Home » , » TANGA RAHA- Sehemu ya Kumi na Nne ( 14 )

TANGA RAHA- Sehemu ya Kumi na Nne ( 14 )

Written By Bigie on Sunday, February 25, 2018 | 3:34:00 PM

AGE………………18+
WRITER…………EDDAZARIA G.MSULWA

ILIPOISHIA

Mama Fetry akamrukia Madam Fety na kumlaza kwenye kochi na wakaanza kuminyana na kumfanya madam Zena kutoka bafuni uchi huku akiwa ana mapovu kwenye baadhi ya sehemu za mwili wake”
“Jamani shost zangu mbona munakuwa kama watoto wadogo kupigana pigana.Hilo swala si tu-shalizungumza kuwa Eddy akija atachagua nani amtakaye.Na wewe Eddy mwanaume mzima wezako wanapigana wewe umesimama unawaangalia”
“Tena koma wewe manamke usen*** wenu kaufanyieni kwenu musitake niwazabe amkofi hapa”
“Msen*** mwenyewe wewe na wazazi wako walio kuzaa”
“Zena unasemaje wewe”
“Kama ulivyo nisikia”
Nikamsogelea Madam Zena kwa hasira na kumkaba koo na kuwafanya Mama Fety na Recho kuacha kupigana kuja kuingilia ugomvi huku wakianza kunipiga makofi ya mgongoni baada ya kumsikia mwenzao akiomba msaada anakufa

ENDELEA
Nikamuachia Madam Zena na kuwageukia Mama Fety na Madam Recho na kuwafanya warudi nyuma kwani sura yangu imetawaliwa na asira kiasi kwamba kila mmoja akaniona ni mtu watofauti
“Changanyeni mbaliga zenu na mtoke ndani kwangu kabla sijafanya kitu kitakacho wapotezea maisha”
Kwa jinsi sauti yangu ilivyo badilika na kuwa ya kutisha masikioni mwao kila mmoja akaanza kuvaa kilicho chake na kutoka ndani ya chumba changu na nikaufunga mlango,baada ya dakika kadhaa mlango ukagongwa nikapiga hatua za taratibu kwenda kuufungua na kukuta na madam Zena
“Samahani Eddy niimesahau funguo za gari langu hapo juu ya meza”
Nikazichukua funguo zake kisha nikampatia na kaondoka zake,nikabadilisha nguo na kuvaa nyinine na kisha safari ya kuelekea kwenye hoteli ikaanza huku nikipita ile njia ya vichpochoro hadi nikafika Hotelini,Nikapiga hatua mpaka ninafika usawa wa chumba nikamuona muhudumu akigonga mlango ikanibidi kuongeza hatua za kwenda sehemu alipo
“Samahani dada nikusaidie nini?”
Nilizungumza huku nikishika kitasa cha mlango na kumfany muhudumu kusogea kando kidogo na kunipisha mimi nisimame usawa wa mlangoni


“Nyinyi si ndio mulio kuja na ile gari aina ya Spacio?”
“Ndio”
“Basi nilikuwa ninawomba mukaisogeze pale mlangoni kwani sio sehemu za parking za magari”
“Sawa dada nimekuelewa….Je maegesho ya magari yapo wapi?”
“Upande wa kushoto wa hoteli kuna geti amapo humo ndani ndio maegesho yapo”
“Asante:
Nikamuacha aondoke usawa wa mlango na mimi nikafungua mlango na kukaa ndani nikastuka kuto kumkuata shem Halda kitandani,Nikapiga hatua hadi bafuni na kumkuta akiwa amesimama kwenye huku ameegemea ukutani huku akiwa analia
“Halda nakuomba twende nyumbani”
Halda hakuzungumza kitu zaidi ya kukaa kimy huku akinitazama kwa macho ya hasira kiasi kwamba mapigo ya moyo yakaanza kunienda mbio
“Halda nakuomba twende nyumbani kwani usiku umesha ingia”
“Niache wewe ndenda zako”
“Hapana tumakuja pamoja kwanini unahitaji kubaki peke yako”
“Eddy niche peke yangu hunijui sikujui kwahiyo usiwe mtu wa kunisumbu hembu nenda kwako au nimwambie Rahma kuwa unanisumbua?”


“Hapana shemeji utakuwa hujatenda haki kwani hembu basi jaribu kulifikiria swala la mimi ku-fanya mapenzi na wewe endepo Rahma siku atafahamu wewe unahisi itakuwaje?”
“Wewe ni mtoto hadi mwambie kuwa umefanya mapenzi na mimi?”
“Hapana ilAa….”
“Eddy hakuna cha ila.Nakuomba utoke ndani ya chumba changu nitalala mwenyewe sawa”
Halda alizungumza kwa hasira na kunifanya nianze kupiga harua za kuelekea mlangoni taratibu kabla sijaufikia nikaisikia sauti yake kwa nyuma
“Eddy ndio unaondoka?”
“Halda ni bora niondoke kuliko kumsaliti mpenzi wangu”
“Eddy nakuomba usimwambie Rahma kuwa nilikufanyia hivi”
“Snto mwambia endapo wewe huto endelea kunisumbua”
“Sawa Eddy mimi sinto kusumbua ila nakuomba unifikirie japo kwa siku moja na mimi niweze kupata kile unacho mpa Rahma”
“Sawa”
“Basi ngoja nivae nguo zangu nikurudishe nyumbani kwako”
Halda akavaa nguo zake kisha tukaondoka na safari ya kuelekea kwangu ikaanza,njia nzima ha-kuana aliye msemesha mwenzake zaidi ya ukimya kutawala ndani ya gari
“Ingia barabara ya mtaa huo”


Nilimuelekeza Halda hadi tukafika nyumbani kwangu na akasimamisha gari nje ya nyumba yangu kabla sijashuka ndani ya gari akanishika mkono wake kisha akauweka kifuani mwake ila sikujua lengo lake ni nini
“Eddy kila mapigo ya moyo yanavyo dunda ndivyo jinsi ninavyozidi kukupenda sijui ni kwanini nimetokea kumpenda mwanaume uliye penda tena na mtu wangu wa karibu”
“Halda najua hisia ni kitu kingine sana katika maisha ya mwanadamu ila tambua ya kwamba unaweza kuzizuia pale tu unapohisi kuna haja ya kuzifanya hivyo…..Mimi ni mwanume sijajua ni wapi wewe na Rahma mulippo toka na sihitaji kuwani chanzo cha nyinyi kugombana”
“Eddy hilo mimi nimekuelewa najaribu kukutoa akilini ila ninashindwa kiasi kwamba ninaanza kuhisi nina bahati mbaya katika maishayangu.Nakuomba japo unipe nafai ya siku moja katika moyo wako ili niweze kujua na mimi nina pendwa”


“Usijali…..tene nimekumbuka kesho Rahma ameniagiza kuwa unitafutie nyumba ili niweze ku-hama huu mtaa”
“Ahaaa ondoa shaka kwa hilo kesho ni muda gani utatatoka shule?”
“Mchana”
“Basi ninakuomba kesho ukitoka unitafute kwenye simu tujue tuna anzia wapi na hii ndio na,ba yangu ya simu?”
“Sawa nitakupigia namba yangu inaishia na 88”
“Powa Eddy usiku mwema”
“Na wewe pia”
Nikashuka ndani ya gari na Halda akaondoka na mimi nikaingia ndani kwangu huku awazo yakinitawala na kujiuliza ni kitu gani kilicho mvutia mpaka inafikia hatua tukawa tunavuta-na.Usingizi mzito ulio changanyikana na uchovu ukanipitia.Saa yangu ya ukutani niliyo itega muito wa kuniamsha ikalia ikiashiria ni asubu.Nikamka kitandani na kuanza kujiandaa kwa ajili ya kwenda kazini.Kama kawaida yangu nikafika shule ninayo ifundisha lakini katika siku hii ni-po tofauti sana na siku nyingine mpaka waalimu wengine wakajua labda ni kutokana na kuum-wa kwangu ila ukweli ni kwamba nimetokea kuwachukia madam Zena na Recho.
“Sir Eddy unaendeleaje?”


“Sipo sawa mkuu”
“Kama haupo sawa ni vyema ukaenda nyumbani kwani jana ulikwenda hospitali?”
“Ndio nilikwenda kupima malaria na wakanipa mseto”
“Pole sana mwangu basi wewe nenda nyumbani na vipindi vyako nitampa mwalimu mwengine na ukae mpaka utakapo pona”
“Sawa mkuu”
Nikamaliza kuzungumza na mkuu wa shule nikabeba kila kilicho changu na kuondoka huku moyoni mwangu nikiwa ninafuraha kwamba nimepata muda mzuri wa kwenda kufanya mipango ya kuhama katika mtaa ninao ishi kwani tayari niliashaa anza kukosa amani.Nikafika nyumbani kwangu na kuwasiliana na Halda na kumuomba aje nyumbani kwangu.Haukupita mua Halda akafika nyumbani kwangu huku usoni mwake akiwa anafuraha kupita maele-zo,nikamkaribisha ndani


“Mbona leo unafuraha sana?”
“Nina furaha kutokana Rahma amekwenda dubai na mama yake”
“Acha kunitania shem”
“Kweli Eddy amenitumia meseji hii hapa”
Halda akanionyesha meseji aliyo tumiwa na Rahma masaa mawili yaliyo pita.Nikaishika vizuri simu ya Halda na kuanza kuisoma
{Shost mimi ninakwenda Dubai na mama kuna mzigo nakwenda kuuchukua ila nakuomba usi-muambie Eddy atajisikia vibaya ndani ya wiki moja nitakuwa nimesharudi}
Nikajikuta furaha yangu ikianza kukatika taratibu ila kwa mwenzangu Halda ikazidi kuongezeka nikaitoa simu yangu mfukoni na kuanza kulitafuta jina la Rahma kwenye mpangilio wa majina mengi
“Eddy unataka ufanyaje?”
“Ninataka nimpigie Rahma”
“Eddy ninakuomba usifanye hivyo kwani utanisababishia mimi matatizo na Rahma huwa ha-pendi akinimbia kitu kama hichi nimuambie mtu”
“Sawa mimi nazungumza naye vit vya kawaida”
“Ila nakuomba Eddy usije ukamuambia juu ya hili swala kwani utaninisababishia matatizo”
“Sawa”


Nikaiweka masikioni simu yangu na kuanza kuisikilizia na kila ikiita kidogo ikakata-wa,nikarudia zaidi ya mara tano ila matokeo yakawa ni yale yale ya kukatwa.Baaada ya muda kidogo akanitumia meseji
{Baby nipo na wazazi kwenye gari nikifika airport nitakupigia}
{Powa}
“Mmmm niambie tunaanzia wapi?”
“Kivipi?”
“Tunaanzia wapi katika kutafuta nyumba kwani wewe ndio mwenyeji wangu?”
“Nyumba nimeshapata”
“Wee mara moja hii?”
“Ndio twende nikakuonyeshe”
Tukatuka na safari ikaanza ya kwenda sehemu ilipo nyukmba aliyo nitafutia sikujua ni maeneo gani ila nimaeneo ambayo wanaishi matajiri kwani majumba yaliyo jengwa katika eneo hili ni makubwa sana
“Huku kunaitwaje?”
“Raskazoni”
“Ehhee huku ndio umenitafutia nyumba?”
“Ndio nimekutafutia sehemu yenye hadhi na wewe”
“Mmm shemeji kodi yake ni bei gani?”
“Kila mwezi kwa nyumba nzima ni laki mbili na nusu”
“Mmmm si nusu ya mshahara wangu”
“Haaa wewe usiwe na tabu kwani mama si yupo”
“Alafu kuna kitu nahitaji nikuulize baada ya kufika kwenye hiyo nyumba”


“Sawa”
Tukafika kwenye nyumba yenye geti kubwa Halda akapiga honi ya gari baada ya muda geti likafunguliwa na tukaingia ndani.Tukamkuta mzee mmoja mwenye kitambi kikubwa kiasi na mweusi kiasi kwamba nikaanza kumuogopa akatukaribisha kwa furaha na kuanza kututembeza ndani ya nyumaba hiyo ambayo kusema ukweli ni nzuri kwani imepangiliwa vizuri katika kila sehemu ya vyumba vyake
“Eddy huyu ndio baba mwenye nyumba”
“Nashukuru kukufahamu mzee wangu”
“Mimi pia”
Akatukabhi mkataba na kuanza kuusoma taratibu,nikakubaliana na mashati yake kwani hayau-wa yananibana sana.Tukapigiaa mahesabu ya kiasi tunacho takiwa kumlipa kwa miezi sita huku Halda akitoa pesa nyingine za miezi miwili kwani mfukoni mwangu nilikuwa ninamilioni mbili tu aliyo nipa Rahma jana usiku.Baba mwenye nyumba akaondoka sisi tukabaki nyumabni tukitembelea tembelea katika baadhi ya maeneo
“Halda ile pesa uliyo itoa umeipata wapi?”
“Alinitumia Rahma asubuhi”

“Sawa”
“Shemeji nimekubuka uliniambia unataka kuniuliza kitu?”
“Ehh nilitaka kukuuliza hivi Rahma anafanya kazi gani hadi awe na pesa kiasi hichi alafu yeye bado ni mwanafunzi?”
“Rahma ni mfanya baishara na wazazi wake walimfungulia miradi tangu akiwa mtoto mdogo na uzuri kwao wapo wawili na dada yake mmoja yupo Dubai”
“Alinigusia gusia juu ya dada yake”
“Ana dada yake ameeolewa na tajiri moja la kiarabu basi pesa kwao ni kama maji”
“Ahaaa mimi nilitaka kfahamu hilo kwani mtu unaweza ukatumia pesa za watu na mwisho wa siku ukajikuta unatakiwa kuzilipa”
“Ila shemeji Rahma ni mtu mmoja mwenye hasira sana na jana mulivyo gombana mimi ndio nilijitahidi kumtuliza hasira”
“Kwani alikasirika sana?”
“Weee muone vile vile alipandwa na hasira kiasi kwamba alikutumia watu waje kukuteka”
“Mmmm”
“Ndio ila baada ya kumbembeleza sana ndio akanielewa na akawazuia watu wake kufanya ma-tukio lolote juu yako”
“Mbona ni majanga nimepata mwanamke mbabe kiasi hichi?’
“Weee acha tuu Rahma ni bora umuibie pasa ila si mtu anaye mpenda”

“Shem unavyo zungumza hivyo jua na wewe pia ni muhusika katika wizi?”
“Kwa mimi nitajua jinsi ya kuepukana na hilo swala”
“Uta epukana nalo vipi?’
“Mimi Rahma ninamjua sana”
“Kumjua sana isiwe kigezo cha kumuibia furaha yake”
“Hapana tena shemeji nimekumbuka juu ya lile swala langu?”
Halda alizungumza huku akinisogelea taratibu na kunishika kiuno changu na kuanza kukiminya minya kiasi na kunifanya taratibu hisia zangu kuanza kupanda taratibu na kujikuta nikiaanza kusahau aliyo nieleza Halda muda mchache ulio pita.Nikamuegemeza Halda ukutani na tukaanz akunyonyana denda huku taratibu ukiwa tunavuna nguo taratiu mapaka yukabaki kama tulivyo zali.Kabla hatujaanza mechi simu yangu ikaita na kukuta Rahma ndio anapiga nikaipokea taratibu huku kidole changu kimoja kikiwa mmdomoni nikimuashiria Halda asizungumze kitu chochote
“Mambo baby”
“Safi mke wangu umesha fika?”
“Ndio ila Eddy kwanini una nisaliti?”
Moyo ukanipasuka nikajikuta mwili mzima ukianza kunitetemeka na kuanza kujiuliza imekuwaje mpaka Rahma anajua ninamsaliti na kujikuta nikipata kigugumizi cha gafla

ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts