Home » , » AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 41 na 42 )

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 41 na 42 )

Written By Bigie on Wednesday, March 14, 2018 | 3:58:00 PM

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA
ILIPOISHIA   
Rafiki yangu mmoja akagundua lugha yangu ya ukimya, taratibu akaanza kunisogelea na kukaa karibu yangu. Nikaitoa simu na kuiweka mezani, hata kabla ya huyu rafiki yangu kuishika simu ikaita na kujikuta sote wawili tukiitazama. Nikaipokea na kuongeza sauti ya kusikia hata aliyopo pembeni yangu anaweza kusikia kinachozungumza na mtu wa upande wa pili.
“Dany muda umeisha, nipo ripoti”   
“Sijafahamu alipo?”
“Ohoo ujinga wako ndio umekufanya usifahamu alipo Asma, basi ngoja nimtangulize Rose kuzimu”
Nikasikia mlio wa Risasi, na kuisikia sauti ya Diana akilia kwa uchungu.
“Kaka Dany….wame…muuaaa wifiiiii”
Nikaisikia sauti ya Diana akizungumza huku analia kwa uchungu sana, nikajikuta machozi yakinimwagika, hadi Khalid aliye kaa pembeni yangu akajawa na huzuni kubwa usoni mwake.

ENDELEA
Watu wote ndani ya ofisi wakatugeukia na kututazama mimi na Khalid, naamini ukimya wao waliweza kusikia mlio wa risasi katika simu yangu na sauti ya msichana akilia.
“Dan……”
Khalid akamkatisha Yohana kwa ishara ya mkono na kumuambia anyamaze na asizungumze chochote.
“Nakupa lisaa jengine mbele ukifanya mchezo, huyu mdogo wako naye anaondoka duniani”
 
Simu ikakatwa na kujikuta nikishusha pumzi nyingi nikiwa sifahamu nifanye nini kwa wakati huu. Marafiki zangu hawa wakajisogeza karibu yetu huku kila mmoja akihitaji kuweza kufahamu. Khalid akaanza kuzungumza kwa lugha ya vitendo na kuwaelezea tukio zima na kwamba simu hii hapa mezani ina vinasa sauti maalumu ambavyo tukizungumza tu basi majambazi walio mshikilia mdogo wangu watamuua. Kila mmoja mmoja akajitoa na kuahidi kunisaidia katika hili. Yohana akaleta laptop yake na kuiweka mezani kwangu. Akaitazama namba kisha akaiandika kwenye laptop, akaanza kuitafuta kwa kutumia Satelait, kila mmoja macho yake yapo kwenye kioo cha Laptop. Baada ya dakika mbili alamua  nyekundu ikatokea kwenye kioo huku ikiwa na ramani ya kutuielekeza ni wapi Yudia alipo na kundi lake. Uzuri ni hapa hapa Dar es Salaam.
 
Nikachukua karatasi na kuiweka mezani, kisha nikachukua na peni na kuandika maelezo yanayo wauliza wezangu ni nani anafahamu alipo Asma jambazi aliye kamatwa wiki moja iliyo pita.
Kila mtu akatingisha kichwa na kudai hafahamu ni wapi alipoa.
‘Dany cha msingi ni kumuokoa mdogo wako’
Yohana aliandika maandishi hayo kwenye laptop, nikatingisha kichwa na mimi nikaandika kwneye karatasi.
‘Hilo ndio jambo la muhimu, ila K2 asifahamu, baada ya hii kazi nitawaeleza kila kitu kinacho endelea kwa K2’
Kila mmoja akanitazama usoni akiwa na hamu ya kutamani kusikia ni kitu gani ambacho ninakifahamu juu ya K2. Nikasimama nikaichomoa bastola ya kiunoni mwangu, nikatoa magazine na kukuta risasi za kutosha nikaichomeka magazine tena, nikaiweka simu mfukoni.
 
Nikawapa ishara ya kutoka ofisini hapo mmoja baada ya mwengine ili kuto kustukiwa na mtu wa aina yoyote hata kama K2 akituona. Nikaanza kutembea kwenye kordo, nikafika sehemu ya lifti, nikafungua, nikaingia na kushuka chini. Nikamkuta Lucy akiwa amesimama sehemu ya maegesho ya magari lengo lake kubwa naamini kwamba ana nisubiria mimi.
“Dany”
Aliniita huku  akinifwata, nikasimama na kumsubiria hadi sehemu nilipo simama. Akanitazama kwa macho ya aibu.
“Zungumza nina haraka”
“Dany ninaomba tuweze kutoka Dinner?”
“Sina muda”
“Hata kama ni kesho au kesho kuwa”
“Baada ya hapo?”
Nilimuuliza Lucy swali hilo huku nikiwa na hasira, akabaki akinitazama usoni mwangu kwa maana hakutarajia kukutana na swali zito kama hilo.
 
“Sikia nenda nyumbani kwa sasa sina muda wa kuzungumza”
Yohana, Khalid na Thomas wakatoka na kunifwata hadi sehemu nilipo, kwa ishara Khalid akaniombe peneni kidogo, nikasogea, akaninyooshea mkono akiniomba simu yangu, nikaitoa na kumpa. Akaitazama na kuibandika kijikifaa kidogo nyuma ya simu ambacho sikufahamu mara moja kazi yake ni nini.
“Sasa tunaweza kuzungumza na sio kuwa mambubu”
Khalid alizungumza huku akinikabizi simu wote watatu wakelekea kwenye gari Yohana aina ya BMB X3.
“Sikia Lucy, leo nipo bize nitafute siku nyingine, tunaweza kupata chakula cha usiku pamoja”
Nikamuacha Lucy hata kabla hajajibu chochote, nikaingia kwenye gari na kukaa siti ya mbele. Yohana anakwasha gari na tukaondoka eneo la ofisini.
“Dany hicho kifaa kinasaidia kukata sauti pamoja na kuipoteza muelekeo wako”
 
“Kivipi?”
“Kupitia hiyo simu wanaweza kufahamu kila sehemu unapo kwenda jambo ambalo ni baya sana kwetu sisi. Iila kwa kifaa hicho kidogo, kule watakuona unaelekea eneo jengine wakati ndio hivi tunawafwata kwa sasa”
“Duu asante sana ndugu”
“Usijali”
“Hivi si kila mtu ana bastola yake”
“Yaa mimi ninazo mbili”
“Mimi pia nna mbili”
“Mimi nina tatu”
“Asanteni waskaji zangu, sinto wasahau katika hili mulilo nitendea”
“Usijali kaka”
Tukafika maeneo ya Kimara mwisho, tuakunja kushoto na kuelekea mbele kabisa ameneo ya majumba mapye. Tukafika kwenye moja ya jumba la gorofa ambalo halijamalizwa kujengwa, ila lizezungushiwa ukuta. Ramani tunayo ifwata ikatuonyesha Yudia na watu wake wapo hapo. Yohana akatupa kila mmoja saa maalumu  ambazo tunazitumia pale tunapo kwenda kufanya mashambulizi sehemu maalumu na huwa tunategesha muda sahihi wa kuweza kufanya tukio zima.
 
“Jamani dakika tano zinatosha”
“Kweli”
“Tuzifunge viwambo bastola zetu”
“Mimi sina”
Yona akanipa kiwambo kimoja, nikakifunga mbele ya bastola yangu kisha tukashuka wote wanne. Saa zetu tukazitega muda sawa, na kazi ya kuparamia  uzio wa jumba hili lililo kaa kama gofu ikaanza. Kutokana sote tulikuwa chuo kimoja na mafunzo tulipata sawa, japo kila mmoja ana fani yake, ila zoezi la kupanda ukuta kwetu ni dogo sana. Tulipo hakikisha kwamba tumefika juu ya kuta hizi tukajirusha kwa ndani taratibu. Tukaona mwanga wa taa kwenye moja ya chumba. Tukajigawa wawili wawili na taratibu tukaanza kuingia ndani ya jumba hili, huku mimi na Khalidi, tukisonga mbele kilipo chumba chenye mwanga wa taa.
Taratibu nikachungulia kwenye chumba hicho, nikamuona mwanaume mmoja, akimtazama Diana aliye fungwa kamba na kuwekwa kitandani. Mwanaume huyo mwenye mandevu mengi akaanza kuvua shati lake huku akimfwata Diana.
 
Nikataka kufyatua risasi ila Khalid akanizuia na kunimba niwe mvumilvu kwa maana hili eneo tulilopo hapa ni dirishani isitoshe kuna nondo. Tukazunguka upande wa pili, tukawakuta vijana wawili wakivuta sigara, hapakuwa na maswala ya kuulizana, nikafyatua risasi kadhaa zilizo waangusha vijana hao chini. Uzuri wa kiwambo cha kuzia sauti ya risasi inapo toka, huwa mtu hata akiwa chumba kingine hawezi kusiki chochote labda kishindo cha mtu kuanguka. Tukaanza kuingia kwa umakini mkubwa huku tukitzama kila kona ya jengo hili japo kuna mwanga hafifu wa mbalamwezi unao ingia kupitia madirishani na chumba alichopo Diana ndio kina mwanga wa taa ya chemli. Tukafika katika chumba alipi Diana na kulikuta jitu hilo kikiwa tayari limepanda kitandani na kutaka kutekeleza ubakaji  wake kwa mdogo wangu kipenzi. 
 
Sikutaka kulipiga risasi ili life haraka, nikicho kifaya ni kumuwahi kwa kasi, kisha nikampiga kabala moja takatifu, nikihakikisha kwamba hafurukuti wala kufanya chochote, Khalidi akaanza kumfungua Diana kamba huku nami nikiendelea kukaza mkono wangu wa kulia kuhakikisha kwamba nina muuma huyu jamaa kwa maumivu ya shingo yake kuitenganisha na pumzi inayo ingia. Jamaa likajaribu kufurukuta ila akashindwa kwa maana kabala yangu imemzidi nguvu na taratibu akaanza kulegea. Nikamuachia kidogo ili aheme na kupata utamu wa pumzi unao ingia puani kwake.
 
“Yupo wapi Yudia?”
“Siju…..”
Nikamkaba kwa nguvu tena zaidi ya mara ya kwanza, likaanza kuomba nimuachie atazungumza.
“Yupo wapi?”
“Ametoka na maiti ya msichana waliye muua”
Diana alibaki pembeni akiwa amenitolea macho huku analia, Khalidi naye akawa anatazama jinsi ninavyo mminya jamaa huyu. Picha ya Rose ikanijia kichwani mwake, nikakumbuka ukaribu wake wote ambao alifanya juu yangu na leo wamemuua. Sikuona haja ya jitu hili kuendelea kuishi dunia, nikamvunja shingo yake kwa nguvu na kuhakikisha kwamba imevunjika nikakigeuza kichwa chake hadi sura ikawa nyumba na kichogo kikawa mbele.
Diana akanikumbatia kwa nguvu huku akilia kwa uchungu. Wakaingia Yohana na Thomas wakiwa wanamwagikwa na jasho.
“Jamani tuondokeni kazi imesha kwisha”
“Poa”
Nikamshika Diana mkono tukatoka ndani humu, huku tukiwa makini sana, Thomas na Khalid wakawahi kuruka ukuta na kushuka upande wa pili tulipo acha gari. Nikamnyanyua Diana na yeye akauparamia ukuta akapokelewa upande wa pili kisha, mimi na Yohana tukapanda na kuruka upande wa pili. Tukaingai kwenye gari na kuondoka.
 
“Wamekuumiza mahali?”
“Hapana kaka, ila wamemuua Rose”
“Ohoo Mungu wangu, hawa watu ni wakatili sana ehee?”
“Ndio”
Diana alilia huku akijifuta machozi.
“Walimpiga risasi za wapi hadi ukaamini kwamba amekufa?”
Yohana aliuliza huku akiendelea kuendesha gari.
“Mara ya kwanza alimpiga risasi ya paja, kisha mara ya pili wakampiga risasi ya kifuani”
“Mmmmm, Dany hivi hawa watakuwa ndio wale Al-Shabab mulio wadhibiti Tanga?”
“Nahisi kaka”
“Isee munabidi kuwa makini sana kwa mana mtandao wao utakuwa ni mkubwa sana”
“Kweli”
“Dogo baada ya huyo Rose kupigwa risasi za kifua alitokwa na damu?”
Swali la Thomas likamfanya Diana kunyamaza kama sekunde hamsini hivi akifikiria kitu kisha akajibu.
“Hapana hakutoka damu hata kidogo”
“Mmmm”
Yohana aliguna hata mimi mwenyewe nikaanza kujiuliza maswali kadhaa kichwani mwangu.
“Baada ya kupigwa risasi ya paja ilikuwaje?”
“Walimtoa chumbanii na kumrudisha baada ya nusu saa, ila nakumbuka alifungwa bandeji”
“Ahaa Dany huu ni mchezo hapa, huyo binti ni muhusika naye”
 
“Wifi yangu hawezi kuwa muhusika, wamemuua tu jamani”
Diana alizungumza pasipo kujua ni nini kinacho endelea, sikuwa na chakujibu zaidi ya kuwa kimya nikimtafakari Rose ambaye naye kwa sasa amekuwa ni msaliti.
Kumbukumbu ya tukio la benki ikaanza kunijia taratibu kichwani mwangu, nikakumbuka jinsi jambazi mmoja alivyo mpiga kitako cha bunduki Rose tumboni kwa ubishi wake.
Nikiwa katika dibwi la mawazo, nikaliona gari langu nililo pewa na raisi tukipishana lalo maeneo ya Ubungo maji.
“Kaka Dany gari lake si lile, lile”
Kauli ya Diana ikamfanya Yohana kupunguza mwendo, kila mmoja akatazama gari langu linalo kwenda kwa mwendo wa kasi likitokea mataa, ubaya ni kwamba sehemu tuliyopo hatuwezi kugeuza kutokana tayari tupo kwenye foleni.
“Dany una gari kali vile kaka?”
“Ndio ndugu”
“Aiseee”
“Tulifwateni nini?”
“Haina haja”
“Kwa nini unazungumza hivyo Dany”
“Nitajua ni wapi kwa kulipata”
Moja kwa moja tukaelekea nyumbani kwa Yohana, maeneo ya Manzese. Mke wake akatukaribisha huku akiwa anashangaa wingi wa wageni kwa maana tumefika pasipo taarifa. Kila mmoja akaandaliwa juisi yake huku Diana akielekezwa bafuni na mke wa Yohana.
“Ehee Dany tuambie juu ya K2”
Nikashusha pumzi huku nikiwatazama rafiki zangu hawa walio nisaidia katika zoaezi la kumuokoa Diana kisha nikaanza kuzungumza taratibu.
 
“K2 ni msaliti”
Wote wakastuka wakanikazia macho wakiwa hawaamini kitu nilicho kizungumza.
“Nyuso zenu zinaonyesha kwamba hamuamini ninacho kizungumza ila huo ndio ukweli wenyewe”
“Wee K2 huyu  ninaye mjua mimi au laa?”
“Huyo huyo,  cha kushangaza zaidi yeye ndio mmiliki wa mtando mzima huu wa majambazi walio mteka Diana na wao ndio watu wali uvamia msafara wa raisi tukiwa Tanga”
Nikamsikia mmoja mmoja akishusha pumzi nyingi, kwa maana taarifa ninazo zitoa kwao ni nzito na zinatisha kwa maana wote kati yetu hususani wezangu wanamuogopa sana K2.
“Dany acha kututania mskaji?”
“Huo ndio ukweli, wafusi wake ni Kukas yule mkurya pamoja na Lattifa japo sijambaini katika hili”
“Ahaaa”
“Ndio”
“Mpango wao ni kumuangusha raisi madarakani, ila kuna sehemu ampapo wanapata msaada unao wapa kiburi na kwenda kinyume na serikali”
“Jamani hii kazi siku si nyingi mimi nitaiacha”
Yohana alizungumza huku akiweka glasi ya juisi mezani, kila mmoja alionekana kuchoshwa na taarifa hizi. Kabla sijazungumza chochote simu ikaita, taratibu nikaitoa mfukoni mwangu wote wakanitazama, kwa ishara Yohana akaniomba niipokee simu hiyo kwa maana ninaitazama kwenye kioo chake pasipo kuipokea. Taratibu nikaipokea na kuiweka simu sikioni mwangu.
 
“Dany Dany Dany, umevuka mipaka sasa. Nakuhakikishia ninakwenda Tanga kuitoa roho ya mama yako na utanijua kwamba mimi ni Yudia. Umeniulia baba yangu Meya nikakuvumilia sasa umeniulia hadi kaka yangu, leo ni lazima mama yako mauti yamkute”
Yudia alizungumza kwa sauti ya ukali na kukata simu pasipo mimi kuzungumza kitu cha aina yoyote, wasiwasi mwingi ukanijaa moyoni mwangu.
“Nani simu yake ina vocha”
Thomas akawa wa kwanza kunipatia simu yake, kwa haraka huku mikono ikinicheza cheza kwa woga na kuchanganyikiwa nikaanza kuingiza namba za mama kwenye simu hii, kisha nikaiweka sikioni, simu ya mama ikaanza kuita, baada ya sekunde kazaa ikapokelewa.
“Halooo”
“Mama, upo wapi?”
“Nani?”
“Dany hapa”
“Vip…….”
Mama hakumalizia sentesi yake nikasikia mlio wa bunduki aina ya SMG, na ukimya mkali ukatawala nikajikuta nikiita mama  mama zisizo na idadi, ila ukimya ukatawala kugeuka nyuma yangu macho yangu yakakutana na Diana aliye jifunga taulo tu huku akiwa amejaa mapovu kwenye baadhi ya maeneo ya mwili wake, akionekana ametoka bafuni baada ya kusikia sauti yangu ikimuita mama kwa kuchanganyikiwa.
                                                                                         
                                AISIIIII……….U KILL ME 42

“Dany kuna nini?”   
Yohana aliniuliza huku akinyanyuka kwenye sofa, Diana akabaki akiwa amenikazia macho pasipo kujua ni nini kichacho endele. Nikbaki nikiwa nimeishia simu yangu sikioni nikisikilizia kinacho endele. Mapigo ya moyo yakazidi kwenda mbio kukaa ninatamani kusimama nashindwa, nikitazama Diana natamani asifahamu ni nini kinacho endelea.
‘Dany’
Nikasikia sauti ya mama akizungumza kwa upole sana.
“Ndio mama, kuna nini kilicho tokea?”
‘Kuna majambazi wamevamia hii nyumba ya jirani hapa kwa muarabu’
Mama aliendelea kuzungumza kwa sauti ya chini. Kidogo nikashusha pumzi na kaunza kupata amani moyoni mwangu kwa maana tayari nilisha anza kujisikia vibaya.
“Askari naona wanapambana nao””
“Askari wapi mama?”
“Hawa wanao linda hapa kwangu, kwa maana kwa sasa ninalindwa na askari wanne”
 
“Ahaa sasa mama”
Nilizungumza huku nikitoka nje na kumuacha Diana akinisindikiza kwa macho, nikafunga mlango wa kutoke nje na kuanza kuzungumza na mama kwa umakini zaidi.
“Ndio”   
“Yudia na watu wake wanataka kufanya mpango mbaya dhidi yako”
‘Yudia tena?”
“Ndio mama, leo alimteka Diana ila nimejitahidi na kumuokoa na kuua baadhi ya watu wake. Mmoja wao anadai kwamba ni kaka yake, na  yupo kwa ajili ya kulipiza kisasi kwa sasa, kwa hiyo mama nina kuomba uwe makini sana kama ni ulinzi uimarishe kweli kweli”
“Usijali katika hilo, tena kwa sasa mimi ndio mkuu wa mkoa, basi wataisoma namba”
Mama alizungumza kwa kujiamini sana hadi moyoni mwangu nikafarijika sana.
“Kweli mama”
“Wewe subiri, washenzi washenzi wote tutawafyeka, sasa arudi tena atanitambua kwamba mimi ni nani”
Ila mama kuna wasaliti wengi?”
“Hilo lisikuumize kichwa mwanangu, wewe endelea na maisha kama vipi hiyo Diana kesho apande ndege aje huku”
“Sawa mama”
“Haya usiku mwema, ngoja niangalia hawa majambazi, hapa kijana amenipa ripoti wamewaua majambazi wawili na mmoja amekimbia ila wanamtafuta”
 
“Ohoo sawa mama”
“Haya usiku mwema”
“Nawe pia”
Nikakata simu huku nikishusha pumzi nyingi. Nikarudi ndani, rafiki zangu wote wakanitazmaa walipo ona tabasamu langu kila mmoja akapatwa na amani. Nikawaelezea kila kitu kilicho tokea na alicho nieleza mama, hapo ndipo nilipo wazindua masikio yao na kutambua kwamba mama yangu ni mkuu wa mkoa.
“Kesho leo ndio nimeanza likizo na mke wnagu kwao ni Muheza Tanga basi tutaondoka na mdogo wako na kumfikisha hadi nyumbani”
Yohana alizungumza, nikashukuru sana kwa maaa Yohana ni miongoni mwa watu ninao waamini japo kwa sasa imani juu ya watu wote inaanza kutoweka ila ninamuamini kidogo. Khalid na Thomas, wakaaga na kuondoka. Tukapata chakula cha usiku nyumbani mwa Yohana, nikamueleza Diana juu ya safari ya kuondoka siku inayo fwata, hakuwa na kipingamizi kwa maana hali halisi ya jiji la Dar es Salaam amesha iona. Nikaonyeshwa chumba changu cha kulala, huku Diana naye akilala na dada wa kazi.
 
    Sikuweza kupata usingizi kabisa, mawazo juu ya genge la Yudia, liliniumiza kichwa sana, mkusanyiko wa waundaji wa kubwa wa genge hilo la uhalifu, linazidi kukifanya kichwa changu kuuma sana, japo sijapona vizuri jeraha nililo chomwa kisu na Asma, ila ninaapa kuliangamiza kundi zima nikianza na K2 mkuu wao. Hadi kuna pambazuka sikuweza kufumba hata jicho langu moja kupata usingizi. Nikaingia bafuni na kuaoga, kisha nikavaa nguo zangu na kutoka nje. Nikamkuta mke wa Yohana akiwa anamalizia kuandaa chakula mezani.
“Habari yako shemeji”
Alinisalimia kwa heshima huku akinitazama usoni kwa woga woga.
“Salama mambo vipi?”
“Safi pole kwa mikasa uliyo ipata”
“Nashukuru sana”
“Karibu upate kifungua kinywa”
“Asante vipi Diana bado emalala?”
“Wamesha amka ndio nilio saidiana nao kutengeneza hivi vifungua kinywa”
“Ahaaa naomba umuite nizungumze naye”
“Sawa shemeji”
Mke wa Yohana akaondoka, nikaka kwenye moja ya sofa huku nikishusha pumzi. Diana akaja sebleni nilipo akiwa amesha maliza kujianda.
“Vipi umelalaje?”
“Salama shikamoo”
“Marahaba. Safari ndio inaanza, watakupeleka hadi kwa mama. Ninacho kuomba muangalie mama vizuri sana”
“Sawa kaka”
 
“Usikaribishe karibishe watu usio wajua pale nyumbani, wala usitembee tembee sehemu za starehe muda wa usiku. Tanga imechafuka na yule binti aliye kuteka jana anaweza kukuteka tena na akifanikiwa kukuteka atakuua, sasa akili mwako kichwani mdogo wangu”
“Usijali kwa hilo kaka, ila kuna kitu gani ambacho kinaendelea kati yako na hao maadui?”
“Ni mambo ya kikazi ambayo hupaswi kuyafahamu ila nilicho kueleza ndio hicho. Muangalie sana mama, kuwa makini na marafiki zako pia uache kwenda kwenda disko, sijui Lacasa sijui chichi, watakuteka”
“Sawa”
Diana alijibu kiunyonge kwa maana sehemu nilizo mtajia ndio sehemu anazo zipenda kwenda kufanya starehe kipindi cha likizo. Yohana akatoka akiwa amesha jiandaa, kwa pamoja tukapata kifungua kinywa. Tukaingia kwenye gari la Yohana, wakanipeleka moja kwa moja hadi Ubongo kisha wao wakendelea na safari ya kuelekea Tanga, mimi nikakodi pikipiki hadi Sinaza kilipo chumba changu kimoja. Nikaingia nyumbani na kukutana na mama Mariam akiwa amevalia tenge moja, alipo niona akanikumbatia kwa furaha na kunipiga busu la mdomo.
 
“Tulia basi Dany”
“Noo hii sehemu hapa sio salama, ngoja niingie chumbani kwangu”
“Nyumba nzima haina mtu nimebaki mimi peke yangu”
“Hata kama ngoja niingie ndani kwangu”
“Sawa, mimi ngoja nijiandae”
“Na nini?”
“Na kukupa kile unacho stahili Dany wangu, yaani nimekimis sana”
Sikutaka kumjibu mama Mariam kwa maana ataanzisha mada nyingine ambayo sihitaji kuweza kuisikia kwa wakati huu. Nichukua funguo yangu ya siri ninayo ificha juu ya mlango, nikafungua ndani na kuingia. Nikajibwaga kwenye sofa huku nikiwa nina mawazo mengi yanayo endelea kukisumbua kichwa changu.
“Nitaishi vipi kwenye ile nyumba?”
Swali nilijiuliza mwenye na kukosa jibu kabisa katika hilo. Mlango ukafunguliwa, mama Mariam akaingia huku akiwa amejifunga khanga moja tu. Akaufunga malango kwa ndani na kuivua kanga yake. Akanifwata kwenye sofa na kunikalia mapajani mwangu akiwa na chupi ina ya bikini huku kiunoni akiwa amevaa cheni mbili za dhahabu.
 
“Dany mbona kama huna raha na hili ambalo ninalifanya?”
“Nina umwa”
“Unaumwa na nini mpenzi wangu?”
Nikafungua vifungo vya shati langu na kumuonyesha kidonda kilichopo kwenye mbavu zangu.
“Dany mbona kila siku umekuwa ni mtu wa majanga”
“Nilivamiwa, ila nikuulize kitu?”
“Niulize tu mpenzi wangu?”
“Jumaa amempata mpenzi wake?”
“Mmm kusema kweli sifahamu kwa maana mimi hapa sio mshindaji sana hapa nyumbani kwani vipi?”
“Hapana nilihitaji kuweza kufahamu hilo tu”
“Ila Dany nina hamu na wewe jamani, nimesiii mkuno wako”
“Kwa hali hii niliyo kuwa nayo siwezi kufanya hivyo”
“MMmmmm Dany banaaaa, nitajihudumia mimi mwenyewe”
Mama Mariam alizungumza huku taratibu akiupeleka mkono wake kwenye jogoo wangu. Akafungua zitu na kumchomoa kutoka kwenye boksa na kuanza kumchua taratibuu huku akinitazama usoni. Siku zote huwa napenda viganja vilaini vya  mama Mariam pale anapo mshika jogoo wangu. Taratibu nikajikuta nikianza kukolea kwa jinsi anavyo cheza na jogoo wangu. Akaanza kumnyonya huku kwa mara kadhaa akimlamba lamba kama koni.
 
Akataka kunivua suruali, ila nigoma kwa mana kiunoni mwangu nimechomeka bastola na hata kwenye soksi zangu pia kuna bastola mbili nimezichomeka.
“Kwa nini hutaki honey?”
“Noo tufanye nikiwa hivi hivi sijisikii vizuri mwenzako”
“Hata”
Mama Mariam akavua bikini yake, akaniandaa vizuri kwa kupaka kiasi cha mate kwenye kitumbua chake pamoja na jogoo wangu, kisha taratibu akaanza kumkalia huku akinipa mngo. Alipo hakikisha kwamba jogoo amezama vizuri, akaanza shuhuli yake ambayo unaweza kusema sio mwana mama mwenye umri mkubwa kiasi. Kiuno chake akaendelea kukikatajapo hajamfikia sana Asma. Mama Mariam kusema kweli anaweza kuumiliki mchezo huu, japo nilitamani kunyanyuka na mimi kuonyesha maujuzi yangu, ila nikakumbuka daktari alivyo niambia nisifanye kazi ngumu sana kwani kufanya hivyo kunaweza kuhatarisha nyuzi walizo zishona kwneye kidonda changu zinakwenda kufumuna na inaweza kuwa ni tatizio kubwa zaidi ya hili la mwanzo.
“Aiiisssiiii you kill me Dany”
“Real”
“Yeaa”
Mama Marima alizungumza huku akiendelea kunogewa na ukaliji wa jogoo wangu. Baada ya muda tukamaliza mechi yetu, taratibu mama Mariam akanikumbatia huku akihema na jasho likimwagika.
 
“Dany nikuambie kitu”
“Niambie”
“Yaani mb** yako huwa inanikuna vizuri sana”
“Mmm”
“Kweli Dany yaani inanifanya ukiwa mbali nijichue mimi mwenyewe na maji ya moto”
“Usifanye hivyo sio vizuri”
“Ni bora kufanya hivyo Dany kulilo kukusaliti wewe kusema kweli nina kupenda tena sana”
Mama Mariam akajinyanyua taratibu kutoka kwenye mapaja yangu na kukaa pembeni huku akiendelea kuhema sana. Akamshuka jogoo wangu kwa mkono wake wa kushoto na kuanza kuminya minya ili kuwamalizia waarabu weupe watoke.  Akanyanyuka na kulifwata taulo lililopo kitandani, akiwa karibu ya kitanda nikamuona akiinama chini kama anaokota kitu akanyanyuka na kunigeukia sura yake nikaiona ikiwa imebadilika, moja kwa moja nikayapeleka macho yangu kwenye mkono wake, nikaona akiwa ameshika chupi ya bikini.
“Dany hii si chupi ya Asma, imefwata nini humu chumbani mwako”
Mama Mariam aliniuliza kwa saui ya hasira hata sura yake ya mapenzi mazito aliyo kuwa ananionyesha dakika chache zilizo pita ikapotea kabisa.
                                                                                          ITAENDELEA

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts