani. Tukakokotana hadi kitandani, ambapo K2 alinikalisha na kuanza kuufungua mkanda wa suruali yangu, akanivuasuruali yangu na kuitupa pembeni. Sikuwa na ujanja kwa maana matamanio ya mapenzi tayari yalisha mvaa jogoo wangu aliye simama wima.
Akamchomoa kwenye boksa yangu na kuanza kumchua huku akimtazama kwa macho ya matamanio. Akachuchumaa chini na kuanza kucheza na jogoo wangu.
    Mawazo ya kuyafikiria maneno ya Lucy taratibu yakaanza kunitoweka kichwani mwangu. Kwa jinsi K2 anavyo cheza na jogoo wangu, sikutamani hata kumuachia kwa maana alimnyonya kwa fujo ambazo zinanifanya nijisikie raha hadi kisogoni.
Akaanza kunyonya vitenesi vyangu, huku kwa mara kadhaa akivituta na lipsi zake, hakuishia hapo akaanza kumpigisha jogoo wangu kwenye mashavu yake na kunifanya nizidi kujisika raha.
‘Masikini wee anajitahidije’
Nilizungumza kimoyo moyo huku nikimtazama K2, jinsi anavyo hangaika na jogoo wangu, japo ninajisikia raha ya namna yake, ila moyo wangu bado haupo kwake. Akanyanyuka, akatema mate kidogo kwenye kiganja cha mkono wake wa kulia, akajipaka kwenye kitumbua chake, kisha akanigeuzia mgongo wake huku akiwa amemshika jogoo wangu kwa mkono wa kushoto. 
 
Taratibu akaanza kumuingiza kwenye kitumbua chake. Taratibu akashuka naye hadi akazama wote kwenye kitumbua. Kitu kinacho nifurahisha kwa K2 ni jinsi anavyo jituma katika swala hilo, sio kama baadhi ya wanawake nilio wapitia ambao ni wavivu hadi wanakoseha ladha ya kuwa na mahusiano nao.
Ikawa ni kazi ya kufanya zoezi ambalo ninaweza kulifananisha na kichura chura, ila utofauti uliopo ni kwamba mazoezi haya K2 amakikalia kitumbua changu na jinsi anavyo kizungusha kiuno chake nilijikuta nikiyafumba macho kwa raha ninayo isikia.
   Nikayafumbua macho yangu pale K2 alipo mchomoa, jogoo wangu kwenye kitumbua chake, akampaka mate kidogo na kutana kumuingiza kwenye mkund**
 
“Unataka kufanyaje?”
Nilimuuliza K2 huku nikiwa nimemtolea macho kwa maana sipendi mchezo wake. K2 akageuka huku jasho likiwa linamwagika uso mzima.
“Dany nawashwa bwana”
“Si nilisha kueleza kwamba sipendi hii tabia yako”
“Dany nionee huruma, nikune kidogo tu tafadhali”
K2 akageukia alipo kuwa amegeukia, taratibu akamuingia jogoo wangu alipo kuwa amekusudia kumuingiza, hapo ndipo kasi yake ya kumkalia ilipo ongezeka mara mbili zaidi ya pale alipo kuwa amemuingiza kwneye kitumbua chake.
“Ohooo Dany Dany”   
K2 alipiga makelele ya raha, na kujisahau kabisa kwamba hapa tulipo ni nyumba ya kupanga. K2 akaendelea kuzungusha kiuno chake huku mikono yake miwili akiwa ameyashika maziwa yake yasiruke ruke.
“Usipige kelele bwana”
“Oooooooiiiiiii Aiisisssssss u kill meeeeeeee”
Ndio kama nilimuambia kwamba azidisha makelele, nikatamani kumziba mdomo ila nikajikuta nikishindwa kutokana na viganja vyangu kuwa na majeraha ya kuungua.
“Kill my Ass Dany……Ooooooo”
 
“K2 tu acha kelele bwana nini, ujue nitaacha”
Muda huu ilinibidi kuzungumza kwa sauti yakufoka kwa maana kelele za K2 zimezidi kiwango, na ninaamini kama kuna mtu nje basi anaweza kusikia kila kitu.
K2 akanyamaza huku kichwa chake akitazama juu, na kuzidi kuongeza kasi ya kujikuta mkund** wake na jogoo wangu, raha niliyo anza kuipata kitokana na waarabu weupe wanao taka kutoka, nikajikuta na mimi nikifumba macho huku nikiwasikilia wanavyo safiri kutoka miguuni hadi, wakapanda mapajani, kiunoni hadi wakaanza kukaa usawa wa kutoka.
“K2 nakojoaa……”
“Kojoa tu”
Viungo vyote vya mwili wangu vikapata raha ambayo siku zote wanaume tukifika hatua hiyo tunaweza kujikuta tukaropoka maneno ambayo hata hayapo kwenye huu ulimwengu, ili maradi kuwasindikiza waarabu hao. Waarabu weupe wakatoka kwa kasi na kunifanya nifumbue macho yangu huku nikiwasikilizia wakitapakaa kwenye mkud* * wa K2. Kitendo cha kufumbua macho yangu, nikakutana uso kwa uso na Marim aliye simama mlangoni akitutizama kwa kuduwaa, na kunifanya mapigo yangu ya moyo kuniaenda mbio, nilipo mtazama K2 mwenzangu bado alitazama juu huku akiyabana maziwa yake kwa nguvu.
                                                                                    
                        AISIIIII……….U KILL ME 10

 Mariam ona tunatazama, akatoka kwa haraka hata kabla K2 hajamuona.
“Ohooo Dany your so cryz”
Sikumjibu chochote K2, kwa maana mawazo yangu yote nilisha anza kumfikiria Mariam ambaye ni msichana aliye ziteke hisia zangu za ukweli za mapenzi. K2 akanyanyuka taratibu na kujilaza kifudifudi kitandani huku akiyatingisha makalio yake.
“Hapa nimepata hata nguvu ya kufanya kazi leo ofisini kwa maana mwenzako sikuwa na nguvu kabisa ya kufanya kazi ofisini”
“Kwa hiyo auendi ofisini?”
“Nitakwenda, kwa maana mkund** mzima ulikuwa ukiniwasha washa nilipo kuwa ofisini”
“Mbona hukuja na gari?”
“Ahaaa sikutaka watu wafahamu ninapo kwenda, nilikodisha taksi hadi hapa”
 
“Ok fanya ukaoge?”
“Dany subiri kwanza ziingie vizuri”
K2 akaendelea kujilaza, kutokana na jasho nililo lipata sikutaka kukaa nalo. Nikajifunga taulo na kutoka nje, kwenye kordo hapakuwa na mtu wa aina yoyote, nikarudi chumbani na kuchukua sabuni na moja kwa moja nikaelekea bafuni. Kimbebe kikawa ni kwenye kuoga kwa maana vidonda vikiingia maji vinauma kupita maelezo. Nikaoga kiaina aina huku nikihakikisha kidonda cha mgongoni sikitii maji.
Japo vidonda vya mikononi vinakumbana kwa maumivu makali ya maji ila nikajikaza hadi nikamaliza zoezi langu, nikafungua bandeji zote nilizo fungwa viganjani, nikatoka nazo bafuni huku nikiwa nimejifunga taulo. Nikiwa naelekea kwenye ndoo ya matakataka nikakutana na Mariam akataka kunisemesha kitu ila alipo niangalia mgongoni akastuka. Nikaziweka bandeji hizo kwenye kindoo hicho cha taka kisha nikampita kama sijamuona, nikaingia chumbani kwangu na kumkuta K2 bado akiwa amejilaza.
 
“Bafu lenu lipo kwa wapi?”
“Ukitoka huko uwani utaiona milango miwili, wa mwisho kabisa ni mlango wa choo na pembeni upande wa kushoto kwako ni mlango wa bafu”
“Hakuna watu hapo uwani?”
“Sasa wewe unaogopa watu”
“Ahaa sipendi uchoro mimi”
“Wewe nenda hakuna watu”
K2 akashuka kitandani akajifunga taulo, kunzia kifuani, ambalo liliishia kwenye nusu ya mapaja yake hii ni kutokana na urefu wake.
“Sabuni ipo wapi?”
“Hiyo hapo juu”
K2 akachukua sabuni na kutoka, nikajilaza kitandani huku feni nikilitega sehemu moja na lisizunguke zunguke. Nikajilaza kitandani kifudifudi, kidogo upepo huo wa feni ukawa unanipa hauweni ya maumivu ya kidonda cha mgongoni kupungua. Baada ya dakika kama tano, K2 akarudi chumbani huku akiwa amemaliza kuoga.
 
“Aiseee kumbe kidonda chako kikubwa hivi”
“Ndio”
“Ulifanyaje?”
“Jana kuna nyumba ilikuwa inaungua hapo mbele, sasa kuna mtu alibaki ndani, nikaenda kumuokoa”
Aisee pole sana, sasa alifufa?”
“Hapana alisalimika na wala hajaungua sehemu yoyote”
“Kwa staili hiyo, basi itabidi upumzike hadi kidonda kitakapo kuwa sawa”
“Sawa, ila nitaomba niende nyumbani Tanga nikasalimie”
“Na kidonda hicho, bado kibichi unataka kusafiri tena?”
“Nitavaa mashati makubwa”
“So nikupe dereva akupeleke?”
“Hapana”
“No Dany kwa hali kama hiyo huwezi kusafiri kwenye basi, kesho Hassani atakuja kukuchukua alfajiri na mapema muanze safari sawa”
“Sawa”
“Ngoja niende kazini, jioni nitakuletea pesa ya kwenda kusalimia nyumbani”
 
“Sawa”
K2 akaanza kuvaa nguo zake, akatoa vipodozi kwenye pochi yake na kuanza kujipara akitumia kioo cha dreasing table yangu iliyomo humu ndani kwangu. Alipo maliza, akanifwata kitandani, akanifunika shuka kuanzia miguuni hadi kwenye kiuno.
“So Dany umenisamehe”
“Ndio ila siku nyingine usirudie ujinga ulio ufanya, hata kama wewe ni bosi wangu”
“Sinto fanya hivyo Dany wangu, nakuapia haki ya Mungu, sinto rudia huo ujinga”
“Sawa”
K2 akanisogelea na kunibusu mdomoni, na shavuni. Akafungua pochi yake na kutoa noti nyingi za elfu kumi kumi na kunikabidhi.
“Laki mbili hiyo, fanya basi utafute chakula cha mchana”
“Sawa, asante”
“Jioni nikitoka ofisini nitakuletea chakula”
“Sawa baby”
“Waaoo Dany umeniita baby leo, asante sana”
“Usijali”
K2 akatoa simu yake, akampigia dereva wa taksi aliye mleta, baada ya dakika tano, simu yake ikaita.
“Amesha fika, naona ananipigia, so fanya ule mme wangu”
“Sawa mamy”
K2 akanipiga busu tena, akabeba pochi yake, na kutoka chumbani kwangu huku akipokea simu ya dereva taksi huyo aliye mleta. Nikazihesabu pesa hizo kweli nikakuta ni laki mbili. Nikaziweka pembeni ya mto nilio lalia. Hata kabla sijafanya chochote nikasikia hodi mlangoni kwangu.
“Nani?”
 
“Mariam”
“Ingia”
Akaingia Mariam akiwa mnyonge, kwa ishara ya mkono nikamuomba akae kwenye sofa. Mariam akanitazama mgongoni mwangu, kisha akanitazama usoni.
“Dany naomba unisamehe”
“Kwani umefanya kosa”
“Ndio, niliingia ndani kwako pasipo idhini yako”
“Usijali nimekusamehe, niambie kilicho kuleta”
“Nilikuja kukupa pole kwa kuungua, nilisikia jana ila sikuweza kukuona, sasa leo  nilipo sikia kelele chumbani kwangu ikanibidi nije kukusalimia”
“Ok, usijali naendelea vizuri, so umekula?”
“Ndio nimekunywa chai”
“Chuku hii pesa kalete chipsi kuku mbili, yako na yangu”
Nikatoa elfu thelathini na kumkabidhi Mariam aliye nyanyuka na kuja kuzichukua kitandani nilipo jilaza.
“Sikia kuku wangu wamkaushe, na chipis yangu uikaushe”
“Sawa”
 
“Chuku na hii elfu kumi niletee miskaki”
“Mingapi?”
“Kwani mskaki mmoja ni shilingi ngapi?”
“Ni miatano”
“Lete ya pesa yote. Hivi mama yupo?”
“Hapana, amekwenda Mbagala kufwatilia watu alio wakopesha vitenge vyake”
“Atarudi saa ngapi?”
“Nahisi usiku”
“Ok leo hujaenda chuo?”
“Leo sina mtihani”
“Sawa kalete hivyo vitu. Hembu fungua friji uangalie ni kinywaji gani kimepungua”
Mariam akafanya kama nilivyo muagiza, akafungua friji, akatazama kwa sekunde kadhaa kisha akalifunga.
“Vinywaji havijapungua sana, ila kuna sahani ina ndizi”
“Ahaa okay, basi kalete msosi”
Mariam alitoka, akiwa mnyonge dhairi nikatuambua kuna kitu ambacho kinamsumbua. Nikachukua simu yangu iliyopo mezani na kutazama meseji zilizo ingia, hapakuwa na meseji nyingi zaidi ya meseji za marafiki zangu ofisini wengine wakiniuliza ni wapi nilipo. Sikujibu meseji ya yoyote kutokana na kuchoka.
 
    Baada ya nusu saa Mariam akarudi akiwa ameshika mfuko mkubwa mweusi. Akauweka mezani na kuchukua sahani kwenye sehemu ninapo ziweka. Akaanza kutenga chakula, alipo maliza akaniomba ninyanyuke kitandani. Taratibu nikanyanyuka kitandani kwa bahati mbaya shuka niliko jifunika, likaniponyoka kwa mbele nilipo kuwa nimepashika na kusababisha sehemu yote ya mbele kuonekana. Mariam akapakodelea macho, kisha akatazama pembeni na kujikausha kama hajaona kilicho tokea. Nikajifunga shuka hilo vizuri kiunoni na moja kwa moja nikaelekea kukaa kwneye sofa, naye akakaa pembeni yangu.
 “Niletee uma, siwezi kula kwa kiganja”
“Sawa”
Mariam akanyanyuka kwenye sofa na kwenda kunichukulia uma, kisha akarudi nao. Akanikabidhi kisha yeye akanawa mikono kwa maji aliyo kwisha kuyaandaa, akasali na kunikaribisha chakula.
“Hivi wewe na mama yako ni dini gani?”
“Wakristo”
“Ahaa”
Ukimya ukatawala kati yetu huku tukiendelea kula taratibu. Ikanibidi kuwasha redio yangu kubwa,taratibu mziki wa West life unao itwa Fool again, ukaanza kusikika kwenye spika za redio yangu.
 
“Hivi umempendea nini yule mama?”
Swali la Mariam likanistua hadi uma ukaanguka, sikutegemea kama ataniuliza tena kwenye hali ya upole na unyonge huku akiitazama sahani yake ya chakula.
“Kwa nini umaniuliza hivyo?”
Mariam akausitisha mkono wake alio kuwa anaupeleka mdomoni, huku ukiwa umeshika kipande cha nyama ya kuku, taratibu akakirudisha kwenye sahani, akashusha pumzi na kuunyanyua uso wake na kunitazama.
“Dany, siku mbili tatu hizi tulizo kuwa karibu na kulala kule hotelini chumba kimoja pasipo kufanya kitu chochote, moyoni mwangu nilijihisi mtumwa wa kkitu ambacho siku zote siwezi kukiweka wazi mbele ya mwanaume”
“Kitu gani?”
“Dany, mimi ni mwanamke matendo yangu dhairi yanaweza kukuonyeshea kwamba nina kitu fulani moyoni mwangu”
 
Mariam alizungumza kwa unyonge ambao sikutarajia hata siku moja kwamba anaweza kuuzungusha, isitoshe na tukio la leo la kunikuta ninafanya mapenzi na K2 ndio kabisa nikakata tamaa hta ya kumpata nikiamini kwamba nimesha mkosa kwenye maisha yangu.
“Ila najiona nimesha chelewa kwako, na wala siwezi kukulaumu kwa hichi ulicho kifanya kwa leo hii ni kutokana na kukusukuma mbali pale ulipo kuwa una nihitaji. Nayakumbuka macho yako uliyo nitazama nayo juzi ulipo nishika mkono, najisikia furaha sana kila nilipo ikumbuka ile siku”
Mariam wakati huu aliuzungumza maneno hayo huku machozi yakimwagika usoni mwake. Nilijihisi vibaya sana moyoni mwangu kumuona Marian analia kwa mwanaume ambaye tayari nipo kwenye mahusiano na mwanamke mwengine tena ameshuhudia miili yetu iliwa mitupu kabisa.
Taratibu nikaupisha mkono wangu mabegani mwa Mariam na kumvutia karibu yangu na kumlaza begani mwangu.
“Dany nakupenda, hata ukinifikiria vibaya ni bora kuliko hivi nikae na dukuduku moyoni mwangu”
 
‘Mama yake nitamuweka wapi naye?’
Nilijiuliza akilini mwangu huku nikisikilizia Mariam jinsi anavyo lia lia. Nikashusha pumzi nyingi, huku nikitamani kukubali ombi lake, japo kusema kweli ninahisia naye ila mama yake akifahamu kwamba nina mahusiano na mwanaye ninahisi nitaleta ugomvi kati yao isitoshe Mariam na mama yake wanapenda sana.
“Mariam?”
“Bee”
“Usilie, nimekuelewa, ila nakuomba unipe muda katika hili”
“Sawa Dany nipo tayari kukupa muda hata mwaka mzima, ila unapo fanya mambo yako jaribu kufikiria kwamba kuna mwanamke nyuma yako anakupenda kwa moyo wake wote.”
“Sawa nimekuelewa Mariam, haya sasa tuendelee kula. Nilishe tu uma wangu si umeanguka”
“Sawa”
Maria akanyanyua kichwa kwenye bega langu kwa furaha, akaanza kunilisha huku mara kadhaa akinitazama usoni mwangu na kuachia tabasamu.
‘Mariam nakupenda ila K2 akikujua wewe atakuua’
Niliwaza kichwani mwangu huku nikimtazama Marian anaye tabasamu. Tukamaliza kula, Mariam akatoa vyombo nje kwenye kuviosha, nikarudi kitandani. Baada ya muda kidogo akavirudisha na kuviweka katika sehemu ambayo amevitoa.
“Mariam kwa sasa nakuomba nipumzike”
 
“Sawa Dany”
“Je una mapungufu yoyote katika mahitaji yako?”
“Hapana ile pesa uliyo nipa siku ile nimeweza kununua mahitaji yangu yote, na nimebakiwa na elfu hamsini ya matumizi madogo madogo”
“Njoo”
Mariam akanifwata kitandani nilipo lala, nikachukua noti nyingine tano na kumkabidhi.
“Utaongezea kwenye hiyo pesa yako ya matumizi kesho ninakwenda Tanga, nitakaa huko wiki moja na amini hadi nikirudi bado pesa hiyo utakuwa nayo”
“Haaa tena utakuna hata sijaitumia sana, mimi najua kupanga bajeti”
“Sawa, na mitihani munamaliza lini?”
“Kesho kutwa, tukimaliza tunafunga chuo”
“Ok sawa, hembu niandikie namba yako ya simu hapa”
Nikamonyesha simu yangu, akaandika namba yake na kuisave kwenye simu yangu na kunirudishia. Akaniaga na kutoka chumbani kwangu huku akiurudishia mlango wangu. Kwa miziki mizuri na mizuri ya mapenzi, inayo sikika kwneye redio nikajikuta kausingizi kakinipitia taratibu na kulala fofofo.
                                                                                                         ***
 “Dany, Dany”
“Mmmmmm”
Niliitika huku nikiyafumbua macho yangu, nikamkuta K2 amekaa pemeni ya kitanda change.
“Unaendeleaje?”
“Nipo poa”
“Nimekuja na Hassani yupo hapo nje, kesho nimemueleza aje kukuchukua saa kumi na mbili asubihi muanze safari”
“Sawa”
 
Nilizungumza huku nikikaa kitako kitandani. K2 akafungua pochi yake na kutoa kibunda cha pesa kilicho fungwa na ‘rababend’ na kunikabidhi.
“Milioni tatu hiyo, naamini itakusaidia huko huendapo”
“Ndio shukrani sana mpenzi wangu”
“Usijali, kama pesa itakuwa imekuishia wewe nipigie simu nitakutumia”
“Sawa”
“Sasa nimekosa hata muda wa kupitia kwenya mgahawa na kukuletea chakula. Kama unaweza kumuagiza hata mtu akakununulia chakula”
“Ninaye bodaboda wangu mmoja nitamuagiza anichukulie chakula”
“Sasa sina muda wa kukaa, mpenzi wangu si unajua tena nyumbani kwangu mzee anasumbua sumbua na hapa ameniambai mwanangu anaumwa nataka nimuwahi kwenda kumtazama”
 
“Ahaa pole kwa kuuguliwa”
“Usijali, hembu fanya uvae japo nguo uje kumsalimia Hassani”
“Sawa”
K2 akafungua kabati langu na kunitolea pensi, na shati jespesi. Nikavaa, nilipo maliza akaninyonya midomo yangu taratibu.
“Dany nakuomba ujilinde huko uendako, isije vijiwanawake vyako vya kitanga wakaenda kukupagawisha na ukanisahau mimi”
“Siwezi kufanya hivyo mpenzi wangu”
“Ok tutoke nje”
Tukatoka na kuanza kutembea kwenye kordo huku K2 akiwa amenishika kiuno, kabla hata hatujafika mlango wa kutokea mama Mariam akatoka chumbani kwake, alipo nitazama akakunja sura yake akionekana kuchukizwa na tukio hilo la K2 kunishika kiuno, hata kabla hatujasonga mbele, mlango wa mbele ukafunguliwa na akaingia Mariam akiwa ameshika kifuko cheusi, aliopo muona K2 akajikuta akiangusha kifuko chake na kumfanya K2 kunitazama na macho ya kuniuliza swali juu ya tukio analo liona kwa wanawake hawa wawili.
 
ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts