Get the latest updates from us for free

Home » , » TANGA RAHA- Sehemu ya Sita ( 6 )

TANGA RAHA- Sehemu ya Sita ( 6 )

Written By Bigie on Saturday, February 17, 2018 | 2:31:00 PM

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA
ILIPOISHIA

Nikanyanyuka na kwenda kuchungulia dirishani nikamuona Rahma akishuka kwenye gari la kifahari aina ya G8 VX na taratibu akaanza kupiga hatua kuja katika mlango wangu kitendo kilichozidi kunipa presh

ENDELEA
Rahma akagonga mlango taratibu nikajikuta ninaanza kujishauri juu ya kuufungua mlango huku mapigo yamoyo yakinienda mbio kama saa mbovu ya kichina inayoelekea kuisha muda wake wa matumizi.Nikajikaza na kujifuta kajasho kanacho nitoka kisha nikaufungua mlango taratibu na macho yangu yakakutana na Rahma akiwa amejiremba vizuri kama anakwenda harusini
"Karibu ndani"
"Asante baby"
Rahma akaingia huku akionekana kukichunguza chumba kwa umakini na kuzidi kuniogopesha.Nikahisi nimekanyaga kitu kwenye mguu wangu wa kushoto taratibu nikayashusha macho yangu kutazama ni nini nilicho kikanyaga.Nikajikuta nikihamaki hii ni baada ya kuikuta sidiria ya Mama Fety niliye lala naye jana usiku
 
Haraka haraka nikaisukumia chini ya sofa pasipo Rahma kuniona huku nikijitahidi kuweka tabasafu usoni mwangu ili Rahma asifahamu hofu niliyo kuwa nayo
"Sir kumependeza ndani kwako hadi raha"
"Asante mpenzi wangu karibu ukae"
Nikamshika kiuno Rahma na kumkalisha kwenye sofa kisha na mimi nikaa pembeni yake haku nikiwa ninazichezea nywele zake ndefu za kiarabu zilizo shuka hadi mgongoni huku zikiwa zimepakwa mafuta mazuri ya kunukia
"Sir yaani kila nikikuangalia najisikia hamu ya kufanya mapenzi yaani mwili mzima una nisisimka"
"Usijali mke wangu nipo kwa ajili yako"
Kwa kubabaika nikajikuta ninamuita Rahma mpenzi wangu nikasahau kuwa ni mwanafunzi wangu katika shule ninayo ifundisha
 
Rahma taratibu akaanza kuyalegeza macho yake huku vidole vyake akivisogeza katika kifua changu kilicho jaa nywele nyingi ambazo kwa mwanamke mwenye kuyajua mapenzi huwa hupata furaha anapoziona nywele hizo na.Rahma akaanza kuzichezea taratibu huku akionekana kuwa na raha ya ajabu kwa jinsi nilivyo choka wala asinge nishika kwani mpute mpute nilio upata kwa mama Fety ulinifanya kiuno na mgongo vyote kuniuma
Rahma taratibu akapanda kwenye mapaja ynagu na kunikalia tukabaki tunatazamana huku mikono yeke ikichezea nywele zangu kichwani pamoja na masikio yangu na kuufanya mwili wangu kuunza kusisimka
"Rahma umekunywa chai?"
"Ndio baby na leo nimekuja kukuchukua nikakutembeze uone jinsi Tanga ilivyo"
"Kweli?"
"Ndio baby nataka ufurahi mume wangu"
Mlango a chumbani kwangu ukagongwa hapo ndipo hofo na wasiwasi wa kama mara ya kwanza ukanijia gafla huku akili yangu ikijua kabisa ni Mama Fety aliyekwenda kunipikia chai na kudai atarudi nayo ili tunywe pamoja
 
"Sir ngoja nikafungue mlango"
Rahma akanyanyuka haraka na kuniacha mapigo ya moyo yakizidi kunienda mbio huku nikiziesabu hatua zake kwa jinsi anavyo kwenda kuuufungua mlanago.Rahma akashika kitasa na kuufumgua mlango taratibu kwa jinsi alivyo kaa kimya kwa sekunde kazaa huku akitazamana na mtu aliye mfungulia mlango huku mimi mapigo yangu ya moyo nikahisi yanadundia kwenye mgongo kwani hata muelekea wake ulibadilika gafla
"Nikusaidie nini?"
Sauti ya Rahma ikapenya vizuri kwenye masikio yangu huku nikiisubiria kuisikia sauti ya Mama Fety ambaye kwa mtazamo wa haraka haraka anapenda ugomvi na anaoneka ni mwanamke mwenye roho ya kwanini
 
"Nimemkuta Sir Eddy?"
Nikashusha pumzi yangu taratibu huku nikijitahidi mapigo yangu ya moyo kurudi katika hali yakawaida hii ni baada ya kuisikia sauti ya Jumaa mtoto wa mama Fety
"Ndio yupo,Sir unamgeni wako"
Rahma alizungumza na kurudi kwenye kochi na mimi kwenda mlangoni kumsikiliza Jumaa.Nikamkuta amebeba mfuko mweusi ndani ukiwa na chupa kubwa ya chai pamoja na Hotport la wastani
"Shikamoo Sir"
"Marahaba vipi haujambo?"
"Sijambo mama mdogo ameniagiza nikuletee huu mzigo wako"
"Asante mdogo wangu"
"Eti anasema ukimaliza kunywa chai atakuja kuchukua vyomba"
"Sawa mwambie asante eheee"
Nikaufunga mlango huku nikijiuliza maswala mengi juu ya mzigo niliopewa
 
"Vimetoka wapi hivyo vitu?"
"Kuna mama ntilie mmoja niliagizia aniletee chai"
"Sir Eddy sipendi unywe mivyakula inayopikwa huko mtaani.Vaa twende zetu nikakupeleke kule ninapo hitaji nikupeleke"
Nikaingia bafuni nikaoga kisha nikarudi nikakuta Rahma ameniandalia nguo za kuvaa.Safari ya kwenda nisipo pajua ikaanza na leo kwangu ni kama ndoto kupanda gari la kifahari kama hilo ambalo siku zote nilizoeea kuwaona wakuu wa serikali haswa wale wakuu wa mikoa na wilaya wakiendeshwa kwenye magari kama hayo.Tukafika kwenye Hoteli kuwa ya kifahari yenye maandishi makubwa yanayosomeka 'E & BLUE HOTE'L iliyopo pembezoni mwa fukwe za bahari.Tukaingia kwenye lango kuu la Hotel hiyo kisha tukaenda kukaa kwenye moja ya meza iliyo jificha na imezungukwa na maua mazuri
Tukaagizia kifungua kinywa baada ya muda mugudumu akatuletea tulicho muagizia,Tukuwa katikati ya kula gafla Rahma akainama chini ya meza baada ya kuwaona wanaume wawili wenye asili ya kiarabu wakipita katika eneo tulilopo huku wakionekana kumtafuta mtu

  ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts