Get the latest updates from us for free

Home » , » TANGA RAHA- Sehemu ya Nane ( 8 )

TANGA RAHA- Sehemu ya Nane ( 8 )

Written By Bigie on Monday, February 19, 2018 | 1:59:00 PM

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA

ILIPOISHIA
Simu yangu ikaanza kuita nikapiga hatua za haraka kwenda kuipokea huku nikimgonga kidogo muhudumu begani kitendo cha kuinama na kuiokota suruali yangu iliyopo chini ili kuitoa simu yangu mfukoni gafla taulo langu likafunguka na kudondoka chini huku muhudumu akibaki ananishangaa.
 
ENDELEA
  Nikashika na bumbuwazi huku nisijue ni nini nifanye huku muhudumu akiwa hakwepeshi hata jicho katika kunitazama katika kiko yangu.Nikaitoa simu na kukuta ni Rahma anaye piga.Nikaipokea huku nikiwa ninaliokota taulo taratibu
“Baby umeshaletewa chakula”
“Ndio baby”
“Ok mimi nimeshafika kwa bibi nikitaka kuja huko nitakuambia”
“Sawa mke wangu”
Nikakata simu na kumkuta muhudumu akiwa anmenata kama amedandishwa na superglue kwani hakutingishika wala kukwepesha sura yake katika taulo ambalo limeifunika koki yangu
“Hei dada…..dada”
 
    Akastuka na kwa aibu akatoka pasipo kuzungumza chochote na akaufunga mlango na nikabaki nikijifikiria ni kitu gani cha ajabu alicho kiona muhudumu mpaka akawa anashangaa kiasi cha kunifanya nimshangae.Nikala chakula ambacho kimeletwa na muhudumu kwenye chumba changu.Nikamaliza na kuvaa nguo zangu na kwenda kutembelea maeneo ya hteli hiyo yenye mandhari mazuri ya kupendeza.

Nikatafuta sehemu ya kukaa iliyopo kandokando ya swimming pool na kagizia juisi baridi na kuanza kunywa huku nikimsubiri Rahma kuja kunihukua.Nikiwa ninaendelea kunywa juisi yangu kuna wasichana wawili warembo wakaja kukaa kwenye kitanda kilichopo pembeni yangu huku wakianza kuvua nguo zao kwa ajili ya kuogelea katika swimming pool hilo
 
    Wakabaki na nguo zao za ndani na kujitosa ndani ya maji na kuanza kuogelea.Wakiwa wanaendelea kuogelea mmoja anayeonekana si mzoefu sana katika kuogelea akaanza kupiga kelele ya kuomba msaada wa kuokolewa.Nikanyanyuka haraka haraka na kuvua viatu na kuitoa wallet yangu yenye pesa pamoja na simu mfukoni na kujitosa ndani ya maji.Nikaogelea hadi katika eneo alilo kuwepo nikamsubiria maji ya mlegeze kwanza kwa sekunde kadhaa nikihofia enedapo nikimuokoa akiwa katika hali yake ya kuwa na nguvu anaweza kunizamisha na mbaya zaidi sehemu waliyopo katika swimming pool hilo kuna kina kirefu kwenda chini.

Nikamshika vizuri na kwenda naye njee na kumlaza katika ukingo wa swimming pool hilo huku nikianza kumminya minya kifuani ili atapike maji aliyo yanywa nikaanza kumpa pumzi kwa kumpulizia mdomoni kwake.Wahudumu wa kiume wa hotel wakawa tayari wameshafika katika eneo hilo na kunisaidia katika zoezi la kumtapisha msichana huyo huku mwenzake akiwa pembeni akilia
 
Baada ya muda kidogo akastuka na kila alipo kohoa akawa anayatapika maji aliyoyanjwa.Nikawaachia wahudumu wa Hoteli waendelee na hudumu nyingine zaidi.Nikarudi katika sehemu yangu niliyokuwa nimekaa nikavikuta vitu vyangu vipo katika usalama kama nilivyo viacha.Nikawa na kazi ya kusubiri nguo zangu zikauke,Yule muhudumu aliye niletea chakula chumbani akanifwata na kunisalimi
“Pole mwaya kaka yangu”
“Asante”
Akaaki kimya huku akionekana  amekosa cha kuzungumza na akabaki anajing’ata ng’ata vidole vya mikononi
“Vipi unatatizo lolote?”
“Apana kaka yangu”
“Basi chukua hii ukanywe soda”
Nikapatia elfu ishirini akazipokea ila kwa haraka haraka nikawa nimeitambua dhamira yake ni ipi.Akapiga hatua kama kumi akasimama na kurudi nilipokuwa
“Samahani kaka yangu sijui ninaweza kuipata nambaya yako ya simu?”
“Powa”
 
Nikamtajia namba yangu ya simu kisha akanibip na akaondoka kwa furaha akijumuika na wahudumu wengine waliokuwa wakishuhudia yule msichana aliye taka kuzama kayika swimming pool.Nikamuona Rahma akija kwa hatua za haraka eneo nililokaa huku akionekana kuwa na wasiwasi
“Baby upo salama?”
“Ndio mbona umekuja haraka haraka kiasi hicho?”
“Wee acha tu kuna rafiki yangu yupo hapa amenipigia simu na kuniambia umezama kwenye swimming pool yaani amenifanya mpaka hapa mapigo yangu ya moyo hayapo sawa”
“Amekudanganya kuna wasichana wawili walikuwa wakiogelea hapa mmoja akaomba msaada wa kuokolewa ndio maana na mimi nikamuokoa.Ila sikuzama”
“Pole sana mpenzi yaani bado nusu presha ipande”
“Imekuwaje huyo rafiki yako anijue wakati hujawahi kuniambia kwamba kuna rafiki yako anayatambua mahusiano kati yangu na wewe?”
 
“Hapana Sir sikutaka kukuambia kwani nilijua utakasirika ila ni rafiki yangu mmoja yu ndio nimemuamia kuwa wewe ni mpenzi wangu ila yeye amekuja huku na bwana yake”
“Rahma kuwa makini bwana isije ikafikia hatua ukasababisha nikafugwa si unajiju wewe bado ni mwanafunzi”
“Nimekuelewa Sir ila nakuomba unisamehe kwani sipendi ukasirike mpenzi wangu”
“Powa ila sitaki hii siri ivuje pale shule kwani itanigharimu sana”
   Tukachagua eneo jengine la kwenda kukaa na kuanza kuzungumza mambo mengi juu ya maisha yetu huku tukisimuliana maisha ya nyuma.Nikaanza kumsimulia Rahma historia ya maisha yangu
 
“Kusema ukweli mimi nimezaliwa katika familia ya kimasikini, mkoani Morogoro na wazazi wangu walifariki na kuniacha nikiwa na umri wa miaka kumi, huku mdogo wangu anaye fwatia ni wa kike, kipindi wazazi walipo fariki walimuacha akiwa na miaka saba.Kitu ambacho wazazi wetu walituacha nacho ni shamba la heka kumi  pamoja na kajumba kamoja ka matofali ya kuchoma.Kutokana na uroho wa mali wa ndugu upande wa baba wakatupokonya shamba la mpunga tulilo achiwa mimi na mdogo wangu na wakaliuza “
 
    Hawakuishia hapo wakatufukuza katika nyumba ambayo tulikuwa tunaishi na mdogo wangu na kutokana ni kijijini na ilikuwa ni miaka ya nyuma hatukujua ni wapi kwa kwenda kushtaki.Usiku ambao sinto usahau ni usiku wa tarehe 24 mwezi wa 12 ambapo tulikuwa tunatoka na mdogo wangu katika mkesha wa krismasi,Kutokana hatukuwa na makizi maalumu ya kuishi sisi kila sehemu kwetu ilikuwa ni kambi.

Tukiwa tunajiandaa kulala nje ya duka moja lililokuwa kijiji cha pili kutoka katika kijiji chetu ambacho ndugu wa upande wababa walitufukuza na walituambia tusionekane kabisa katika kijiji hicho la sivyo watatufanyia kitu mbaya.Sungusungu wapatao wanne walituzingira na walinishika mimi na kunifunga kamba katika miguu na mikono kisha mdogo wangu wakambaka na kumuingilia kinyume na maumbile huku wakipokezana kwa zamu na kusababisha kifo cha mdogo wangu mbele ya macho yangu.”

Sikuweza kuimalizia story ya maisha yangu na nikajikuta ninalia kama motto mdogo mbela ya Rahma huku naye kwa kunionea huruma machozi yakaanza kumdondoka taratibu huku akijaribu kuninyamazisha kwa kunibembeleza.Rahma akatumia kama dakika kumi na tano kunibembeleza hadi nikanyamaza
 
“Eddy pole sana mpenzi wangu”
“Nimepowaa ila katika maisha hiyo ni hali ya kawaida na huwakumba wanadamu wengi”
Kutokana muda ulishakwenda sana tukaondoka na kuingia katika gari na safari ya kurudi Tanga mjini ikaanza
“Baby hivi unaweza kuendesha gari?”
“Hapana siwezi kuendesha.Alafu Rahma uwe unaniita Sir Eddy kwani siku unaweza ukajisahau shule na kuniita Baby mbele ya watu ikawa ni balaa jengine”
“Sawa usijali kwahilo na siku tukipata muda nitakufundisha gari sawa mpenzi wangu”
“Nitashukuru”
“Alafu Sir kuna kitu nitakuambia pale kitakapo kamilika”
“Huwezi kuniambia wakati huu?”
“Hapana nataka nikufanyie surprise”
 
   Tukafika Tanga mjini na akanipeleka katika bustani moja inaitwa Forozani ambayo ina mjumuiko wa watu mbali mbali wanopata chakula na vinywaji huku wengine wakipiga story zao,Tukashuka kwenye gari huku nikiwa nimevalia kofia ya Rahma iliyo niziba uso ili hata kama kuna mtu anaye nifahamu isiwe ni rahisi kunitambua vizuri.

Rahma akaagizia chakula kikaletwa na muhudumu tukaanza kula.Tulipomaliza tukaingia tena kwenye gari na safari ya kwenda kwangu mtaa wa Chuda ikaanza,haikuchukua muda kufika kwangu.Rahma akalisimamisha gari sehemu ambayo alilisimamisha asubuhii nikashuka kabla hajafika simu yeke ikaita na akaonekana kustushwa na simu hiyo.

Akaipokea na kuanza kuiogea nayo kwa upole huku akitumia lugha yao ya kiarabu.Rahma akiwa anaendelea kuzungumza na simu kwa mbali nikamuona Mama Fety(Fatuma) akija katika eneo la ninapoishi hokum akiwa ameongozana na mwanamke mwengine ambaye sikuweza kumtambua mara moja kwani bado wapo mbali kidogo na nilipo simama mimi
 
  ITAENDELA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts