Home » , » AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 35 na 36 )

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 35 na 36 )

Written By Bigie on Sunday, March 11, 2018 | 12:07:00 PM

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA 
ILIPOISHIA     

Nilizungumza hivyo huku nikishusha pumzi nyingi kwani ninahitaji kwenda kumtoa raisi kwenye gari aliloipo na kuondoka naye. Biyanka akaanza kufyatua risasi mfululizo, na kuwafanya washambuliaji kutulia kidogo, ikawa nafasi kwangu kukimbia hadi gari la raisi lilipo, kwa ishara nikamuomba afungue mlango wa gari lake kwa manaa pasipo yeye kuufungua kwa ndani mimi wa nje siwezi kuufungu. Raisi akafanya hivyo, japo ni jambo la hatari ila hakuna njia nyingine ya kufanya zaidi ya kufanya hivyo. Raisi akashuka huku kichwa akiwa amekiinamisha chini, nikaupitisha mkono wangu wa kulia kiunoni mwake, kitendo cha kugeuka na kumtazama K2 aliyopo upende wetu nyuma ya gari la raisi, nikakutana na uso wa bastola yake akiwa ameninyooshea mimi na raisi huku sura yake akiwa ameikunja akidhamiria kufanya hicho anacho kihitaji kukifanya kwa wakati huu.
       
ENDELEA   
K2 pasipo na huruma akafyatua risasi moja iliyo nifanya kuyafumba macho yangu nikiamini kabisa ninakufa kwa mkono wa K2. Ila sekunde kadhaa zikapita nikafumbua macho baada ya kuwana hakuna kitu ambacho kimetokea kwa upande wangu. Nikamtazama raisi na kumkuta akiwa yupo hai, nikamtazama K2 nikakakuta akiendelea kupambana na wavamizi hawa, nikatazama nyuma yangu, kwa umbali kidogo nikamuona mvamizi mmoja aliye valia nguo nyeusi na kinyago cheusi usoni mwake akiwa amelalal chini anamwagika damu za kichwa. 

Hapo ndipo nikaielewa lengo la K2, kuninyooshea bastola yake kwani ameyaokoa maisha yangu na kama sio hivyo basi ningekuwa nimesha kufa. Nikaongozona na raisi kwa mwendo wa haraka hadi kwenye gari letu. Raisi huyu ambaye ni feki na watu hawafahamu kwamba ni feki, akaingia kwenye gari nikamfungia mlango wa ndani. Tukaendelea kujibu mashabulizi huku kila mmoja jasho likimwagika kisawa sawa. Nikamuona K2 anaanza kupiga sarakasi za haraka hadi kwenye gari tulipo jificha mimi, raisi na Babyanka.
 
“Inabidi tuondoke hapa sasa hivi, watu wangu wote wamesha kufa”
K2 alizungumza huku akigema sana, kwani shuhuli tunayo ifanya sasa hivi sio ndogo, ni kufa na kupona pasipo kufanya hivyo basi maisha yetu yanakwenda kufa. Sote tukaingia kwenye gari huku nikijirusha kwenye siti ya dereva, kwa haraka haraka nikaanza kulirudisha gari nyuma huku risasi zikiendelea kurindima, kulifwata gari letu, cha kumshukuru Mungu gari yetu haiingii risasi na hii ndio pona pona yetu la sivyo miili yetu ingejaa risasi kutoka kwa wavamizi hawa. Nilaligeuza gari kwa kasi hiyo hiyo na likageukia kule tulipo tokea. 

Nikakanyaga mafuta na kuanza kurudi tulipo tokea, ndani ya gari kila mtu akawa kimya nikamtazama raisi huyu feki nikamuona jinsi anavyo endelea kutemeka kwa woga. Tukiwa njiani tukapishana na gari za jeshi zikielekea eneo la tukio. Nikafika kwenye barabara ya bagamoyo inayo elekea Dar es Salaam, nikakunja kulia kwangu na kuendelea kuendesha kwa mwendo wa kasi japo nyuma yetu hakuna gari hata moja ambayo inatufukuzia. 
 
    Masaa yakazidi kwenda mbio, hadi inatimu saa saba na nusu tukawa tumesha ingia jijini Dar es Salaam. Moja kwa moja tukaelekea ikulu, ambapo tukakuta pameimarishwa ulinzi mara dufu. Geti likafunguliwa baada ya askari kufika karibu ya gari letu, alipo muona raisi alituruhusu. Moja kwa moja nikaelekea kwenye maegesho ya gari za raisi. Tukashuka huku walinzi wengine wanne wakifika, karibu yetu nina imani taarifa ya kushambuliwa kwa msafara wa raisi ilisha tolewa ikulu. Moja kwa moja tukaelekea ndani na kumkuta raisi mwenyewe akiwa amesimama sebleni pamoja na viongozi wengine wakionekana wakiwa katika hali ya wasiwasi. K2 akastuka baada ya kumuona raisi halisi, aliye tufwata na kutupa mikono mimi na Babyanka.
 
“Hongereni sana vijana kwa kazi mulio ifanya”
“Asante muheshimiwa ni jukumu  letu”
“Pole bwana mdogo kwa kukuweka katika hali ya hatari”
“Ahaa kaka wewe acha tuu, wapo wapi wale madaktari wa kichina wanivue hii sura yako”
“Wapo watakuvuaa”
Raisi feki akaondoka na kuelekea katika vyumba vingine vilivyopo hapa ikulu na kutuacha na muheshimiwa raisi.
“Huyo ni mdogo wangu anaye nifwata mimi”
Raisi alizungumza huku akitutazama sisi, akatukaribisha na kukaa kwenye sofa za hapa sebleni, akawaomba viongozi wengine kuondoka akiwemo K2 ambaye hakujua ni mazungumzo gani muhimu ambayo mimi niliye chini yake nimebaki.
 
Baada ya mlango wa kutokea sebleni kufungwa raisi akashusha pumzi nyingi huku akitutazama kwenye nyuso zetu.
“Kimtazamo munaonekana kwamba mumechoka sana na pilika pilika za hapa na pale”
“Ndio muheshimiwa”
“Musijali nitawapa muda wa kupumzi. Ila kitu kikubwa ambacho ninahitaki kuweza kuaagiza, ninahitaji sana muweze kufwatilia ni nani aliyopo nyuma ya mpango wa kutaka kuniangamiza. Hawa magaidi ambao wanajairibu kumshika paka sharubu, basi nilazima niwakate viganja vyao hata kabla hawajanifikia mimi. Laiti kama nikishindwa kufanya hivyo basi musiniite raisi.”
Raisi alizungumza kwa msisitizo wa hali ya juu.
“Nawahakikishia kwamba nitawalinda na kuwapatia kila kitu ambacho mutakihitaji kutoka kwangu ila kitu ninacho kihitaji ni kuweza kuwaangamiza haya magaidi, mafisadi”
 
“Sawa mkuu ila kama mimi nipo katika kitengo cha NSS”
“Usijali wewe baki katika kitengo chako ila hakikisha kwamba kazi nilyo kupatia unaweza kuifanya kikamilifu. Huyu Babyanka hapa huwa nikimpatia kazi hakuna kitu kinacho haribika”
“Usijali muheshimiwa nitafanya kila liwezekanalo kuhakikisha kwamba unakuwa salama”
“Wewe unaishi wapi?”
“Sinza kwa Remy nimepangisha chumba kimoja”
“Ohoo basi kuanzia kesho utapewa nyumba yako maeneo ya masaki utoke huko unapo ishi”
“Asanyte sana mkuu”
“Na zile gari mbili, nimewapa kama zawadi Babyanka utachukua moja na wewe Dany utachukua nyingine”
“Shukrani sana mkuu”
“Nawe Babyanka nyumba yako itakuwa Mbezi beach, nimewapa zawadi hizo ili muifanye kazi yangu kwa juhudi na umakini wa hali ya juu”
“Shukrani sana muheshimiwa”
“Ningewafanyia sherehe ila hali ya usalama hairuhusu, ukicheki kuna wezenu wamefariki kwenye shambulizi hilo. Kesho nitawapigia simu asubuhi, mutakuja kuchukuliwa katika sehemu mulizopo kila mtu akaonyeshwe nyumba yake”
 
“Asante sana mkuu”
Kusema kweli maisha yetu mimi na Babyanka yamebadilika katika muda mchache tu sikutegemea kupewa nyumba na gari zuri la kutembele na muheshimiwa raisi. Tukaagana na raisi huku tukitoka nje, nyuso zetu zikiwa zimejawa na furaha sana.
“Sasa leo wapi?”
“Naenda kwangu Sinza nikalale hadi nichoke mwenywe”
“Mimi naelekea kwa nyumbani kwa wazai”
“Poa tutawasiliana”
“Simu hatuna tutawasiliana vipi?”
“Kesho tutakapo chukuliwa tutaweza kuwasiliana”
Tukagongesheana tano na Babyanka kisha kila mmoja akaingia kwenye gari maalumu ambalo limeandaliwa kutupeleka makwetu. Kabla gari nililo panda halijaondoka, dirisha la mlango wa nyuma nilipo kaa, likagongwa kidogo, nikageza chichwa na kumkuta ni K2. Tartaibu nikashusha kioo cha dirisha langu na kumtazama kwa macho ya dharau kidogo japo aliyaokoa maisha yangu ila bifu la mapenzi lipo pale pale.
“Nahitaji kuzungumza na wewe”
“Nitafute kesho tutazungumza”
“Ni amri shuka ndani ya gari na uzungumze nami”
Nikamtazama K2, kisha taratibu nikafungua mlango na kushuka kwenye gari, tukasogea pembeni mbali kidogo na sehemu lilipo gari.
 
“Mumezungumza nini na raisi?”
“Umeshindwa kwenda kumuuliza?”
“Hilo sio jibu”
“Basi nenda kamuulize raisi kwamba alizungumza nini kwetu”
“Dany, jeuri yako itakuponza usione kukaa karibu na raisi ukaona ndio maisha umeyashinda, kumbuka kwamba wewe ni mtoto wa juzi tu na kwenye kazi nimekupokeaa mimi mwenyewe”
“Ehee, sasa hayo yote yametokea, wapi au ni kwasababu ya wivu wa mapenzi. Nisikilize K2 ibaki mimi kuwa kama mfanyakazi wako kwenye kitengo chako, na swala la mapenzi hembu jaribu kulifuta kabisa kichwani mwako, mimi sio Dany yule ambaye ulimfikiria sawa”
“Na kitu kingine cha kumalizia, kaa na familia yako na uitunze, acha kuhangaika na vijana wadogo maradhi yapo mengi sawa…….?”
Nilipo maliza kuzungumza maneno hayo nikaondoka na kumuacha K2 machozi yakimlenga lenga, nikaingia kwenye gari na kumuomba dereva tuondoke. Njia nzima nikawa nawaza ni jinsi gani ninaweza kuingia katika nyumba hiyo mpya. Nikamuelekeza dereva hadi nyumbani kwangu nikashuka huku nikiwa nimejichokea begi langu la nguo nikiwa nimelishika mkono wa kulia.
“Kaka nimeambiwa kesho nije kukuchukua”
“Saa ngapi?”
 
“Saa nne asubuhi”
“Basi wewe ukija kesho njoo uniulizie hapa”
“Sawa”
Dereva akaondoka na mimi nikapiga hatua hadi getini, nikalisukuma geti taratibu na likafunguka, ukimya wa nyumba yetu haukunitisha sana kwa maana ni kawaida kwa nyuma hii kuwa kimya. Nikapandisha ngazi na kuingia kwenye mlango wa kuingilia ndani. Nikakutana na Asma akifungua mlango wa chumbani kwake huku akiwa amevalia kanga moja iliiyo shika mwili wake vizuri, na kunifanya niweze kuyaona maungo yake ya ndani vizuri hususani kalio lake lililo jazia.
“Ohoo Dany mambo vipi?”
“Safi za hapa”
“Kwema”
“Mbona nyumba kimya hivi?”
“Ahaa wamekwenda kwenye harusi, ndio maana kupo kimya”
Asma alizungumza huku akiwa amejiachia hakujali kama kanga hiyo imemshika kwenye mwili wake kisawa sawa.
“Haya mwaya nimerudi”
“Unasafiri kimya kimya hata kutujulisha jamani?”
“Ahaa usijali, nimerudi, kuna lipi jingine jipya?”
“Jipya labda ni movie tu si unajua mimi ni mama wa movie za kikorea”
 
“Ahaa una movie fulani hivi ya kikorea inaitwa SPY?”
“Yaa hiyo ninayo, ipo iliyo tafsiriwa”
“Basi naiomba”
“Powa ngoja nikutafutie”
“Poa mimi nipo chumbani kwangu”
Nikaachana na Asma na kwenda chumbani kwangu, nikatoa funguo kwenye begi langu na kuingia ndani, chumba changu nikakikuta kama nilivyo kiacha kwa uchovu nikavua nguo zangu huku bastola zangu nne nikiziweka kabatini kwangu katikati ya nguo, nikachukua taulo langu na moja kwa moja nikaelekea bafuni kuoga. Viongo vya mwilini mwangu vyote vimechoka kwa pilika pilika nilizo kutana nazo, nikamaliza kuoga na kutoka bafuni, nikaelekea chumbani kwangu, kitendo cha kufungua taulo nililo jifunga kiuoni mwangu nikasikia hodi mlangoni mwangu, nikatambua moja kwa moja ni Asma. Nikajifunga taulo vizuri na kuufungua mlango na kumkuta akiwa ameshika kava la filamu ya kikorea.
 
“Ile Dany wala sijaiona kabisa ila kuna hii nimeinunua jana, kwangu naona stablaizer yangu inazingua, hadi Tv haiwaki”
“Ahaaa”
“Kama hutojali lakini ninaomba nije kuitazama huku kwako”
“Mumeo?”
“Amesafiri tangu jana, anaelekea Malawi”
“Ok karibu”
Nikamkaribisha Asma, akaingia chumbani kwangu huku mwilini mwake akiwa amevalia dera lililo mbana mwili wake na kuyafanya makalio yake kutingishika. Nikaufunga mlango kwa ndani, na moja kwa moja nikaichukua CD  hiyo ambayo nimekuta ina picha nyingine tofauti ya wazungu huku ikiwa imendikwa Break Point.
“Hii ni filamu au series?”
“Ni Series ya kizungu, nimeipenda kama nini”
“Ina husiana na nini?”
“Na maswala ya upelelezi”
Kutoana mimi mwenyewe ni mpelelezi nikajikuta nikianza kuitamani kuitazama filamu hii. Saa ya ukutani inaonyesha ni saa kumi na mbili kasoro. Baada ya kuiweka cd kwenye daki nikarudi kitandani na kukaa huku Asma akiwa amekaa kwenye sofa na miguu yake ameiweka juu ya sofa. 
 
Mwanzo wa tamthilia hii inaonyesha jinsi wanajeshi wa kiingereza wanavyo kwenda kumuokoa mwenzao aliye kamatwa na magaidi wa Al-Shabab.
“Kuna vinjwaji humo kwenye friji fungua uchukue”
“Sawa”
Asma akashusha miguu yake kwenye sofa na kusimama kisha akapiga hatua hadi kwenye friji langu ambalo ni dogo kiasi, akafungua na kutoa soda moja ya kopo.
“Nitolee na mimi”
Asma akanitole soda moja na kunirushia kitandani, dakika zikzidi kusonga mbele huku tukiwa tunazifwatili tamthilia hii kwa umakini huku sote tukiwa kimya, ikafika sehemu moja, muhusika mkuu wa filamu hii akawa anashiriki mapenzi na mke wake na kila kitu kinaonekana live bila chenga. Nikamuona jinsi Asma akiupeleka mkono wake wa kushoto kwenye kitumbua chake japo upo juu ya dera ila nikaona jinsi anavyo kisugua taratibu huku macho yote yakiwa katika Tv yangu.

                       AISIIIII……….U KILL ME 36

“Vipi mbona mkono huko”
Nilizungumza huku nikimtazama Asma, akautoa haraka mkono wake kwenye kitumbua chake huku akitabasamu.
“Mmmm hakuna”
“Naona wazungu wamekupagawisha?”
“Yaaani weee acha tu”
 
“Ila shemeji akirudi si atakupa mambo matamu kama wanayo peana hao jamaa hapo”
“Mmmm kuna mtu pale, ni kuchezeana tu”
“Sijakuelewa”
“Ahaa Dany tuyaache bwana hayo”
Maneno ya Asma yakajenga maswali kadhaa kichwani mwangu, nikaendelea kumtazama kwa mara kadhaa akawa ananitazama kwa macho ya kuiba iba. Hadi inatimu saa moja usiku hatukuzungumza kitu chochote zaidi ya kutazama tamthilia hii ya kimarekani ambayo imejaa mambo mengi ya chumbani. Jogoo wangu kwa mara kadhaa akawa anasimama, na kuifanya sehemu ya juu ya taulo alipo jogoo wangu kusimama kisawa sawa. Hata kinywaji ambacho ninakinywa sikukisikia ladha yake, nikatamani kumuomba kitumbua Asma, ila anavyo onekana sio mtu wa masihara kabisa na nimtu anaye mpenda mumewe japo alinimbia kwamba anachezewa. Nikanyanyuka kwenye kitanda taratibu, nikapiga hatua hadi kwenye sofa na kukaa pembeni ya Asma aliye nitazama kwa macho ya kuiba kisha akayarudisha kwenye Luninga.
 
“Asma”
“Mmmm”
“Ulisema shemeji anakuchezea?”
“Ahaa Dany huwa sipendi kuyazungumzia mambo ya chumbani kwangu”
“Noo nimekuuliza hivyo nikiwa nina maana yangu”
“Maana gani Dany?”
“Kama hotojali naweza ku……”
Nikanyamaza huku mkono wangu nikiuweka kwenye paja la Asma, akautoa taratibu huku akiendelea kutizama luninga. Nikauweka tena safari hii nikiwa ninaliminya taratibu paja lake. Asma akajaribu kuutoa ila kwa haraka mdomo wangu nikawahi shingo nimwake na kuanza kuinyonya shingo yake.
“Ohoo jamani Dany mi……mi sitaki banaaaa”
 
Asma alizungumza kwa sauti ya kudeka, ambayo tayari nikajua maana ya sitaki yake. Nikaendelea kumnyonya shingo yake huku mkono wangu ukindelea kulishika paja lake lililo nona kisawa sawa. Taratibu nikaupeleka mdomo wangu hadi kwenye lipsi zake za modomo, hakuukataa mdomo wangu akaupokea kwa utaratibu na hisia kali. Hapo ndipo safari ya kuanza kunyonyana na kuchezeana miili yetu kwa kasi ilipo anza. Pumzi nzito pamoja na vilio vya taratibu vikanifanya nizidi kupandisha mzuka wa kutaka kumla Asma mke wa mpangaji mwenzangu.
Nikamvua Asma dera lake ndani nikamkuta na kijichupi kidogo aina ya bikini ambacho kimeziba kitumbua chake tu huku kimstari kidogo kikiwa kimezama katikati ya kalio lake kiasi kwamba hakionekani kabisa.
“Dany ila usimwambie mtu”
Asma alizungumza huku mkono wake wa kushoto ukiwa umemshika jogoo wangu, nikamjibu kwa kutingisha kichwa nikimaanisha kwamba sinto muambia mtu yoyote. Asma akakaa kitako kwenye sofa huku mimi nikiwa nimesimama mbele yake, akaanza kumyonya jogoo wangu taratibu. Asma ana utaalamu ambao wanawake wote nilio kutana nao hawana utalamu kama huu wa kunyonya jogoo wangu ambaye amesimama vizuri. 
 
Asma akaendelea kumnyonya jogoo wangu huku mkono wake wa kulia ukiwa na kazi ya kusugua kisimi chake. Nilipo tosheka kunyonywa jogoo wangu, nikamlaza kwenye sofa huku miguu yake akiitanua. Nikaanza kumnyonya kitumbua chake, vilio vya Asma vikanifanya hadi niongeze sauti ya redio ambayo inatokea kwenye Luninga yangu.
“Dany nipe, nipe mpenzi”
Nikamuweka vizuri, kisha taratibu jogoo wangu akaanza kazi ya kula kitumbu cha Asma. Mauno niliyo kutana nayo kwa Asma ni kama mauno  aliyo nipa Lissa kipindi nipo Tanga, japo Asma ni mnene kiasi ana amejaliwa maungo makubwa hususani mapaja na makalio ila ni mwepesi kwenye swala la kukata kiuno. Kazi ya kummiliki Asma haikuwa ndogo, kwani inahitaji umakini pamoja na juhudi kubwa sana, japo nimechoka kwa heka heka za kazi yangu ila uchovu wangu wote umekimbia mbele ya Asma.
 
   Nikamnyanyua huku jogoo wangu akiwa ndani, miguu yake akaipitisha miunoni mwangu, huku mikono yake ikiwa imeshika mabegani mwangu na mimi mikono yangu ikishikilia kiuno chake chembaba vizuri na kwaumakini nisimuangushe. Nguvu zangu nilizo nazo zikanisaidia sana katika kuuhiili uzito wa Asma. Miguu nayo haikutetereka, mechi ikazidi kunogoa, Asma akinionyesha kwamba yeye anajua mambo haya.
“Mamaaeee wewe mtoto ni kabila gani”
“Mngoni”
“Duuu ndio munavyo fundishwa hivi?”
“Hamna”
Asma alizungumza huku akizidi kukata mauno yake huku mimi nikiwa nimesimama. Nguvu zilivyo anza kupungua, tukahamia kitandani, hapo Asma akaniomba nilale kisha yeye akamkalia jogoo wangu, akaichukua mikono yangu na kuishikisha katika kifua chake kilicho jaa maziwa mazuri yaliyo jaa jaa. Akaanza kukata mauno, nikatamani kutoa ahadi kwamba nitamuoa ila nikashindwa kuzungumza hivyo kwani ni mke wa mtu na wala sikufahamu wamekutania wapi na Jumaa.
 
“Danyyyyyyyy”
“Mmmmmm”
“Mb***……Mb*** yako tamu jamaniiii uwiiiiiiiiii”
“Kweli?”
“Yeahaaa  aiiiissssiii you kill meeee honey”
Asma akazidi kutoa vilio vya mahaba akizidi kukata mauno yake, mikono yake akiwa ameiweka kifuani mwangu. Nikamshika kiuno chake, nikamlaza kifua chake kifuani mwangu na mimi nikaanza kuonyesha maujuzi yangu ya kula kitumbua chake. Hapo ndipo mfanya Asma kutoa miguno mingi ya raha.
“Hapo….hapoo Danyyyy yeaaah gusa kizazi baba gusaaaa”
Sifa za Asma zikazidi kunivimbisha kichwa mwanaume, nikazidi kula kitumbua kwa kasi ya ajabu, nilipo ona waarabu weupe wanataka kuniletea uhuni wa kutoka, nikamlaza chini Asma, nikamgeuza na kumlaza kifudifudi na taratibu jogoo karudi kwenye kitumbua kuendelea kukitafutana.
Asma akazidi kupagawa, kuino akazidi kukikata huku akitamani mechi isiishe sasa. Kwa mara zaidi ya saba nilimsikia Asma akisema kwamba anafika kileleni mwa mlima Kilimanjaro.
“Nakuja Asma”
“Njoo tu Dany unipe mtoto”
“Mtoto!!!?”
 
“Nooo njoo tu honey”
Kutokana mwenyewe nipo kwenye hali ya utamu na burudani nikajikuta nikiongeza kasi na waarabu weupe nilio wazuri kwa muda mrefu wasitoke wakatoka kwa kasi ya ajabu na kuazama kwneye kitumbua cha Asma, nikahakikisha kwamba wote wameisha, taratibu nikajichomoa kwenye kitumbua cha Asma na kulala pembeni huku nikihema, jasho likinimwagika.
Taratibu Asma akajivuta huku akiwa amelele kifudifudi, akajilaza kifuani mwangu huku naye akihema, akatoa tabasamu pana usoni mwake akanibusu mdomoni mwangu na taratibu akanifuta jasho kwa kiganja cha mkono wake wa kulia.
“Pole baba yangu”
“Asante na wewe pole?”
“Pole ya nini Dany, wakati nime enjoy hadi najisikia mwepesi kupindukia”
“Kweli?”
“Yaaa, yaani nimekaa miaka mitatu katika ndoa bubu, sikuwahi kumsaliti Jumaa, ila leo kwa mara ya kwanza nimemsaliti na nimekutana na msaliti anaye jiweza asieee”
“Mmmm”
“Usigune Dany, yaani Jumaa siku zote ana kazi ya kunigusa gusa kisha anachoka, muda mwingi huwa najichua na maji ya moto kukata hamu yangu. Ila leo wewe umenikojolesha siamini”
 
“Kwani Jumaa hakuwa kukukojolesha?”
“Ahaa yaani Dany ninavyo kuambia kwamba ananigusa gusa uamnini ni kweli, hakuwahi hata siku moja kunikojolesha mwanaume yule, alafu anawivu wa kiseng** hadi anakera”
“Kwani umempendea nini Jumaa?”
“Ahaa unahisi nampenda, mtu akiniona anaweza kusema ninampenda ila naishi kwake kwa ajili ya maisha tu, sina pa kwenda Dar es Salaam hapa, nikimuomba pesa nianzishe hata kajimradi kadogo hataki anakuwa mbogo na siku nyingine ananishushia kipigo, yaani wee acha”
“Tangu nimkunje siku ile anakupiga?”
“Juzi tu nimepigwa, yaani nimeyachoka maisha haya”
Nikaa kimya huku nikimtazama Asma usoni mwake, uzuri wake kusema kweli haustahili hata kuguswa na kofi ila mwanaume alie kuwa naye ndio matatizo matupu.
“Dany hivi yule mwana mama anaye kuja hapa kwako ni mpenzi wako?”
 
“Hapana ni bosi wangu”
“Ahaaa nilijua ni mpenzi wako, ila Dany unaonekana hupendi maswala ya wanawake ehee?”
Laiti Asma angenijua mimi vizuri nahisi hata asinge zungumza maneno haya ya kunisifai, nikatabasamu huku nikimtazama usoni mwake.
“Kwa nini unaseme hivyo?”
“Kwa maana tangu nikujue ni mwaka wa pili sasa nashinda hapa nyumbani sijawahi kumuona mwanamke hata mmoja akija chumbani kwako zaidi ya yule mamana mama ambaye umeniambia ni bosi wako”
“Ni kweli sipendi bado natafuta mwanamke wa kumuweka ndani, si unajua wanawake wa hapa Dar tabu tupu”
“Ni kweli Dany, ila laiti huyu Jumaa angekuwa ana upendo wa dhati, ningempa moyo wote kama mara ya kwanza, ila kadri siku alivyo kuwa akinitandika makonde ndivyo jinsi nilivyo kuwa nikimchukia, hadi sasa hivi moyoni mwangu hayupo kabisa”
 
“Duu pole sana kama huto jail nitakuchukua”
“Utanichukua?”
“Ndio nitakuchukua na kwenda kuishi na wewe mbali”
Nilijikuta nikiropoka maneno hayo huku wivu wa mapenzi ukianza kunijaa kichwani mwangu, sikutaka kuamini kwamba penzi la Asma limenipagawisha hadi na ninajikuta ninatoa maamuzi kwa kukurupuka tu.
“Dany si nitakuweka katatizoni kwa maana huyu Jumaa ni mtu mbaya sana”
“Mbaya sana?”
“Ndio, ila Danya nakuambia hivi nakuomba usimwambie mtu hii ni siri na laiti Jumaa akifahamu kwamba nimeitoa nje basi ataniua, ndio maana nashindwa kuondoka nyumbani kwake”
Nikajikuta nikimsogeza Asma kifuani kwangu na kukaa kitandani vizuri na yeye akaka karibu yangu huku akinitazama.
 
“Siri gani hiyo?”
Nilizungumza kwa sauti ya chini huku nikimtazama Asma usoni kwa umakini, akanitazama kwa sekunde kadhaa kisha akazungumza.
“Jumaa ni jambazi na wala sio dereva magari makubwa”
“Weeeee……!!!”
“Haki ya Mungu nakuapia, tena yupo kwenye kikosi kimoja hivi sijui kinaitwaje, kazi yao wanapewa kazi na mabosi kisha wanakwenda kufanya hiyo kazi hata kama ni ya mauaji”
“Wewe umejuje?”
“Ananiambiaga yeye mwenyewe pale anapo karibia kumwaga shahaw** tukiwa kwenye mechi”
“Kwa hiyo siku zote unaishi naye kumbe ni jambazi?”
“Ndio ni jambazi tena jambazi wa kutupa, siku ile sikujua ni kwanini uliweza kumpiga, kirahisi vile, ila Jumaa ni mbaya sana kwenye mambo ya kupigana”
 
Nilijihisi nguvu za mwili wangu kuniisha, kwani tangu niamie kwenye nyumba hii miaka miwili iliyo pita, Jumaa ninamchukulia kama mtu wa kawaida sana na wiki kadhaa zilizo pita nilipo mpiga ndivyo nilivyo zidi kumuona ni mnyonge.
“Dany nakuomba usimwambie mtu hii siri, Jumaa akijua ataniua”
“Nataka nikutoroshe hapa?”
“Dany unajiamini nini?”
“Nataka ufanye hivyo, nataka kwenda kuishi mbali na wewe”
“Dany Dany, Jumaa akifahamu mimi na wewe maisha yetu ndio yatakuwa ni mwisho wake”
“Hakuna kitu kama hivyo, ninacho hitaji kukuomba sasa hivi, nenda chumbani kwako kakusanye kila kilicho chako kisha uvilete huku chumbani kwangu”
Asma akakaa kimya kwa sekunde kadhaa huku akinitazama usoni mwangu, akatamani kuzungumza jambo ila akanyamaza akayafumba macho yake, kisha akayafumbua, akanitazama usoni mwangu.
 
“Dany nakuamini, nafanya yote kwa sababu nilisha kupenda tangu siku ulipo niokoa mikononi mwa Jumaa asinichome kisu, na ninazidi kukupenda kadri siku zinavyo zidi kwenda, nakuomba nilifanye hili ukiniangusha basi tambua damu yangu itakuwa juu yako Dany”
“Siwezi kukuangusha fanya hivyo sasa”
Asma alipo ona sura yangu inamaanisha kwa kile ninacho kizungumza, akashuka kitandani akachukua dera lake kwenye kochina kulivaa, wala kwa ndani hakuvaa chupi yake, akafungua mlango kwa umakini, akachungulia kwenye kordo kisha akatoka. Nikashuka kitandani huku nikiwa na mawazo mengi sana.
‘Mpelelezi na jambazi wameishi nyumba moja pasipo kujuana, hii kali’
Nilizungumza huku nikiwa ninatabasamu. Zikapita kama dakika ishirini, mlango ukafunguliwa na Asma akaingia akiwa na begi lake kubwa la nguo, pamoja na mabegi ya mkononi mwawili.
 
“Umechukua kila kitu?”
“Ndio ila kuna hii karatasi hapa ina namba ya huyo bosi wao wa majambazi, pamoja na namba nyingine za wezake Jumaa.”
“Hembu nipatie”
Asma akanipatia karatasi hiyo iliyo kunjwa vizuri, nikaikunjua na kutazama namba za simu zilizo andikwa humo hususani namba ya huyo bosi wa Jumaa, sikuamini macho yangu kuikuta nama ya K2 ambayo ninaifahamu vizuri hata kama nikiwa sina simu. Nikahisi sio yenyewe labda nimekosea, nikamuomba simu Asma, akanikabidhi, nikajaribu kuingia katika upande wa kutuma pesa wa Tigo pesa, nikaiingiza namba hiyo ya simu na kiasi ninacho hitaji kutuma, yakatokea maandishi kutoka katika hudumu hii yanayo someka ‘Ingiza namba yako ya siri kutuma pesa kwa K2 kiasi ni shilingi elfu kumi’. Nikajihisi nguvu zikiniishia huku taratibu nikikaa kwenye sofa, huku mapigo ya moyo yakianza yakinienda kasi sana.
                                                                                          ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts